TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Mkuu nawe ulikuwemo kwenye myororo wa utengenezaji na usambazaji wa noti za fedha bandia nini? Ha ha ha haaaa!Huyu mtu ametutesa sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nawe ulikuwemo kwenye myororo wa utengenezaji na usambazaji wa noti za fedha bandia nini? Ha ha ha haaaa!Huyu mtu ametutesa sana
Utata uko wapi. Au ccm na poloccm ndo mnatuletea utata. Acheni kuvania mikutano yetu na kubambika watu kesi mhone mziki wakeKuongoza chama tu utata mkubwa, mtaweza watu milioni 60?
Akili na matamshi ya mtu ndiyo huwa yana akisi utu wakeMkuu nawe ulikuwemo kwenye myororo wa utengenezaji na usambazaji wa noti za fedha bandia nini? Ha ha ha haaaa!
Wakati wewe umejawa na mihasira kisa sukuma gang mmetupwa kapuni
Ha ha haaaa!! Mimi ni Pro Tanzania na Africa. Kuna uwezekano unafaidikia na kueneza umakundi ndani ya Tanzania. Utashindwa tu.Wakati wewe umejawa na mihasira kisa sukuma gang mmetupwa kapuni
Sukuma gang naona mnateseka sanaHa ha haaaa!! Mimi ni Pro Tanzania na Africa. Kuna uwezekano unafaidikia na kueneza umakundi ndani ya Tanzania. Utashindwa tu.
Sasa Chadema tusemeje Kama mwenyekiti ndo Gaidi mkuu [emoji849][emoji849]Ccm ndiyo chimbuko la kina Hamza gaidi
Yeye ni bado mtuhumiwa tuSasa Chadema tusemeje Kama mwenyekiti ndo Gaidi mkuu [emoji849][emoji849]
Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
Akiwa anajibu kero za wananchi kuhusu stendi ya Arusha, Rais Samia Hassan leo amesema "kuna mradi tunaundaa wa kuomba hela hizi za stendi, tukipewa tuna nia maeneo mengi yawe na stendi za kisasa"
_______________________________________________
Magufuli anabiringika kaburini...
Tulikuwa tunaambiwa tembeeni kifua mbele, sisi ni matajiri... na kama ni kukopwa hela wanazileta wenyewe, hatuombi...
Sasa tutatembea vichwa chini mbele ya dunia...
Mpaka stendi tunaomba hela?
Hivi stendi ya Mbezi tulipata wapi hela ?
Nimesikitika kupita maelezo.... tunarudi kule kule kwenye kuishi kwa kuomba omba kwa enzi za bwana yule wa Bagamoyo...
Utamtambuaje kuwa yeye ni mwana ccm?Aibu tupu!Kujenga stand yunatembeza bakuli!Stand!Duh.Huyu mama anatudhalisha jamañi. Ni kweli tumerudi kwa Msoga.Halafuu,hivi haoni aibu kusema vitu kama hivi?
Akiwa anajibu kero za wananchi kuhusu stendi ya Arusha, Rais Samia Hassan leo amesema "kuna mradi tunaundaa wa kuomba hela hizi za stendi, tukipewa tuna nia maeneo mengi yawe na stendi za kisasa"
_______________________________________________
Magufuli anabiringika kaburini...
Tulikuwa tunaambiwa tembeeni kifua mbele, sisi ni matajiri... na kama ni kukopwa hela wanazileta wenyewe, hatuombi...
Sasa tutatembea vichwa chini mbele ya dunia...
Mpaka stendi tunaomba hela?
Hivi stendi ya Mbezi tulipata wapi hela ?
Nimesikitika kupita maelezo.... tunarudi kule kule kwenye kuishi kwa kuomba omba kwa enzi za bwana yule wa Bagamoyo...
