Rais Samia: Tulifika uchumi wa kati tukarudishwa, tupambane turudi tulikokuwa

Mwenye uchumi wake mnamsimanga kila siku ,kaona isiwe tabu ngoja niondoke nao.
Haya sasa mama amekiri kuwa uchumi ule wa kati umeporomoka?
Je bado kuna shaka na uwezo wa utendaji wa JPM?
Magu alitudanganya. Tz haijawahi kuingia uchumi wa kati.
 
Aisee watu wasiri sana humu, kumbe tulishaanguka kutoka ule uchumi wa kati chini?

Sijapenda kwa kweli.
Raisi kajichanganya, bado hatujashushwa japo uchumi wenyewe ni hewa tu hakuna reflection mtaani
 
Pumbavu wewe!!

What an embicile!!
 
Ila mkuu Mara nyingi mnatuwekea post kuwa mama anaduwaza wachumi kwa jinsi uchumi unavyokua, lakini kumbe Hali ni tofauti
Hali ni tofauti kiaje? Do you have a proper functioning mind?

Ilichukua miaka 59 kufika uchumi wa Kati wa chini , Mwendazake akaharibu then unataka mwaka 1 irudi ilikokuwa,una akili sawasawa lakini?

Kubomoa ni simple kujenga je?
 
Mm nimekujibu in a polite language wewe umekuja kunishambulia, sio poa.
Mm nachosema nyie hapa kila Mara mmesema Sasa hivi kiuchumi tupo vizuri na mama anaduwaza wachumi. Sasa hivi unasema tena haiwezi kuchukua muda mfupi kurudisha uchumi sawa. Sasa tushike lipi? Uchumi upo vizuri au bado?
 
Mwenye uchumi wake mnamsimanga kila siku ,kaona isiwe tabu ngoja niondoke nao.
Haya sasa mama amekiri kuwa uchumi ule wa kati umeporomoka?
Je bado kuna shaka na uwezo wa utendaji wa JPM?
Wewe kwa akili yako kama kisoda JPM wako ndio aliifikisha Tzn kwenye uchumi wa Kati?

Mwendazake ndio aliharibu uchumi hadi Tzn ikaporomoshwa na kurejeshwa ilikokuwa..

Chini ya Mwendazake idadi ya maskini iliongezeka Sana na kilele cha kuanguka kwa uchumi ilikuwa 2020..

Sasa ndio unaona Kazi za kujenga upya zinaendelea na kujenga Uchumi sio swala jepesi kama kujitwisha tishu kichwani.
 
Hapo ndio sielewi.
Tulifika fikaje huko uchumi wa kati.
Makodi mengi
Akaunti zinazuiwa na TRA
Wawekezaji wanasepa
Maduka yanafungwa na kuna viwanda vikasitisha biashara.

JK alipokuwa anaondoka madarakani 2015, ukuaji wa uchumi ulikuwa 7.1%
Sasa 2020 ulishuka hadi around 4.8%.
Ni hiyo miaka mitano ndiyo tuliyokuwa uchumi wa kati?
 
Technically tuko vizuri kuliko ilivyokuwa miaka 6 iliyopita..

Muulize yeye to kuanzia mfanyabiashara,fundi kujenga hadi mtu wa ofisini utapata majibu..

Kudhihirisha hilo Bunge hili la bajeti salary zinaenda kuleee ☝️☝️☝️
 
Technically tuko vizuri kuliko ilivyokuwa miaka 6 iliyopita..

Muulize yeye to kuanzia mfanyabiashara,fundi kujenga hadi mtu wa ofisini utapata majibu..

Kudhihirisha hilo Bunge hili la bajeti salary zinaenda kuleee [emoji3516][emoji3516][emoji3516]
Mkuu kwa hiyo sasa hivi kiuchumi tupo vizuri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…