peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
- Thread starter
-
- #41
Wengine masters na kuendeleaUmesahau elimu maalumu, ufundi na chekechea, n.k
Huyo mwingine akiwa na PhD hawa wengine wawe na sifa zipi??
Na je, utaratibu wa kuwapata uweje??
Utaratibu wa kuwapata nafasi zitangazwe na watanzania waombe hizo nafasi kulingana na elimu zao, uzoefu wao na sifa zao kimaadili .Umesahau elimu maalumu, ufundi na chekechea, n.k
Huyo mwingine akiwa na PhD hawa wengine wawe na sifa zipi??
Na je, utaratibu wa kuwapata uweje??
Huu muundo ndani ya Halmashauri ni jukumu la Tamisemi,, Tamisemi ndio wanaoteua Maafisa elimu na wengineAFISAELIMU MSINGI WILAYA
2.AFISA ELIMU TAALUMA wapo 4
3.AFISAELIMU VIFAA NA TAKWIMU wapo 3
4.AFISA ELIMU YA WATU WAZIMA wapo 2
5.AFISA ELIMU VIELELEZO wapo 2
6.AFISA ELIMU SAYANSI KIMU yupo 1
7.AFISA ELIMU UFUNDI wapo 2
8.AFISAELIMU KILIMO ifutwe
9.AFISA ELIMU MAALUMU awepo mmoja kwa msingi na sekondari
10.WARATIBU ELIMU KATA wawepo
11.WARATIBU WA KITUO CHA WALIMU ifutwe
Muundo wa sasa elimu msingi ila hao kwenye namba 11 wamerudishwa shuleni kufundisha majukumu yao yamepewa hao namba 10
Huu ni muundo wa elimu msingi tu bado muundo wa elimu sekondari.
Prof adolf mkenda lala amka na muundo wa elimu ndani ya halmashauri.
1. Mkuu wa idara ya elimu ( ambaye atakuwa afisaelimu msingi na sekondari). Awe na PhD .Maafisa elimu kata hawana kazi wanayoifanya, labda kazi waliyonayo Ni kulipwa posho na kukusanya hela za mwenge,
Hao watu waliwekwa na mwendazake ili wasaidie kupiga biti waalimi wasiongee kuhusu kitokupanda madaraja na nyongeza ya mishahara kila mwaka isiwepo, just simple divide and rule
Wanapewa posho halafu kazi inakuwa kukandamiza wengine na asipofuata maelekezo anapigwa chini,
Sasa unafikili Kuna mtu ambae haitaki posho iyo250,000/= yaani hapo Ni kwamba wakuu wa shule na maafisa elimu kata hao watu ndo wanaoharibu elimu yetu maana wako radhi wafanye utopolo wowote kulinda posho yao bila kujali ubora wa elimu unapanda au unashuka.
1. Mkuu wa idara ya elimu ( ambaye atakuwa afisaelimu msingi na sekondari). Awe na PhD .Hon. Innocent Lugha Bashungwa
+255687840591
Kilio kimemfikia .
MarekebishoMaafisa elimu kata hawana kazi wanayoifanya, labda kazi wanaliyonayo Ni kulipwa posho na kukusanya hela za mwenge,
Hao watu waliwekwa na mwendazake ili wasaidie kupiga biti waalimi wasiongee kuhusu kitokupanda madaraja na nyongeza ya mishahara kila mwaka isiwepo, just simple divide and rule
Wanapewa posho halafu kazi inakuwa kukandamiza wengine na asipofuata maelekezo anapigwa chini,
Sasa unafikili Kuna mtu ambae haitaki posho iyo250,000/= yaani hapo Ni kwamba wakuu wa shule na maafisa elimu kata hao watu ndo wanaoharibu elimu yetu maana wako radhi wafanye utopolo wowote kulinda posho yao bila kujali ubora wa elimu unapanda au unashuka.
Naunga mkono hojaMarekebisho
Maafisa Elimu kata hiki cheo kilikuwepo kabla hata mwendazake hajawa Rais ila zamani kilikuwa kinatambulika kama waratibu Elimu kata sasa sheria/miongozo inawatambua kama Afisa Elimu kata.
I strongly agree.Maafisa elimu kata hawana kazi wanayoifanya, labda kazi waliyonayo Ni kulipwa posho na kukusanya hela za mwenge,
Ndio walikuwepo Waratibu Elimu lakini ujue kuwa hao Waratibu elimu walikuwa wanaishia shule za misingi tu hawakanyagi shule za sekondari maana wengi wao walikuwa na certificates,Marekebisho
Maafisa Elimu kata hiki cheo kilikuwepo kabla hata mwendazake hajawa Rais ila zamani kilikuwa kinatambulika kama waratibu Elimu kata sasa sheria/miongozo inawatambua kama Afisa Elimu kata.
Tatizo ni muundo na mfumo.Mfano afisa kilimo au vielelezo au sayansi kimu wanafanya kaxi gani kwrnye ofisi za elimu?I strongly agree.
Kusimamia shule za msingi na sec wameanza mwaka 2010.Ndio walikuwepo Waratibu Elimu lakini ujue kuwa hao Waratibu elimu walikuwa wanaishia shule za misingi tu hawakanyagi shule za sekondari maana wengi wao walikuwa na certificates,
Maafisa Elimu kata wana degree wameletwa na Magufuri wanaratibu Elimu kote shule za msingi na sekondari,
Nadhani umeona tofauti.
Hawakagui shahada au masters, wanakagua utendaji kazi.Kusimamia shule za msingi na sec wameanza mwaka 2010.
Kigezo cha kuwa na shahada kimeanza mwaka 2014 na kuendelea
ndio mwaka 2017 ikafuata wakuu wa shule wawe na shahada pamoja na walimu wakuu wawe na diploma.
Mimi najiuliza kwann wathibiti ubora wa halmashauri wengi wana diploma na wanawakagua walimu wenye shahada na master kwa msingi na sec[emoji3480]
Acha niishie hapa ila ........kuna kazi tena kubwa.Hawakagui shahada au masters, wanakagua utendaji kazi.
Safi sana... kazi za kuteua teuana zinaleta mianya ya unyanyasaji, umwinyi na kufifisha maarifa na juhudiUtaratibu wa kuwapata nafasi zitangazwe na watanzania waombe hizo nafasi kulingana na elimu zao, uzoefu wao na sifa zao kimaadili .
Pili wafanya oral interview na waeleze wanakwenda kuwafanyia watanzania nini?
Wataleta chachu gani kwenye elimu.