Na hii ni kwa sababu, alivuruga mfumo wote wa kibajeti. Yaani yeye ndiyo akawa mkusanya fedha, mgawaji na msimamizi jambo ambalo alikuwa haliwezi na liliishia kum frustrate... Hivi uliona wapi duniani rais anapita akigawa fedha barabarani, na akipita mikoani unasikia anasema wiki ijayo naleta 50 bilioni hapa huku anaelekeza hiki na kile. Yaani yeye amekuwa bunge sasa...Jpm alikuwa haelewi chochote. Ndo mana alikuwa anakomba hazina yote inabaki empty mpaka anakosa hela za kupandisha mishahara yawatumisi, ajira hakuna mpaka anafikia hatua ya kujazamachnga barabarani kisa ameshaona ameharibu angalau ngoja liende tu hivyohivyo.
Alifikia hatua yeye mwenyewe hajuu ashuke lipi aache lipi. Anapuyanga tu huku maisha yakiendelea kuwa magumu.
Watu wenye akiri hukopa navkukiri kuwa we ni maskini pasipo kujimwambafy wakati unajua kabisa huna lolote ila unawaumiza tu wananchi
Nina wasi wasi atakuwa alijinyonga baada ya kuona ubabe wake hauna msaada jamii inazidi kulia na kusaga meno. Sema kama huna hela wakuidie katika famulia siyo unajigamba una hel wakati watoto wako wanakufa kwa kwashiokor na hunali ilimradi unaweka heshima bar
Akiwa anajibu kero za wananchi kuhusu stendi ya Arusha, Rais Samia Hassan leo amesema "kuna mradi tunaundaa wa kuomba hela hizi za stendi, tukipewa tuna nia maeneo mengi yawe na stendi za kisasa"
_______________________________________________
Magufuli anabiringika kaburini...
Tulikuwa tunaambiwa tembeeni kifua mbele, sisi ni matajiri... na kama ni kukopwa hela wanazileta wenyewe, hatuombi...
Sasa tutatembea vichwa chini mbele ya dunia...
Mpaka stendi tunaomba hela?
Hivi stendi ya Mbezi tulipata wapi hela ?
Nimesikitika kupita maelezo.... tunarudi kule kule kwenye kuishi kwa kuomba omba kwa enzi za bwana yule wa Bagamoyo...
Nani anaweza kuthibitisha kwamba kweli ni 1.6 Trilioni??Lakini hivi kijenga sten yq billion 20 tunashindwa hadi tukqombe mkopo wakati makusanyo ni trillion 1.6 mwa mwezi
Yue jamaa alikuwa na faili Milemne.Na hii ni kwa sababu, alivuruga mfumo wote wa kibajeti. Yaani yeye ndiyo akawa mkusanya fedha, mgawaji na msimamizi jambo ambalo alikuwa haliwezi na liliishia kum frustrate... Hivi uliona wapi duniani rais anapita akigawa fedha barabarani, na akipita mikoani unasikia anasema wiki ijayo naleta 50 bilioni hapa huku anaelekeza hiki na kile. Yaani yeye amekuwa bunge sasa...
Hivi Unajua mapato yetu kwa mwaka na matumizi yetu kwa mwaka? Wewe kama nyumbani kwako huna pesa ya kula huwa unaacha watoto wako wafe njaa au utaenda kukopa hata unga kwa Mangi upike uji?Hivi Tanzania ya sasa inaona sifa kuendelea kuwa ombaomba kama taifa?
Acha akili za utotoni kwa umri huo mpaka umeingia JF.... Na hata alipokufa tuliendelea kuambiwa uwongo na Majaliwa kuwa yuko ofsini anapitia mafaili.
Ndiyo maana tunahitaji katiba mpya itakayo mpunguzia mkuu wa nchi madaraka ya kufanya atakavyo.Hivi Unajua mapato yetu kwa mwaka na matumizi yetu kwa mwaka? Wewe kama nyumbani kwako huna pesa ya kula huwa unaacha watoto wako wafe njaa au utaenda kukopa hata unga kwa Mangi upike uji?
Twambie basi wewe unaye yajua hayo mamboAcha akili za utotoni kwa umri huo mpaka umeingia JF.
Ulisikia au kuona wapi Rais wa nchi anafariki mf. 08:45hrs na 09:00hrs wanatangaza msiba?.