TikTok2020
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 1,816
- 3,150
Legacy yake ni kuliweka Taifa katika giza muda wote na wiki hii ilopita kavunja rekodi ya nchi kukaa gizani karibu mikoa yoteRais Samia ulionywa sana kuhusu huyu mtu mtafuta madili ya kujaza tumbo lake badala ya kuhudumia wananchi, kiko wapi sasa?
Hamna alichokamilisha hata kimoja zaidi ya ngonjera tu za hapa na pale, umeme vijijini haujakamilika hadi leo, licha ya kwamba awamu ya 5 ilibakiza vijiji elfu 2 nchi nzima,January Makamba ameacha mgao wa kutisha wa umeme kila kona, huku akisaini mikataba ya mabilioni ya pesa na wawekezaji hewa kutoka nje.
Legacy ya Makamba ni ipi hapo Tanesco?
Hawezi kuwa Wala usihofuMakamba kua Rais ni uamuzi wa hovyo na nitahamia Burundi lasimi.Ndo gang la Wahunii!
Wivu tuRais Samia ulionywa sana kuhusu huyu mtu mtafuta madili ya kujaza tumbo lake badala ya kuhudumia wananchi, kiko wapi sasa?
Hamna alichokamilisha hata kimoja zaidi ya ngonjera tu za hapa na pale, umeme vijijini haujakamilika hadi leo, licha ya kwamba awamu ya 5 ilibakiza vijiji elfu 2 nchi nzima,January Makamba ameacha mgao wa kutisha wa umeme kila kona, huku akisaini mikataba ya mabilioni ya pesa na wawekezaji hewa kutoka nje.
Legacy ya Makamba ni ipi hapo Tanesco?
Labda awe Rais wa WCB nyambafu zake fisadi mkubwa huyoKiko wapi kivipi. wakati ana andaliwa kuwa Rais kapewa wizara nyeti.. Ambayo ni njia ya kuelekea Magogoni
Na nani?acheni kukariri wandugu kuwa mambo ya nje sio kuwa Rais mbona kwa Stragomena hamkusema?Makamba anaandaliwa kuwa rais.
Wivu tu.Unaruhusiwa kutuonyesha hiyo legacy
Ben na JakayaNani aliyewahi kupewa hiyo wizara na akafanikiwa kuwa rais?
AmenTanzania njema yaja!
Safari nyingiMambo ya Outside ndio kuna ulaji mzuri zaidi kuliko kuuza Majenereta
Kweli kabisa.Hiyo wizara ya mambo ya nnje ndio inampendezea Makamba January.. kongore kwake