Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si wana kamba shingoni?🤣"Hao wengine wakale wapi" - alisikika Kada mmoja Wa CCM
Acha wivu fanya kazi...hii itasaidia kuongeza Idadi ya walimu darasani kwani walimu wengi wamejificha maofisini hawafundishi.
NB:Nakuunga mkono Sana Kwa hili, Bora umeliona maana ni kweli linapinguza Sana Walimu mashuleni. Wengi wamekimbilia kuwa Wasaidizi ofisi za Utumishi, Wahasibu wasaidizi, Ustawi wa Jamii, Maafisa Ugavj na kuachana na Ajira mama ya Ualimu.
Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
Mfano meru Dc. Fuatilia output ya afisaelimu sekondari umeone uwezo mdogo alionao wa kusimamia elimu.Kua wawili siyo vibaya, ila input na output yao ipoje?
1. Mkuu wa idara ya elimu ( ambaye atakuwa afisaelimu msingi na sekondari). Awe na PhD .Sishauri hili wazo kutekelezwa kwake,kikubwa hapa ni watu kuwajibika,kila siku watu wanalalamika kuhusu ajira lakini hapo hapo hao hao watu wanashauri kuminywa upatikana wa nafasi za ajira
Hivi kile kitabu cha " Chitemo mimi masikini uvivu wangu nyumbani".. bado kipo... vitabu vya vina nyimbo mpaka za kina diamondKatika kurekebisha mfumo wa elimu ninashauri Rais aanze na hili nililolisikia leo ambalo sijaamini ,kuwa kila Halmashauti nchini Tanzania ina wakuu wawili wa idara za elimu ( Elimu msingi na Elimu Sekondari).
Ninashauri ateuliwe mtanzania moja moja mwenye elimu na uzoefu wa kutosha kuisimamia idara moja ya elimu itakayokuwa imeungana elimu msingi na sekondari.
Hii itasaidia mkuu moja wa data kusoma Elimu kuanzia msingi hadi sekondari ambako sasa mkuu mmoja wa idea ya Elimu msingi anampelekea mwenzake wa sekondari Wanafunzi wasiojua kusoma.
Pili itapunguza ukiritimba uliopo sambamba na kupunguza gharama Za kuandika idara mbili zinazofanana ndani ya Halmashauri moja
Mwisho mitaala iliyopo imepitwa na wakati na haiendani na Elimu ya juu ambayo nayo inatakiwa pitiewe upya.
Idara ya Elimu ndani ya Halmashauri iwe na watumishi 8 akiwemo mkuu wa idara, hii itasaidia kuongeza Idadi ya walimu darasani kwani walimu wengi wamejificha maofisini hawafundishi.
Prof Adolf Mkenda, anza na hili.
Hata nafasi ya maafisa Elimu kata haijulikani Wana kazi Gani?Katika kurekebisha mfumo wa elimu ninashauri Rais aanze na hili nililolisikia leo ambalo sijaamini ,kuwa kila Halmashauti nchini Tanzania ina wakuu wawili wa idara za elimu ( Elimu msingi na Elimu Sekondari).
Ninashauri ateuliwe mtanzania moja moja mwenye elimu na uzoefu wa kutosha kuisimamia idara moja ya elimu itakayokuwa imeungana elimu msingi na sekondari.
Hii itasaidia mkuu moja wa data kusoma Elimu kuanzia msingi hadi sekondari ambako sasa mkuu mmoja wa idea ya Elimu msingi anampelekea mwenzake wa sekondari Wanafunzi wasiojua kusoma.
Pili itapunguza ukiritimba uliopo sambamba na kupunguza gharama Za kuandika idara mbili zinazofanana ndani ya Halmashauri moja
Mwisho mitaala iliyopo imepitwa na wakati na haiendani na Elimu ya juu ambayo nayo inatakiwa pitiewe upya.
Idara ya Elimu ndani ya Halmashauri iwe na watumishi 8 akiwemo mkuu wa idara, hii itasaidia kuongeza Idadi ya walimu darasani kwani walimu wengi wamejificha maofisini hawafundishi.
