Rais Samia: Tuziangalie Sheria za Uchaguzi zisiwanyime haki wanaokosea kuandika majina yao

Rais Samia Suluhu Hassan ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Tanzania anapoakea ripoti ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 2020, Ikulu Dar. Katika Uchaguzi huo, Mgombea wa CCM Hayati Rais John Magufuli akiwa na Samia Suluhu kama Mgombea mwenza walishinda

Rais Magufuli alipofariki Machi 2021, aliyekuwa Mgombea mwenza Samia Suluhu akaapishwa kuwa Rais

Rais Samia: Tuziangalie sheria zisiwanyime haki wanaokosea kuandika majina yao

Rais Samia Suluhu amesema sheria za uchaguzi ziangaliwe ili zisiwanyime haki wagombea kwa makosa ya kiufundi

Makosa hayo ni kama kukosea herufi za jina lake au la chama
=====

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imesema Uchaguzi MKuu wa Mwaka 2020 uligharimu Tsh. 262,493,380,671 ambayo iligharamia ununuzi wa Karatasi za kupigia kura, Mafunzo, Ununuzi wa masanduku na uchapishaji nyaraka
-
Pamoja na gharama hiyo, jumla ya Tsh. 154,313,824,607.88 ilitumika katika uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura
-
Tume ya Taifa imesema gharama zote ziligharamiwa na serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania

NEC: TULIPOKEA RUFAA 165 NGAZI YA UBUNGE
-
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeripoti kupokea jumla ya rufaa 165 za Ubunge ambapo, rufaa 67 zilizotaka Wagombea kurudishwa kwenye kinyang’anyiro zilikubaliwa, 31 zilikataliwa. Rufaa 4 zilizotaka Wagombea kuondolewa zilikubaliwa
-
Wasimamizi wa Uchaguzi walipokea mapingamizi 1,298 ambapo mapingamizi 451 yalishindwa kuamuliwa na kufika Tume ya Taifa ya Uchaguzi ambapo Wagombea Udiwani 235 walikubaliwa kurejea katika kinyang’anyiro, mapingamizi 154 yalikataliwa. Rufaa 62 zilizotaka Wagombea kuondolewa zilikataliwa

Rais Samia: Uchaguzi tuligharamia wenyewe, ulimwengu haukuamini kama tungeweza kugharamia wenyewe

Rais Samia, Niwaombe wadau waangalie mapendekezo yaliyotolewa na wayalete serikalini tuangalie namna ya kuyafanyia kazi

Rais wetu msikivu AMENENA......

Ni kweli kabisa hizo kasoro ni ndogondogo na si za kugharimu kuwanyima watu haki ya kuchaguliwa.....

SAMIA RAIS WETU MSIKIVU

#SiempreSerikaliMbiliZaJMT
#SiempreJMT
#NchiKwanzaKablaYaYeyote
 
Anaongelea kitu hakimuhusu yeye alipigiwa kura na nani?! mpaka aongelee uchaguzi? Mimi simuelewi kabisa asubuhi nimeweka 3500 m. Pesa nikanunua luku daaaah pesa wamekata wamenipa unit 3 ?
Hakuna Rais asiye na mgombea mwenza.....

Asingekuwa mgombea mwenza na kuwa VP leo asingekuwa katika nafasi hiyo......

#KaziIendelee
 
siku zote aliyeokota hela na aliyezitafuta kwa jasho matumizi huwa tofaut ! Atupe majibu ya kodi na tozo na ww ukimbele front acha
 
Nimesikia vijana huku mtaani wanakuita ISHA MASHAUZI
 
Zamani tuliheshimika na kuwa mfano kwa majirani, pia tulikuwa na nafasi kubwa ya kutatua masuala ya machafuko ya kisiasa kwenye nchi zao, sasa hivi tumedharaulika mno....

Kimsingi hatukuwa tunasifiwa bali walikuwa wanatushangaa tulivyolala. Sasa hivi tumeanza kuamka ndio sifa yetu halisi imeanza kuonekana.
 
