Rais Samia tulikuonya kuhusu January Makamba

Mwambieni mama yenu kwamba sasa hivi mita za umeme unalipa, afu haifungwi kwako bila dili - ukiuliza unaambiwa mita bado hazijaja - ukitoa 150,000 wanakufungia siku hiyo hiyo... TZ mambo ni bambarare mno..

Hongera Janu, piga kazi.
 
Jitahidi kufanya utafiti, idara ya usalama wa taifa haina uhusiano wowote na wizara ya ulinzi kabla ya mabadiliko ya sheria ya mwesi wa 6 mwaka huu wizara ya nchi ofisi ya rais menejiment ya utumishi wa umma na utawala bora ndiyo iliyokuwa inasimamia idara ya usalama wa taifa kwa mabadiliko ya sasa usalama wa taifa Ipo kwa rais moja kwa moja wala sio wizara ya ulinzi.
 
Acha ndoto za mchana. Hii tunu iitwayo amani hapa Tanzania hakuna ngedere wa kuthubutu kuivuruga.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
We unaona huyo Makamba ndio failure kumbe kuanzia juu huku ndio failure imeanzia?

Ukiunganisha na upuuzi aliofanya mtangulizi wake October 28 mwaka 2020 amemuachia kundi kubwa la wajinga kuwahi kutokea.

Kwenye hili CCM sijui mtajitoa vipi uhusika wenu na matokeo ya nchi ilipofika.
 
Legecy ya dikteta jjiwe ipo wapi
 
Hama nchi
 
Mwambieni mama yenu kwamba sasa hivi mita za umeme unalipa, afu haifungwi kwako bila dili - ukiuliza unaambiwa mita bado hazijaja - ukitoa 150,000 wanakufungia siku hiyo hiyo... TZ mambo ni bambarare mno..

Hongera Janu, piga kazi.
Sasa hapo January kuchukua pesa?????
Yaani waziri na wafunga mita wapi na wapi???
Kuna mhandisi wa mkoa na timu yake wafate.
 
Kumbuka msajili wa hazina sasa amesema ni moja ya shirika linaloendeshwa kwa faida kwa sasa na linachangia hisa serikalini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…