Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kile kina roho ya kutu ndio maana hata hakinogi pamoja ya mahela yote.Yupo Spika wa bunge Dr. Tulia atamuachia mikoba, wanawake ni mama zetu hivyo wanahuruma.
Aamyn aamynRais wetu Samiah Suluhu Hassan kwa kweli sijui Mungu atupe nini? tumepata Rais mwenye upendo,huruma na asiejiona na sio mpenda sifa.Mwenyezi Mungu amjalie Maisha marefu.
Na ndio maana tunawaambia Chadema Diaspora na Watanzania wote kuwa watulie na mambo mazuri yanakuja.Hapa mama ameeleweka vizuri tatizo ni pale atakapokutana na mizimu ya CCM iliyotukosesha katiba mpya kipindi cha Kikwete aliyeonyesha utayari wa kutuletea katiba mpya katika utawala wake, mizimu ya CCM ilipotia miguu yao tu kila kitu kilisambaratika hapohapo.
CHADEMA is the most destroyed political institution in Tanzania political history. God gives his hardest battles to his strongest soldiers. We’re strong, they fear us, they won’t fight us in fair ground. Stay strong mzee Freeman Mbowe, they’ve destroyed U indeed. #MboweSioGaidiBinafsi na kwa Umri wangu huu sijawahi kuona Rais mnyenyekevu na mpole kama huyu (She is so simple ever).
Kwa unyenyekevu mkubwa nawaomba na kuwasihi watanzania wote wanaopenda amani, utulivu na ustawi wa mtu mmoja mmoja tumuungeni mkono Rais wetu kwani ni hakika anatupenda sana kama Taifa.
===
Mimi ni dada tu kwa Tundu Lissu kwa hiyo kama anakuja kwangu mimi anakuja kwa dada yake, kwa hiyo kama ana shida kama ana nini atakuja kusema kwa dada yake. hakuna tension ya kisiasa kati yangu mimi na Tundu Lissu haipo kwa hiyo anakuja kumuona dada yake, Rais wake katoka Tanzania kaja kwa hiyo anakuja kumuona.
Tunapokuja kwenye swala la ubinadamu Tundu Lissu mimi ni mdogo wangu tu kwa atakuja tutazungumza, hivyo mimi siwezi kusema sijui anakuja na nini anakuja kuna hili au kuna lile siwezi kusema mpaka nimsikilize kwa hiyo anakuja kumuona dada yake, lakini anakuja kwenye jambo la kirafiki kabisa, kama unakumbuka Tundu Lissu alilazwa Nairobi na mimi nilikwenda kumuona katika hali ya kirafiki kabisa maana Tundu Lissu ni mdogo wangu.
Tunapokuja kwenye swala la kisiasa, huku sasa ni upande wa kazi, yeye atasema ya kwake na mimi nitasimama kwenye chama changu.
Lakini nao CCM wasiingilie mambo mazuri yenye manufaa kwa nchi kwa sababu ya kulinda maslahi yao ya kiutawala.Na ndio maana tunawaambia Chadema Diaspora na Watanzania wote kuwa watulie na mambo mazuri yanakuja.
Haina haja ya kutaka "kumlazimisha" Mheshimiwa rais
Hakuna kitu hapoHakika huyu ni mponyaji wa Taifa,
Aungwe mkono kwa nguvu zote
Huwezi jua, pengine Mama analijua hilo na ndio maana akawaambia tangu kipindi kile apewe muda.Lakini nao CCM wasiingilie mambo mazuri yenye manufaa kwa nchi kwa sababu ya kulinda maslahi yao ya kiutawala.
Ama kwa hakika haya ni maneno mazuri mno na pia ya muhimu sana kutoka kwa "Comforter in Chief" mwenyewe. Licha ya Rais wetu kuwa ndiye "Commander in Chief" kwa majeshi yetu yote ya ulinzi na usalama hapa nchini, lakini hili la kuleta faraja kwa wananchi wake mbalimbalu wanaopitia katika mitihani migumu ya maisha ni la kutia moyo sana.Binafsi na kwa Umri wangu huu sijawahi kuona Rais mnyenyekevu na mpole kama huyu (She is so simple ever).
Kwa unyenyekevu mkubwa nawaomba na kuwasihi watanzania wote wanaopenda amani, utulivu na ustawi wa mtu mmoja mmoja tumuungeni mkono Rais wetu kwani ni hakika anatupenda sana kama Taifa.
===
Mimi ni dada tu kwa Tundu Lissu kwa hiyo kama anakuja kwangu mimi anakuja kwa dada yake, kwa hiyo kama ana shida kama ana nini atakuja kusema kwa dada yake. hakuna tension ya kisiasa kati yangu mimi na Tundu Lissu haipo kwa hiyo anakuja kumuona dada yake, Rais wake katoka Tanzania kaja kwa hiyo anakuja kumuona.
Tunapokuja kwenye swala la ubinadamu Tundu Lissu mimi ni mdogo wangu tu kwa atakuja tutazungumza, hivyo mimi siwezi kusema sijui anakuja na nini anakuja kuna hili au kuna lile siwezi kusema mpaka nimsikilize kwa hiyo anakuja kumuona dada yake, lakini anakuja kwenye jambo la kirafiki kabisa, kama unakumbuka Tundu Lissu alilazwa Nairobi na mimi nilikwenda kumuona katika hali ya kirafiki kabisa maana Tundu Lissu ni mdogo wangu.
Tunapokuja kwenye swala la kisiasa, huku sasa ni upande wa kazi, yeye atasema ya kwake na mimi nitasimama kwenye chama changu.