Msisha yamepanda hatuna hamu kusikiliza chochote!
Mnataka mchele mlionunua 1000 kwa kg mwaka 2000 leo iwe the same? Uchumi wa wapi huo? Kama ni hivyo basi warudishe na mishahara ya mwaka 2000
 
Afu uchaguzi wa Zambia last week haumsuti? Na ataenda kuhudhuria kuapishwa kwa rais aliyeshinda kihalali kabisa - mfano bora wa demokrasia barani Afrika.
Tz tunakwama wapi nasi kuwa mfano?
Mkuu, nshawahi kutupia uzi humu kuwasihi viongozi wetu waachane na Uafrika Mashariki na tujikite Kusini.
 
Mi nahisi ni kama kanuni hivi ukiwa kiongozi Afrika unakuwa na roho mbaya tu automatically
Hivi huyo Mama, nafsi yake haimsuti kabisa, kupokea ripoti hiyo, ambapo inajukikana wazi kuwa CCM, walipata ushindi kwa msaada wa vyombo vyote vya dola vya nchi hii?
 
Huyu mama ni fala tu. Anajifanya mlokole wa kiislamu kwa kuficha nywele, eti. Fomu za wagombea wa upinzani zilikuwa zinabadilishwa ili kuonyesha kuwa zimekosewa majina. Fomu halisi inatolewa, inawekwa mpya na DED yenye makosa. Mbona mnatuona Watanzania wajinga hivyo? Yaani nyie CCM ndio wenye akili tu hapa Tanzania? Nyie tu ndio wenye akili ya kuweza kuandika majina kwa usahihi? Kwamba huko vyama vingine hawana akili hata ya kuandika jina? Maalim Seif alibadilishiwa jina na Tume ya Zanzibar ili asigombee. Bahati nzuri alikuwa na nakala ya ile aliyopeleka Tume. Huyu mama na CCM yake ni idiots.
Rais Samia Suluhu Hassan ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Tanzania anapoakea ripoti ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 2020, Ikulu Dar. Katika Uchaguzi huo, Mgombea wa CCM Hayati Rais John Magufuli akiwa na Samia Suluhu kama Mgombea mwenza walishinda

Rais Magufuli alipofariki Machi 2021, aliyekuwa Mgombea mwenza Samia Suluhu akaapishwa kuwa Rais

Rais Samia: Tuziangalie sheria zisiwanyime haki wanaokosea kuandika majina yao

Rais Samia Suluhu amesema sheria za uchaguzi ziangaliwe ili zisiwanyime haki wagombea kwa makosa ya kiufundi

Makosa hayo ni kama kukosea herufi za jina lake au la chama
=====

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imesema Uchaguzi MKuu wa Mwaka 2020 uligharimu Tsh. 262,493,380,671 ambayo iligharamia ununuzi wa Karatasi za kupigia kura, Mafunzo, Ununuzi wa masanduku na uchapishaji nyaraka
-
Pamoja na gharama hiyo, jumla ya Tsh. 154,313,824,607.88 ilitumika katika uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura
-
Tume ya Taifa imesema gharama zote ziligharamiwa na serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania

NEC: TULIPOKEA RUFAA 165 NGAZI YA UBUNGE
-
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeripoti kupokea jumla ya rufaa 165 za Ubunge ambapo, rufaa 67 zilizotaka Wagombea kurudishwa kwenye kinyang’anyiro zilikubaliwa, 31 zilikataliwa. Rufaa 4 zilizotaka Wagombea kuondolewa zilikubaliwa
-
Wasimamizi wa Uchaguzi walipokea mapingamizi 1,298 ambapo mapingamizi 451 yalishindwa kuamuliwa na kufika Tume ya Taifa ya Uchaguzi ambapo Wagombea Udiwani 235 walikubaliwa kurejea katika kinyang’anyiro, mapingamizi 154 yalikataliwa. Rufaa 62 zilizotaka Wagombea kuondolewa zilikataliwa

