Rais Samia tulikuonya kuhusu January Makamba

Amesha muita ndani akamfinya jamani eeee hamkusikia
 
Halafu kuna ile Tshs 78 Bill kila mwaka ya software feki
 
January makamba na Nape mosses Nnauye ni mawaziri mizigo hawafai hata kidogo[emoji24][emoji24]
 
kwa ushahidi upi?,hebu weka ushahidi wa uovu wa january hapa
Kama yupo humu abishe... namuuliza sasa

"Wewe january hukukopa NSSF bilioni moja na ukatokomea mitini, ukitafutwa unaleta ubabe na unajifanya uko busy?! 😳😡🤬"

Aje ajibu hapa... ana madudu tele huyo mtoto
 
Acha kuropoka na kuomba mabaya basi!... hujui kama unazua taharuki nchini wewe?!

Hiyo mipango ya kupindua nchi wewe ndo unaifanya au unashiriki kuifanya?!

Kutokuwa na maelewano kati ya mkuu wa kaya na mzee majaliwa ni nani amekwambia?!

CHUNGA KAULI HIZO...
 
kwa ushahidi upi?,hebu weka ushahidi wa uovu wa january hapa
Huyo January aliingia MKATABA wa mabilioni kukodisha software toka kwa wahindi akishirikiana na huyo fisadi mwenzie aliyemtoa DSTV na kumleta TANESCO! Mafuta yanapanda bei kwasababu ya January kutaka hongo anapotoa vibari vya kuagiza mafuta kwa wafanya biashara!! Ushahidi gani unautaka zaidi ya malalamiko ya wafanyabiashara ya mafuta!
 
Ungejua Marais 2 wa nchi hii walitokea Wizara ya Mambo ya Nje ungekaa kimya.
Watatu Mkuu,

Mkapa na Jakaya kama Mawaziri na Mzee Mwinyi kama Balozi
Mkapa ndio Kiboko yao, Kasomea masuala ya Kimataifa Colombia University, kawa Balozi Nigeria na akaja kuwa Waziri kamili wa mambo ya Nje
 
Sikio la dawa halisikii nini vile?😆
 
Na anawaza urais
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…