Rais Samia tulikuonya kuhusu January Makamba


Kwa Tanzania anaweza kupewa Urais.

Jiulize hivi ndani ya miaka miwili na nusu JPM alikamilisha vipi?vingapi? Compare and contrast.
 
yaani umejifcha nyumbani kwako na Tecno unapost unasema tulikuonya rais wewe na nani labda na familia yako urais ni taasisi siyo mtu mmoja.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]...na jina lake la bandia
 
GANG ni moja tu nayo inaitwa SUKUMA GANG [emoji1787]....wa Msoga ni wenye chama!
Kwa sasa msoga Gang ndio wenye chama, nchi, majeshi yote, Mahakama, Tume ya uchaguzi.

Hitler, Ali Bongo in Gabon yupo kizuizini yeye na familia yake na madaktari wake, Nchi imefungwa huwezi kukimbia majeshi yote yanalinda mipaka.

Burkina faso Mali, Niger, Sudan, CAR, Libya walikuwa navyo hivyo hivyo kama Tanzania.
 
Naona kama unaota mchana mkuu Sexless.
 
Mlimuonya nini sasa ? Huoni kama kwa sasa kaenda kuandaliwa kuwa Rais wa 2030? Mambo ya ndani, nishati na tamisemi ni balaa. Ukienda lazima uchafuke.
 
Halafu funny enough kazawadiwa Uwaziri wa Mambo ya Nje!Hivi huyu mama anatutaka nini jamani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…