Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Facilitators wa Ushindi haramuHao uliowataja ni viongozi wa Tume?
Hahahahah ni KWAMBA wameona wamekua na Bunge la kipuuzi kwahio wanajikanganya at least kuwarubuni Wapinzani wakubali kurudi kwenye uchaguziKukosea majina ni kwa upinzani tu maccm hata mmoja hakukosea!!! 😳😳😳
Goli la punye mshangiliaji ni nani?Dar es Salaam. Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameagiza sheria za uchaguzi kuangaliwa upya ili zisitumike kuwanyima haki wagombea wanaokosea kujaza majina au herufi ya chama chake hali inayosababisha wagombea wengine kupita bila kupingwa.
Ameeleza hayo Jana Jumamosi Agosti 21, 2021 katika hafla ya kupokea taarifa ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 iliyofanyika Ikulu Dar es Salaam.
Kiongozi mkuu huyo wa nchi amesema sheria zisitumike kuwanyima watu haki kwa masuala ya kiufundi, "hatuna budi kuziangalia sheria zetu ili zisitumike kuwanyima watu haki kwa masuala ya kiufundi, mathalani pale mtu anapokesea kuandika herufi za jina lake au herufi za chama chake nadhani mipango ingewekwa vizuri zaidi."
“Nilijua vyama vya siasa mtashangilia hili kwa sababu tuliwashughulikia kweli uchaguzi ulipita kila mlipokosea tuliwaweka pini na mkatupa fursa ya kupita bila ya kupingwa sasa tutaliangalia vizuri na nyie muwe makini basi vinginevyo…, " amesema Samia.
Uchaguzi wa kidemokrasia inakuwaje na mgombea mmoja?Dar es Salaam. Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameagiza sheria za uchaguzi kuangaliwa upya ili zisitumike kuwanyima haki wagombea wanaokosea kujaza majina au herufi ya chama chake hali inayosababisha wagombea wengine kupita bila kupingwa.
Ameeleza hayo Jana Jumamosi Agosti 21, 2021 katika hafla ya kupokea taarifa ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 iliyofanyika Ikulu Dar es Salaam.
Kiongozi mkuu huyo wa nchi amesema sheria zisitumike kuwanyima watu haki kwa masuala ya kiufundi, "hatuna budi kuziangalia sheria zetu ili zisitumike kuwanyima watu haki kwa masuala ya kiufundi, mathalani pale mtu anapokesea kuandika herufi za jina lake au herufi za chama chake nadhani mipango ingewekwa vizuri zaidi."
“Nilijua vyama vya siasa mtashangilia hili kwa sababu tuliwashughulikia kweli uchaguzi ulipita kila mlipokosea tuliwaweka pini na mkatupa fursa ya kupita bila ya kupingwa sasa tutaliangalia vizuri na nyie muwe makini basi vinginevyo…, " amesema Samia.
Hujui sasa?"Tuliwashughulikia"????????!!!
Na wao walikuwemo?
Hilo doa kubwa sana kwa mziba nafsii huyu....2025 hapiti tena huyu...low IQAlishasema hata kama wasipopigiwa kura watatangazwa washindi, maana yake hata majina ya wapinzani yasipokosewa bado CCM yake watatangazwa washindi.
Tume Huru ya uchaguzi na Katiba Mpya ndio mwisho wa matatizo, sio maneno ya mwanasiasa wa CCM.