Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kweli walijitahidi sanaHongera Sana kwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi pamoja na Jopo lake kwa kazi nzuri waliyo ifanya mwaka jana 2020.
Rais Samia Suluhu Hassan ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Tanzania anapoakea ripoti ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 2020, Ikulu Dar. Katika Uchaguzi huo, Mgombea wa CCM Hayati Rais John Magufuli akiwa na Samia Suluhu kama Mgombea mwenza walishinda
Rais Magufuli alipofariki Machi 2021, aliyekuwa Mgombea mwenza Samia Suluhu akaapishwa kuwa Rais
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imesema Uchaguzi MKuu wa Mwaka 2020 uligharimu Tsh. 262,493,380,671 ambayo iligharamia ununuzi wa Karatasi za kupigia kura, Mafunzo, Ununuzi wa masanduku na uchapishaji nyaraka
-
Pamoja na gharama hiyo, jumla ya Tsh. 154,313,824,607.88 ilitumika katika uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura
-
Tume ya Taifa imesema gharama zote ziligharamiwa na serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania
NEC: TULIPOKEA RUFAA 165 NGAZI YA UBUNGE
-
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeripoti kupokea jumla ya rufaa 165 za Ubunge ambapo, rufaa 67 zilizotaka Wagombea kurudishwa kwenye kinyang’anyiro zilikubaliwa, 31 zilikataliwa. Rufaa 4 zilizotaka Wagombea kuondolewa zilikubaliwa
-
Wasimamizi wa Uchaguzi walipokea mapingamizi 1,298 ambapo mapingamizi 451 yalishindwa kuamuliwa na kufika Tume ya Taifa ya Uchaguzi ambapo Wagombea Udiwani 235 walikubaliwa kurejea katika kinyang’anyiro, mapingamizi 154 yalikataliwa. Rufaa 62 zilizotaka Wagombea kuondolewa zilikataliwa
Rais Samia: Uchaguzi tuligharamia wenyewe, ulimwengu haukuamini kama tungeweza kugharamia wenyewe
Rais Samia, Niwaombe wadau waangalie mapendekezo yaliyotolewa na wayalete serikalini tuangalie namna ya kuyafanyia kazi

Mwacheni Mama atufute Machozi,Mungu kasikia kilio chetu,,si unaona Sabaya ndani!! Nani Kama Mama!!?Afu uchaguzi wa Zambia last week haumsuti? Na ataenda kuhudhuria kuapishwa kwa rais aliyeshinda kihalali kabisa - mfano bora wa demokrasia barani Afrika.
Tz tunakwama wapi nasi kuwa mfano?
Hongera Tume kwa kufanikisha Uchaguzi mkuu kuisha salama hakika vitabu by historia ya nchi hii itawakumbuka daimaRais Samia Suluhu Hassan ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Tanzania anapoakea ripoti ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 2020, Ikulu Dar. Katika Uchaguzi huo, Mgombea wa CCM Hayati Rais John Magufuli akiwa na Samia Suluhu kama Mgombea mwenza walishinda
Rais Magufuli alipofariki Machi 2021, aliyekuwa Mgombea mwenza Samia Suluhu akaapishwa kuwa Rais
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imesema Uchaguzi MKuu wa Mwaka 2020 uligharimu Tsh. 262,493,380,671 ambayo iligharamia ununuzi wa Karatasi za kupigia kura, Mafunzo, Ununuzi wa masanduku na uchapishaji nyaraka
-
Pamoja na gharama hiyo, jumla ya Tsh. 154,313,824,607.88 ilitumika katika uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura
-
Tume ya Taifa imesema gharama zote ziligharamiwa na serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania
NEC: TULIPOKEA RUFAA 165 NGAZI YA UBUNGE
-
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeripoti kupokea jumla ya rufaa 165 za Ubunge ambapo, rufaa 67 zilizotaka Wagombea kurudishwa kwenye kinyang’anyiro zilikubaliwa, 31 zilikataliwa. Rufaa 4 zilizotaka Wagombea kuondolewa zilikubaliwa
-
Wasimamizi wa Uchaguzi walipokea mapingamizi 1,298 ambapo mapingamizi 451 yalishindwa kuamuliwa na kufika Tume ya Taifa ya Uchaguzi ambapo Wagombea Udiwani 235 walikubaliwa kurejea katika kinyang’anyiro, mapingamizi 154 yalikataliwa. Rufaa 62 zilizotaka Wagombea kuondolewa zilikataliwa
Rais Samia: Uchaguzi tuligharamia wenyewe, ulimwengu haukuamini kama tungeweza kugharamia wenyewe
Rais Samia, Niwaombe wadau waangalie mapendekezo yaliyotolewa na wayalete serikalini tuangalie namna ya kuyafanyia kazi
Hao uliowataja ni viongozi wa Tume?Bila ya kutaja mchango wa polisi, Tiss, NEC na watendaji kata na maDED hiyo ripoti ni batili
kwani akili yako invyokutuma ni kuwa akishinda mpinzani ndiyo kashinda kihalali?
Anajua kabisa kuwa hawakupita kihalali ndiyo maana nafsi inamsuta. Hao wote waliopo hapo kwenye tume ni makada wa CCM, mbona kura nyingi zimekamatwa huyo Samia haongelei....So pathetic.Ujinga mtupu
Ingekuwa wakati wa Mzee wa Msoga, palikuwa na uafadhali kidogo. Lakini kwa TUME hii 'iliyoimarishwa' na mungu wa Burigi, ni muujiza ambao wahitaji utafiti ili 'kumfahamu' vizuri hasa huyo mpinzani.kwani akili yako invyokutuma ni kuwa akishinda mpinzani ndiyo kashinda kihalali?