DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Kwa KATIBA hii tuliyo nayo Akitoka mwenyezi Mungu anafuatia RAIS wa nchi.
Kuweza ku battle nae ni kazi maana vyombo vya ulinzi na usalama vimaweza kumuua kwa mbinu mbali mbali..
Ogopa Sana binadamu anapo saka madaraka na vyeo ama kulinda maslahi yake..una uwawa unakumbuka SAGA ya KAMBONA VS NYERERE, KINA HANGA NA BABU?
NACHO JUA GWAJIMA HAJAWAI KUSHINDWA BINAFSI MIMI NI ROLE MODEL WANGU NI CHARISMATIC LEADER NA MAMA SAMIA AMESHA WEKWA MSALABANI PALE UFUFUO NA UZIMA CATHEDRAL KUNA MAOMBI YA KUSHINDANA TUNGOJE DAKIKA 90.
Jibu hoja acha uchawawananchi wa kawe wataamua kumgwajimize gwajima kama wataamua kwenda china au marekani maana kufufua watu imeshindikana 🐒
Hii kitu lazima aruke nayo madhabahuni jumapili.😂😂😂😁 Wewe unaamini mimi kusema Samia hafai namkosea heshima sawa bhana, kama ndivyo unavyofikir.
Ngoja niagize Serengeti lager hapa, nikisubiri Press ya Gwajima au Makamba ✌🏾 😁
Gentleman,Jibu hoja yangu gwajima yupo bungeni kwa haki ama sio haki?
Wengi tu hawakushinda kura za maoni, naye aliingia kwenye kinyang'anyiro akiwa amehakikishiwa kupitishwa. Kama ilivyokuwa kwa Kimei na wengineo.Hakina war
Gwajima never won kawe primaries
Ata ukiwa Chadema ukiongea ukweli wa mambo yalivyo lazima utapata maadui.Ukitaka kuongea kwa uhuru hamia CHADEMA
wananchi wa kawe ndio wana majibu sahihi dhidi ya uongozi wa Jimbo lao.Jibu hoja acha uchawa
Magufuli alihaidi Milioni 50 kila kijiji na hakuzigawa, kwahiyo Wagombea wa CCM kutaja vitu ambavyo haliwezekani ni jadi yao.Kawe wanasubiri awapeleke Birmingham hadi leo Hajawapeleka atawadanganya nini wamkubali?
Mkuu jibu kwa hoja , gwajima hayo anayoongea mpaka sasa yupo kwa kofia ya chama gani? Na je achoongea kuhusu watanganyika kutwekwa na kupotezwa ni sahihi ama sio sahihi?Gentleman,
wananchi wa Kawe waliamua na hivi karibuni wataamua mchana kweupe juu ya mustakabali wa uongozi wa jimbo lao.🐒
Wakuu,
Akiwa anazungumza leo, Rais Samia ameagiza kwamba mchakato wa kuchuja wagombea awamu hii unapaswa kuwa na uangalifu mkubwa ili kuzuia CCM isije kuwa Gwajiminized
"Vikao vinavyoenda kuchuja wagombea wakatendee haki. Anayefaa aambiwe anafaa asiyefaa tuseme huyu ana kasoro moja mbili tatu. Tukipitisha wale ambao wanataka na mie niwemo ndo tunapata wale wanaokwenda huko, chama kinakuwa Gwajiminized"
"Tusi Gwajiminize chama chetu, Magwajima tuyaache huko nje "
Hayo ni matusi kwa Gwajima na wale wanalia na utekaji, Ubakaji, mauaji ya dola!! TumekwishaWakuu,
Akiwa anazungumza leo, Rais Samia ameagiza kwamba mchakato wa kuchuja wagombea awamu hii unapaswa kuwa na uangalifu mkubwa ili kuzuia CCM isije kuwa Gwajiminized
"Vikao vinavyoenda kuchuja wagombea wakatendee haki. Anayefaa aambiwe anafaa asiyefaa tuseme huyu ana kasoro moja mbili tatu. Tukipitisha wale ambao wanataka na mie niwemo ndo tunapata wale wanaokwenda huko, chama kinakuwa Gwajiminized"
"Tusi Gwajiminize chama chetu, Magwajima tuyaache huko nje "
Samia didn't win either. She, out of cowardice, avoided the primaries.Gwajima never won kawe primaries
We ni jerry au sio???Kaka sio kuogopa tu, mtu akiwa raisi au mfalme hana budi kuheshimiwa kama anafuata katiba na miongozo tuliyo wekeana kama viumbe tunaojinadi tuna akili 🤔
Gwajima ndiyo haki ukiwa kinyume na Gwajima hakuna haki tena ni ushetani wa Rushwa utatawalaWakachaguane kwa haki huko ila kwenye urais huko hapana?