Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Hapo sasa ndiyo tunashangaa sana sisi wanyongeReli ya umeme itakamilima 2050. Hadi leo kipande cha Dar to Pugu hakijakamilika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo sasa ndiyo tunashangaa sana sisi wanyongeReli ya umeme itakamilima 2050. Hadi leo kipande cha Dar to Pugu hakijakamilika
Huna jemaDivide and rule, akishikwa anakimbilia kwa legacy ya Magu (RIP) kusema anamaliza miradi huku Serikali yake inazima umeme, Magu akisifiwa anakuja kuchonganisha Magu aonekane mbaya na kwamba matatizo yakitokea siyo Awamu yake.
Playing people against each other, …
Alishasema kuwa ana faili lake pale mirembe
Huku tumeongeza tozo ili Tanzania isipigwe mnada kutokana na mikopo, kule tena tutakopa kokote kule ili tumalize miradi yote. Lugha gongana."...miradi yote itaendelezwa na itamalizika kwa wakati."
"...wapo wanaoomba eti miradi hii isiishe ama kuendelezwa nasema acha wajidanganye."
"...na tutakopa popote pale ili tu tumalize miradi yote hii ya kimkakati.Bwawa kule linaendelea na pote barabara za lami zinajengwa."
Samia leo Ikulu.
Nani alipambana na CAG alipogusia haya? Nini kimebadilika ndani ya moyo wake... kilio kikubwa kimekuwa matumizi mabovu ya resources yasiyo endelevu na awamu zote hakuna ambaye aliwahi kudai anatumia mikopo vibaya which means wote walikuwa wanatumia mikopo vizuri na hata awamu ya 5 walifikia mahali wakatuhakikishia miradi yote ilikuwa kwa fedha za ndani.
Cha ajabu leo, nchi imelemewa na mzigo wa madeni (as per Speaker's statement and other sources). Ni nini kitatuhakikishia kwamba serikali yake na watendaji wake chini ya Katiba, sheria, Ilani, na chama kile kile watakuwa tofauti na watangulizi wao? Sio kwamba anaongea simply kwa sababu ana kinga ya kikatiba ya kutowajibika kesho na keshokutwa hata kama mambo yataenda ndivyo sivyo?
Mbowe anajua mwenye unafuu 2025 atatuletea jembe kutoka ccm.Ccm hakuna aliye na unafuu
Huo ni ushahidi murua kuwa ndani ya ccm kuna makundi kibao na very soon sisi wakojani tutarudi kwetu na vipande vya nyundo na jembeHuku tumeongeza tozo ili Tanzania isipigwe mnada kutokana na mikopo, huku tena tutakopa kokote kule.
Acha ujinga,Ukiona mtu hamuungi mkono ajuwe sio mtanzania.Bila kukopa hakuna maendeleo.Makabila mengi ukienda kuchumbia,utaulizwa una madeni?ukisema huna madeni,huthaminiwi.Wanasema huyu,atakuja mlaza na njaa mtoto wetu,akiwa hajui kukopa.
Hakuna tajiri,wala mfanyabiashara mkubwa asiye kopa.Hakuna maskini wala mfanyabiashara mdogo,asiyekopa,binadamu anayejitambua lazima akope.
Cc: Sexless"...miradi yote itaendelezwa na itamalizika kwa wakati."
"...wapo wanaoomba eti miradi hii isiishe ama kuendelezwa nasema acha wajidanganye."
"...na tutakopa popote pale ili tu tumalize miradi yote hii ya kimkakati.Bwawa kule linaendelea na pote barabara za lami zinajengwa."
Samia leo Ikulu.
ZuZu mkuu soma hiyooooo!!Akihutubia leo wakati wa utiaji wa saini wa ujenzi wa Reli ya kisasa (SGR) ya Makutupora - Tabora, Rais Samia amesema mikopo sio mibaya kama itatumika vizuri.
Rais SSH akaongeza, wale wanaokosoa kuwa mikopo inaturudisha nyuma ni wale ambao hawajui maana halisi ya mikopo kwani hata nchi kubwa zinakopa na kukamilisha miradi yao.
"Hatuwezi kukamilisha miradi hii kwa pesa za ndani wala pesa za tozo, hivyo ni lazima tukope kuliko kuwakamua wananchi" aliongeza Rais SSH.
My take:
Rais kaamua kuzima maneno maneno yaliyokuwa yameanza kurushwa kutokea katikati ya nchi
======
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema zipo jitihada za kuivunja moyo Serikali kwenye Mikopo, akiongeza kuwa hakuna Nchi isiyokopa na hata Mataifa yaliyoendelea yana Mikopo mikubwa
Amesisitiza, "Tutakopa tumalize miradi ya maendeleo ili tuendelee. Ukikopa unajenga sasa kwa haraka, ukisubiri ukusanye za kwako utamaliza lini kujenga? Mradi wa Matrilioni unasubiri za kwako utaumaliza lini"
Ameongeza, "Tumekopa Mkopo wa Masharti nafuu wa miaka 20, unakudhuru nini? Maendeleo yanakuja haraka, utakusanya polepole uende ukalipe"
Akili za ubwabwa na uduvi. Jeuri vitendo si maneno mdebwedo!! Ajipange sana tu"...miradi yote itaendelezwa na itamalizika kwa wakati."
"...wapo wanaoomba eti miradi hii isiishe ama kuendelezwa nasema acha wajidanganye."
"...na tutakopa popote pale ili tu tumalize miradi yote hii ya kimkakati.Bwawa kule linaendelea na pote barabara za lami zinajengwa."
Samia leo Ikulu.
Leo kajibiwa haupo mradi utakaosimama Tanzania
Hahaha wachawi wanaomuwangia maza sasa hadhalani ZuZu mkuu umemulikwa!!"...miradi yote itaendelezwa na itamalizika kwa wakati."
"...wapo wanaoomba eti miradi hii isiishe ama kuendelezwa nasema acha wajidanganye."
"...na tutakopa popote pale ili tu tumalize miradi yote hii ya kimkakati.Bwawa kule linaendelea na pote barabara za lami zinajengwa."
Samia leo Ikulu.
Hahahaha Halima mdee kajioa wallahi....Kambi ya upinzani bungeni iko wapi?
Watoe tamko na wao.
Mbona kule kwao Zanzibar hawakopi?Asalam!
Rais wa JMT amefafanua kwa kina suala la mikopo ambalo limezua gumzo hasa baada ya Mh. Spika Job Ndugai kubeza suala la ukopaji.
Rais ameelezea aina ya mikopo na muda wa ulipaji vs maendeleo yanayotengenezwa. Anasema Tanzania inajipanga kivitendo kuwa kitovu cha biashara kwa ukanda wetu.
Anasema wanaodai mikopo ni tatizo inategemeana na unavotumia. Anasema tusibeze mikopo ila tuangalie faida zake.
Mh. Rais amefafanua kwa kina aina ya ukopaji wetu
Kwa mtazamo wangu amefafanua vizuri. Tumuunge mkono