ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Ukiona mtu hamuungi mkono ajuwe sio mtanzania.Bila kukopa hakuna maendeleo.Makabila mengi ukienda kuchumbia,utaulizwa una madeni?ukisema huna madeni,huthaminiwi.Wanasema huyu,atakuja mlaza na njaa mtoto wetu,akiwa hajui kukopa.
Hakuna tajiri,wala mfanyabiashara mkubwa asiye kopa.Hakuna maskini wala mfanyabiashara mdogo,asiyekopa,binadamu anayejitambua lazima akope.
Hivi kuna aliekopa mkopo kwa nia mbaya? Mikopo yote nyuma walieleza nia zilizopambwa kama hiziAsalam!
Rais wa JMT amefafanua kwa kina suala la mikopo ambalo limezua gumzo hasa baada ya Mh. Spika Job Ndugai kubeza suala la ukopaji.
Rais ameelezea aina ya mikopo na muda wa ulipaji vs maendeleo yanayotengenezwa. Anasema Tanzania inajipanga kivitendo kuwa kitovu cha biashara kwa ukanda wetu.
Anasema wanaodai mikopo ni tatizo inategemeana na unavotumia. Anasema tusibeze mikopo ila tuangalie faida zake.
Mh. Rais amefafanua kwa kina aina ya ukopaji wetu
Kwa mtazamo wangu amefafanua vizuri. Tumuunge mkono
Inakopa serikali ya tanganyika huyu mama kaanza kuwapa kule kwao kaanza na huu mkopo wa kovid zanzibar wamepewa.Mbona kule kwao Zanzibar hawakopi?
Wanakopa Zenji tunalipa sisiInakopa serikali ya tanganyika huyu mama kaanza kuwapa kule kwao kaanza na huu mkopo wa kovid zanzibar wamepewa.
Wenyewe hawajengi madarasa zinatumika kulipia mafao kwa wastaafu na kulipa madeni ya wakandarasi wao.
Ila deni tutalipa sisi watanganyika
Ukimuunga wewe mkono usitujumuishe na wengineWananchi tunamuunga mkono.
Mapumbavu na mashetani kabisa haya majitu. Yanatufanya sisi wananchi mazuzu.Hivi kuna aliekopa mkopo kwa nia mbaya? Mikopo yote nyuma walieleza nia zilizopambwa kama hizi
Mbona hamna sehemu aliyo fafanua kwa kina?Asalam!
Rais wa JMT amefafanua kwa kina suala la mikopo ambalo limezua gumzo hasa baada ya Mh. Spika Job Ndugai kubeza suala la ukopaji.
Rais ameelezea aina ya mikopo na muda wa ulipaji vs maendeleo yanayotengenezwa. Anasema Tanzania inajipanga kivitendo kuwa kitovu cha biashara kwa ukanda wetu.
Anasema wanaodai mikopo ni tatizo inategemeana na unavotumia. Anasema tusibeze mikopo ila tuangalie faida zake.
Mh. Rais amefafanua kwa kina aina ya ukopaji wetu
Kwa mtazamo wangu amefafanua vizuri. Tumuunge mkono
Mimi ni mwananchi lakini simuungi mkono, jisemee mwenyewe wewe faraWananchi tunamuunga mkono.
Hawezi kufafanua kitu huyo karani sijui sekretariMbona hamna sehemu aliyo fafanua kwa kina?