Rais Samia: Tunaandaa mradi wa kuomba hela za kujenga stendi. Hayati Magufuli asingethubutu kusema kitu cha kujitweza utu wetu namna hiyo... never!

Aibu tupu!Kujenga stand yunatembeza bakuli!Stand!Duh.Huyu mama anatudhalisha jamañi. Ni kweli tumerudi kwa Msoga.Halafuu,hivi haoni aibu kusema vitu kama hivi?
 
Aibu tupu!Kujenga stand yunatembeza bakuli!Stand!Duh.Huyu mama anatudhalisha jamañi. Ni kweli tumerudi kwa Msoga.Halafuu,hivi haoni aibu kusema vitu kama hivi?
Utamtambuaje kuwa yeye ni mwana ccm?
 
tulikuwa tunakopa sana ila hatusemi, tatizo la mama hapa ni kuwa mkweli
 
Na hii ni kwa sababu, alivuruga mfumo wote wa kibajeti. Yaani yeye ndiyo akawa mkusanya fedha, mgawaji na msimamizi jambo ambalo alikuwa haliwezi na liliishia kum frustrate... Hivi uliona wapi duniani rais anapita akigawa fedha barabarani, na akipita mikoani unasikia anasema wiki ijayo naleta 50 bilioni hapa huku anaelekeza hiki na kile. Yaani yeye amekuwa bunge sasa...
 
Wewe mjinga sana, kwani hujui kuwa fedha za Magufuli zilitikana na kodi zulumat.
Na kuna sehemu za nchi fedha za maendeleo hazikupelekwa kabisa.
Tuwe tunafikiri.
 
Lakini hivi kijenga sten yq billion 20 tunashindwa hadi tukqombe mkopo wakati makusanyo ni trillion 1.6 mwa mwezi
Nani anaweza kuthibitisha kwamba kweli ni 1.6 Trilioni??
 
Yue jamaa alikuwa na faili Milemne.
Mwenyekiti wa CCM Mwanza ndg Diallo alithibitisha.
 
Hivi Tanzania ya sasa inaona sifa kuendelea kuwa ombaomba kama taifa?
Hivi Unajua mapato yetu kwa mwaka na matumizi yetu kwa mwaka? Wewe kama nyumbani kwako huna pesa ya kula huwa unaacha watoto wako wafe njaa au utaenda kukopa hata unga kwa Mangi upike uji?
 
... Na hata alipokufa tuliendelea kuambiwa uwongo na Majaliwa kuwa yuko ofsini anapitia mafaili.
Acha akili za utotoni kwa umri huo mpaka umeingia JF.

Ulisikia au kuona wapi Rais wa nchi anafariki mf. 08:45hrs na 09:00hrs wanatangaza msiba?.
 
Hivi Unajua mapato yetu kwa mwaka na matumizi yetu kwa mwaka? Wewe kama nyumbani kwako huna pesa ya kula huwa unaacha watoto wako wafe njaa au utaenda kukopa hata unga kwa Mangi upike uji?
Ndiyo maana tunahitaji katiba mpya itakayo mpunguzia mkuu wa nchi madaraka ya kufanya atakavyo.
 
Acha akili za utotoni kwa umri huo mpaka umeingia JF.

Ulisikia au kuona wapi Rais wa nchi anafariki mf. 08:45hrs na 09:00hrs wanatangaza msiba?.
Twambie basi wewe unaye yajua hayo mambo
 
Mama ana ile ngo yake ikitegemea ombaomba kwa wazungu. Ile mentality haijamtoka licha ya kua na magufuli na kuona uwezo wetu wenyewe kujenga stendi kwa hela na nguvu zetu. Sisi sio maskini bhana ila mabeberu wametupandikizia hisia ya kua sisi maskini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…