Huyu hamtaki tena Gwajima huko Ccm.Wakuu,
Akiwa anazungumza leo, Rais Samia ameagiza kwamba mchakato wa kuchuja wagombea awamu hii unapaswa kuwa na uangalifu mkubwa ili kuzuia CCM isije kuwa Gwajiminized
"Vikao vinavyoenda kuchuja wagombea wakatendee haki. Anayefaa aambiwe anafaa asiyefaa tuseme huyu ana kasoro moja mbili tatu. Tukipitisha wale ambao wanataka na mie niwemo ndo tunapata wale wanaokwenda huko, chama kinakuwa Gwajiminized"
"Tusi Gwajiminize chama chetu, Magwajima tuyaache huko nje "
Gwajima yupo kwenye haki ukiwa kimyume na Gwajima hakuna haki ni maigizo ya hakiWe ni jerry au sio???
"Rais wetu hata kama ni wa hovyo kiasi gani, tumtii"
Jerry Muro 2025
Na hapo hawajajibu hoja zake .Hapo Gwajima ndoo Baaaasiiiiiiiiiiiiiiiii hajibu Tena na ubunge ndo kwa heri
Washauri wa mama huenda ni Akina Steve Nyerere au Jerry muro wavuta Bangi kwani kabdri siku zinavyokwenda anazidi kuongea vitu vya ajabu ajabu Aibu kwa TaifaYaani Mama anaona gwajima hayuko sahihi?
Haya ni mambo ya ajabu sana yanaendelea ndani ya nchi hii.
Nilitegemea wewe kaka mkubwa mbobevu utufafanulie🥺
- Msamiati mpya
- Mwenye ufahamu alete maana halisi
Gwajima amefanya mazuri kwani sasa watu wamejua ukweli wote nani yupo kwenye utekaji nani yupo kwenye manyanyaso kwa wapinzaniNa hapo hawajajibu hoja zake .
Hapo tunamjua loser ni nani.
Magufuli did….Samia didn't win either. She, out of cowardice, avoided the primaries.
Bro hapana bhana😁😁 ila huyu mama namheshimu tu, ila kwenye hoja bila kutweza utu mimi sipo pamoja nao kamweWe ni jerry au sio???
"Rais wetu hata kama ni wa hovyo kiasi gani, tumtii"
Jerry Muro 2025
Huyu mama ni hatari na leo kathibitisha kuwa anaunga mkono utekaji na mauaji. Ndiyo maana wauaji wanafanya bila hofu. Ukienda kumpigia kura jua umelaaniwa wewe na vizazi vyako!Hataki kukosolewa huyu mama Abdul, heri adui unayemfahamu kuliko yule usiyemjua
Uhai wake je!?Gwajima sasa hana cha kupoteza,na mtu ambaye hana cha kupoteza huwa ni hatari sana.
Je gwajima atakubali asirushe makombora wakati hana cha kupoteza?
Gentleman,Mkuu jibu kwa hoja , gwajima hayo anayoongea mpaka sasa yupo kwa kofia ya chama gani? Na je achoongea kuhusu watanganyika kutwekwa na kupotezwa ni sahihi ama sio sahihi?
Petrol imeshamwagwa, kiberiti anacho nani?The real war has started