Maafisa elimu kata hawana kazi wanayoifanya, labda kazi wanaliyonayo Ni kulipwa posho na kukusanya hela za mwenge,
Hao watu waliwekwa na mwendazake ili wasaidie kupiga biti waalimi wasiongee kuhusu kitokupanda madaraja na nyongeza ya mishahara kila mwaka isiwepo, just simple divide and rule
Wanapewa posho halafu kazi inakuwa kukandamiza wengine na asipofuata maelekezo anapigwa chini,
Sasa unafikili Kuna mtu ambae haitaki posho iyo250,000/= yaani hapo Ni kwamba wakuu wa shule na maafisa elimu kata hao watu ndo wanaoharibu elimu yetu maana wako radhi wafanye utopolo wowote kulinda posho yao bila kujali ubora wa elimu unapanda au unashuka.