Unachekesha sana,Sawa Mheshimiwa, mnapendana.
Sisi tusio na chama wala undugu haki zetu tutazipatia wapi?? Waliokimbia Tanzania wako wengi na wako Marekani Ulaya na nchi nyingine je waanze kushika mabango UN,EU na kwenye ofisi za ubalozi wa Tanzania duniani kote ndio raisi ajue shida iliyopo Tanzania??Yaani ukitaka kuthibitisha kuwa watu Ni Misukule.
Kumbe masuala ya TOZO, UFISADI, RUSHWA, UKOSEFU WA AJIRA, siyo TATIZO Kabisa.
Tatizo Ni Mbowe, Lissu, Lema na Heche hawapewi CHAKULA wanavyotaka.
Ukiwapa wao hutasikia kelele.
Praise team isije ikawa watu wanapiga fweza kisawasawa !!?? Ohoo !! Natania tu !Ni vyema sasa taifa letu hili la Tanzania likaongozwa na maraisi wajinsia KE, maana mama kaupiga mwingi hadi basi 2025 tunaenda na Mama yetu Samiah Suluhu Hassan..
Na ahakikishe akiondoka atuletee mwingine wa jinsi Ke kama yeye, hakika wanawake wanaweza wakiwezeshwa..
wanapiga kutoka wapi?P
Praise team isije ikawa watu wanapiga fweza kisawasawa !!?? Ohoo !! Natania tu !
Ndio uwe mwanasiasa sasa ili ndio uweze kusikilizwa unapodai haki zako.Sisi tusio na chama wala undugu haki zetu tutazipatia wapi?? Waliokimbia Tanzania wako wengi na wako Marekani Ulaya na nchi nyingine je waanze kushika mabango UN,EU na kwenye ofisi za ubalozi wa Tanzania duniani kote ndio raisi ajue shida iliyopo Tanzania??
Hakika,Ndio uwe mwanasiasa sasa ili ndio uweze kusikilizwa unapodai haki zako.
Rais mnyenyekevu,
Rais Mpole,
Rais msikivu
Rais mpenda watu wake wote,
Rais Msikivu
Rais Mtulivu
Rais mchamungu
Rais mahiri
Rais Shupavu
Rais Jasiri
Binafsi na kwa Umri wangu huu sijawahi kuona Rais mnyenyekevu na mpole kama huyu (She is so simple ever).
Kwa unyenyekevu mkubwa nawaomba na kuwasihi watanzania wote wanaopenda amani, utulivu na ustawi wa mtu mmoja mmoja tumuungeni mkono Rais wetu kwani ni hakika anatupenda sana kama Taifa.
<<<Msikilize hadi Mwisho >>>
===
Mimi ni dada tu kwa Tundu Lissu kwa hiyo kama anakuja kwangu mimi anakuja kwa dada yake, kwa hiyo kama ana shida kama ana nini atakuja kusema kwa dada yake. hakuna tension ya kisiasa kati yangu mimi na Tundu Lissu haipo kwa hiyo anakuja kumuona dada yake, Rais wake katoka Tanzania kaja kwa hiyo anakuja kumuona.
Tunapokuja kwenye swala la ubinadamu Tundu Lissu mimi ni mdogo wangu tu kwa atakuja tutazungumza, hivyo mimi siwezi kusema sijui anakuja na nini anakuja kuna hili au kuna lile siwezi kusema mpaka nimsikilize kwa hiyo anakuja kumuona dada yake, lakini anakuja kwenye jambo la kirafiki kabisa, kama unakumbuka Tundu Lissu alilazwa Nairobi na mimi nilikwenda kumuona katika hali ya kirafiki kabisa maana Tundu Lissu ni mdogo wangu.
Tunapokuja kwenye swala la kisiasa, huku sasa ni upande wa kazi, yeye atasema ya kwake na mimi nitasimama kwenye chama changu.
Walituletea Rais kichaa, mbaguzi, mwizi, muuaji, mtekaji muonevu roho mbaya.Tuache sifa nyingi wala hazihitaji kama mnavyohisi sio sawa na yule aliepita. Huyu ndie Rias anaeitendea kazi nafasi yake kwa busara na utashi unaotakiwa ni wajibu wake kwani kila mtanzania ni wake mpinzani na wanaotoka kwenye chama chake.
Huyu ndie Rais tunamtegemea. Watu kama hawa wapo ila mihemko ya kisiasa inapelekea kupata Rais mbovu na kilitesa Taifa zima. Tusirudie makosa kama yale tena.
Kulikuwa kuna shida kwenye system iliyompata Rais asiejua Taifa hili watu wote ni wake bila kubagua watokapo.
DadaRais mnyenyekevu,
Rais Mpole,
Rais msikivu
Rais mpenda watu wake wote,
Rais Msikivu
Rais Mtulivu
Rais mchamungu
Rais mahiri
Rais Shupavu
Rais Jasiri
60 milioni wanasiasa wote eh kweli bongo kuna kazi haki zinatafutwa kwa mtu mmoja mmoja??Ndio uwe mwanasiasa sasa ili ndio uweze kusikilizwa unapodai haki zako.
Sasa mtu kama mie nisie mwanasiasa au kuwa na hadhi yeyote ile naweza vp kupata nafasi kama aliyopata Lissu na kueleza malalamiko yangu? Au nikiwa na kesi kama ya Mbowe unafikiri ni nani ataenda kuniombea kwa rais ili niachiwe huru?60 milioni wanasiasa wote eh kweli bongo kuna kazi haki zinatafutwa kwa mtu mmoja mmoja??