Rais Samia: Tutaendelea kukopa tumalizie miradi inayoendelea

Huna jema
 
Huku tumeongeza tozo ili Tanzania isipigwe mnada kutokana na mikopo, kule tena tutakopa kokote kule ili tumalize miradi yote. Lugha gongana.
 
Kaanza Mipasho ?

Hao wapiga ramli hawalipi Kodi ?, Kama wanalipa sio wabezwe bali tujaribu kuwaelewesha na kama bado wanapinga tujiulize kwanini na tushindane nao kwa hoja...
 
Nani alipambana na CAG alipogusia haya? Nini kimebadilika ndani ya moyo wake
 
Huku tumeongeza tozo ili Tanzania isipigwe mnada kutokana na mikopo, huku tena tutakopa kokote kule.
Huo ni ushahidi murua kuwa ndani ya ccm kuna makundi kibao na very soon sisi wakojani tutarudi kwetu na vipande vya nyundo na jembe
 
Kukopa kufanya capital expenditure sio dhambi, Mama piga kazi achana na wapiga vuvuzela.
 
Acha ujinga,
 
Mama yuko sahihi, wananchi wengi watamwelewa wenye mashaka, hivyo jf tusiwachonganishe Rais na spika, wote wanania njema na si mivutano, bahati mbaya wanaongelea kwenye majukwaa, wangeweza kukutana na kubadilishana mawazo. Hii pia ilitokea kipindi Magu juu ya bandari ya bagamoyo!
 
Cc: Sexless
 
ZuZu mkuu soma hiyooooo!!
 
Akili za ubwabwa na uduvi. Jeuri vitendo si maneno mdebwedo!! Ajipange sana tu
 
Tuseme ukweli hii wizara ya Nishati ni kama inaturudisha nyuma. Kwani hawawezi kuzuia kukatika katika kwa umeme ili tufanye shuguri zetu bila matatizo makubwa ya umeme? Plse pull up your socks!!!
 
Hahaha wachawi wanaomuwangia maza sasa hadhalani ZuZu mkuu umemulikwa!!
 
Kambi ya upinzani bungeni iko wapi?
Watoe tamko na wao.
 
Mbona kule kwao Zanzibar hawakopi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…