Rais Samia: Tutaendelea kukopa tumalizie miradi inayoendelea

Rais Samia: Tutaendelea kukopa tumalizie miradi inayoendelea

Tumsikilize Rais Au Tumsikilize Spika wa Bunge?

Rais Samia Anapata Upinzani mkali sanaa Ndani Ya Chama Bila Kujijua… Ana Deal Na Kina PolePole, Gwajima na Jerry ambao hata sio
 
Ukiona mtu hamuungi mkono ajuwe sio mtanzania.Bila kukopa hakuna maendeleo.Makabila mengi ukienda kuchumbia,utaulizwa una madeni?ukisema huna madeni,huthaminiwi.Wanasema huyu,atakuja mlaza na njaa mtoto wetu,akiwa hajui kukopa.
Hakuna tajiri,wala mfanyabiashara mkubwa asiye kopa.Hakuna maskini wala mfanyabiashara mdogo,asiyekopa,binadamu anayejitambua lazima akope.

Acha ujinga wewe hao matajiri na wafanyabiashara binafsi wanakopa na tulipa,na wasipolipa wanafilisiwa, sijui hujawahi ona mali zao zikiuzwa na mabenki pale wanaposhindwa kulipa.

Sasa nchi yetu inakopa tu hadi sasa deni limefikia tirion 70 , mara 3 ya bajeti yetu ya mwaka bila misaada.

Miaka 60 yote mi ccm inakopa tu hakuna chochote cha maana inachofanya nchi imegeuzwa jina inaitwa "highly indebted poor country" ni kheri tungebakiwa na jina letu la poor country tu.

Kitachofata ndio hicho alichogusia subwoofer mlezi wa covid 19 kwamba nchi inaweza kuuzwa.
Manake hata kwenye mabenki hao matajiri wakikopa wakishindwa kulipa ni kufilisiwa.
 
Asalam!
Rais wa JMT amefafanua kwa kina suala la mikopo ambalo limezua gumzo hasa baada ya Mh. Spika Job Ndugai kubeza suala la ukopaji.

Rais ameelezea aina ya mikopo na muda wa ulipaji vs maendeleo yanayotengenezwa. Anasema Tanzania inajipanga kivitendo kuwa kitovu cha biashara kwa ukanda wetu.

Anasema wanaodai mikopo ni tatizo inategemeana na unavotumia. Anasema tusibeze mikopo ila tuangalie faida zake.

Mh. Rais amefafanua kwa kina aina ya ukopaji wetu

Kwa mtazamo wangu amefafanua vizuri. Tumuunge mkono
Hivi kuna aliekopa mkopo kwa nia mbaya? Mikopo yote nyuma walieleza nia zilizopambwa kama hizi
 
Inakopa serikali ya tanganyika huyu mama kaanza kuwapa kule kwao kaanza na huu mkopo wa kovid zanzibar wamepewa.
Wenyewe hawajengi madarasa zinatumika kulipia mafao kwa wastaafu na kulipa madeni ya wakandarasi wao.
Ila deni tutalipa sisi watanganyika
Wanakopa Zenji tunalipa sisi
 
Hivi kuna aliekopa mkopo kwa nia mbaya? Mikopo yote nyuma walieleza nia zilizopambwa kama hizi
Mapumbavu na mashetani kabisa haya majitu. Yanatufanya sisi wananchi mazuzu.
Yanakopa hayalipi halafu yanaondoka madarakani inabidi utaratibu ufanyike kila rais akimaliza madaraka asiache deni lake.
Nchi inadaiwa tirion 70 halafu bado maskini? Huu ni upumbavu
 
Asalam!
Rais wa JMT amefafanua kwa kina suala la mikopo ambalo limezua gumzo hasa baada ya Mh. Spika Job Ndugai kubeza suala la ukopaji.

Rais ameelezea aina ya mikopo na muda wa ulipaji vs maendeleo yanayotengenezwa. Anasema Tanzania inajipanga kivitendo kuwa kitovu cha biashara kwa ukanda wetu.

Anasema wanaodai mikopo ni tatizo inategemeana na unavotumia. Anasema tusibeze mikopo ila tuangalie faida zake.

Mh. Rais amefafanua kwa kina aina ya ukopaji wetu

Kwa mtazamo wangu amefafanua vizuri. Tumuunge mkono
Mbona hamna sehemu aliyo fafanua kwa kina?
 
Hela za covid kujengea madarasa hapa sio sawa mkopo mkubwa tunapeleka ambapo hawazalishi

Madarasa yanapaswa kujengwa kwa kodi zetu na faida mbali mbali za taifa Ila sio mkopo
 
Waswahili usema....... Kama halipo laja, ndivyo tunavyoweza kusema sisi wananchi wa Hali ya chini.

Katika Hali hisiyo ya kawaida,au Hali inayoashiria BIFU, kubwa kati ya mkopaji na yule bwana nani anapinga tusikope Sasa BIFU limekuwa kubwa bwana yule anahoji hela za mikopo kujenga madarasa wakati walipitisha MITOZO simu akiwa amesinzia bungeni aliposhutuka akakuta ngoma zikapita.

Sasa anashangaaa dadeki mikopo,mwelele,anaanza kuogopa nchi itauzwa, mama amejitokeza na jumchambua kama kalanga kudadeki amemwambia atakopa kumalizia miradi yote,ameongezea jumchambua kwa kumwambia kuwa hata wakubwa wanakopa na yeye atakopa

Kumbe mchizi alitakuwa anapiga tusikope Ili miradi ishindwe alafu aanze kampeni chafu dadeki tutakopa mpaka mkome.
 
Mmmmhhh, mm ningefurahi, Mama Samia kama angekaa kimya, sbb Ndugai mm simuamini hata kidogo.
 
Back
Top Bottom