Rais Samia: Uchaguzi tuligharamia wenyewe, ulimwengu haukuamini kama tungeweza kugharamia wenyewe

Rais Samia, Niwaombe wadau waangalie mapendekezo yaliyotolewa na wayalete serikalini tuangalie namna ya kuyafanyia kazi
 
Katiba huru mpya
Afu uchaguzi wa Zambia last week haumsuti? Na ataenda kuhudhuria kuapishwa kwa rais aliyeshinda kihalali kabisa - mfano bora wa demokrasia barani Afrika.
Tz tunakwama wapi nasi kuwa mfano?
ib
 
Yule Mahela mpaka alikuwa anampangia lisu mambo ya kuzungumza kwenye kampeni zake
Shwain kabisa
 
Rais Samia Suluhu Hassan ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Tanzania anapoakea ripoti ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 2020, Ikulu Dar. Katika Uchaguzi huo, Mgombea wa CCM Hayati Rais John Magufuli akiwa na Samia Suluhu kama Mgombea mwenza walishinda

Rais Magufuli alipofariki Machi 2021, aliyekuwa Mgombea mwenza Samia Suluhu akaapishwa kuwa Rais

Rais Samia: Tuziangalie sheria zisiwanyime haki wanaokosea kuandika majina yao

Rais Samia Suluhu amesema sheria za uchaguzi ziangaliwe ili zisiwanyime haki wagombea kwa makosa ya kiufundi

Makosa hayo ni kama kukosea herufi za jina lake au la chama
=====

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imesema Uchaguzi MKuu wa Mwaka 2020 uligharimu Tsh. 262,493,380,671 ambayo iligharamia ununuzi wa Karatasi za kupigia kura, Mafunzo, Ununuzi wa masanduku na uchapishaji nyaraka
-
Pamoja na gharama hiyo, jumla ya Tsh. 154,313,824,607.88 ilitumika katika uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura
-
Tume ya Taifa imesema gharama zote ziligharamiwa na serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania

NEC: TULIPOKEA RUFAA 165 NGAZI YA UBUNGE
-
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeripoti kupokea jumla ya rufaa 165 za Ubunge ambapo, rufaa 67 zilizotaka Wagombea kurudishwa kwenye kinyang’anyiro zilikubaliwa, 31 zilikataliwa. Rufaa 4 zilizotaka Wagombea kuondolewa zilikubaliwa
-
Wasimamizi wa Uchaguzi walipokea mapingamizi 1,298 ambapo mapingamizi 451 yalishindwa kuamuliwa na kufika Tume ya Taifa ya Uchaguzi ambapo Wagombea Udiwani 235 walikubaliwa kurejea katika kinyang’anyiro, mapingamizi 154 yalikataliwa. Rufaa 62 zilizotaka Wagombea kuondolewa zilikataliwa

Rais Samia: Uchaguzi tuligharamia wenyewe, ulimwengu haukuamini kama tungeweza kugharamia wenyewe

Rais Samia, Niwaombe wadau waangalie mapendekezo yaliyotolewa na wayalete serikalini tuangalie namna ya kuyafanyia kazi

Hapa kubwa kuwe hakuna mgombea kupita bila kupingwa ila iwe vyama vingine havikutaka kusimamisha mgombea.

  1. Unapojaza kuomba passpoti hata kama umekosea jina au tarehe au sahihi ya mdhamini unarejeshewa fomu zako na kutakiwa kurejekebisha. Na huku kwenye uchaguzi kuwe hivyo.
  2. Kama mgoimbe kachukuwa fomu hakurejesha basi chama kinachohusika waarifiwe ili wachunguze au kuleta mgombania mwingine.
  3. kama mgombea hana sifa zakugombania basi pia chama husika waelezwe ili wachaguwe mgombania mwingine.
 
Back
Top Bottom