Prof Griff
JF-Expert Member
- Aug 29, 2008
- 6,772
- 5,258
Ni mchele siyo mahindi wee mzee. Halafu vigezo na masharti kuzingatiwa: msaada uliopewa huwezi baadaye kuugawa kwa yeyote asiye mlengwaKuna Mahindi ambayo Marekani imetoa msaada kwa Tanzania.
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe kawa na wasiwasi nayo. Amedai yamewekewa Virutubisho ambavyo havijulikani.
Pia Waziri kasema Tanzania tuna Mahindi mengi hayana Soko, hivyo wangetumia mahindi yetu na kuweka Virutubisho Watanzania wakiwa wanaona.
Mimi napendekeza, kuliko kuyamwaga, Tuchukue hayo Mahindi, Mafuta ya Alizeti na Maharage waloleta, tupakie kwenye ile ndege ya mizigoo ya ATCL tuwape msaada Wananchi wa Haiti wanaokufa Njaa.