Prof Adolf Mkenda, anza na hili.
Ndugu miaka 12 iliyopita nilifikia ngazi ya mkurugenzi wa idara wizara ya mambo ya nje kabla sijahamia kwenye international organization.Wapi wewe unatetea ugali eee? Sasahivi inaitwa "elimu msingi" watoto wanasoma mpaka kidato Cha nne mazingira Yale Yale. Walimu wanaosimamia mitihani ya Taifa wanabadilishana wa msingi kusimamia sekondari na WA sekondari kusimamia msingi. Halikadhalika, Kuna walimu wengi wametolewa sekondari wakarudishwa msingi kufundisha kujaribu kukabiliana na uhaba na wanafundisha tu bila shida na wengi wao ni walimu wakuu. Kuna mwingiliano mkubwa Sasa Kati ya sekondari na msingi kwahiyo kuwa chini ya boss mmoja hakuna shida kabisa isipokuwa kinachotakiwa ni Hawa wakuu wa idara kufuatiliwa kwa makini maana wamekuwa chanzo Cha migogoro kwenye shule hizo kwa kuteua wakuu wa shule kirafiki, kimapenzi, Hali inayopelekea kupata wakuu wasio na uwezo na kusababisha migogora mashuleni.
Hao ndoo members wa JF sasa ninao wajuaNdugu miaka 12 iliyopita nilifikia ngazi ya mkurugenzi wa idara wizara ya mambo ya nje kabla sijahamia kwenye international organization.
Nimetoa maoni kama mdau wa governmental operations and administration. Nimeshiriki kwenye public sector reforms nyingi sana so nimezungumza kwa experience.
Kuniambia natetea ugali ni argument ya kitoto ungeweza tu kupinga mawazo yangu.
Kiongozi hii nyuzi nimwisoma three times na commentaries woteKichwa cha habari,kinaonesha SAMIA ndio kasema.Kwenye maelezo unatoa maoni yako.uandishi gani huu??
Nakubaliana na hoja yako tena Afisa Elimu asimamie masuala ya elimu yote kuanzia chini mpk juuKatika kurekebisha mfumo wa elimu ninashauri Rais aanze na hili nililolisikia leo ambalo sijaamini ,kuwa kila Halmashauti nchini Tanzania ina wakuu wawili wa idara za elimu ( Elimu msingi na Elimu Sekondari).
Ninashauri ateuliwe mtanzania moja moja mwenye elimu na uzoefu wa kutosha kuisimamia idara moja ya elimu itakayokuwa imeungana elimu msingi na sekondari.
Hii itasaidia mkuu moja wa data kusoma Elimu kuanzia msingi hadi sekondari ambako sasa mkuu mmoja wa idea ya Elimu msingi anampelekea mwenzake wa sekondari Wanafunzi wasiojua kusoma.
Pili itapunguza ukiritimba uliopo sambamba na kupunguza gharama Za kuandika idara mbili zinazofanana ndani ya Halmashauri moja
Mwisho mitaala iliyopo imepitwa na wakati na haiendani na Elimu ya juu ambayo nayo inatakiwa pitiewe upya.
Idara ya Elimu ndani ya Halmashauri iwe na watumishi 8 akiwemo mkuu wa idara, hii itasaidia kuongeza Idadi ya walimu darasani kwani walimu wengi wamejificha maofisini hawafundishi.
Prof Adolf Mkenda, anza na hili.
Hoja yake ni nzuri lakini kachanganya madesaKichwa cha habari,kinaonesha SAMIA ndio kasema.Kwenye maelezo unatoa maoni yako.uandishi gani huu??
Pesa zimeliwa na kamati za kata wala Afisa Elimu hahusikiMama ashughulike kwanza ma maafisa elimu waliohusika kutafuna fedha ya madarasa ya COVID19 endapo akifanya hayo mabadiliko.haraka kutakuwa na teua tengua ambayo inakwenda kuficha ushahidi wa ufisadi uliofanyika