Rais Samia: Tuziangalie Sheria za Uchaguzi zisiwanyime haki wanaokosea kuandika majina yao

pesa zote hizo za nini kwenye uchaguzi hewa? uchaguzi usiokuwa huru na wa haki hakuna haja ya kufanyika, huku ni kupoteza pesa na kodi za wananchi kwa unafki mkubwa pasipo maana yoyote. Pia ni ufujaji wa mali/ pesa za umma.

Na kinachostahili kufuata ni sheria kuchukua mkondo wake.
 
Huyu Samia ana makusudi sana, yaani mmeiba kura kila mahali halafu huyu Samia anasema uchaguzi ulikuwa wa haki.
 
Afu uchaguzi wa Zambia last week haumsuti? Na ataenda kuhudhuria kuapishwa kwa rais aliyeshinda kihalali kabisa - mfano bora wa demokrasia barani Afrika.
Tz tunakwama wapi nasi kuwa mfano?
Mwacheni Mama atufute Machozi,Mungu kasikia kilio chetu,,si unaona Sabaya ndani!! Nani Kama Mama!!?
 
Zamani tuliheshimika na kuwa mfano kwa majirani, pia tulikuwa na nafasi kubwa ya kutatua masuala ya machafuko ya kisiasa kwenye nchi zao, sasa hivi tumedharaulika mno....
 
Dunia nzima inatucheka. Yaani mabilioni yote hayo yametumika kutuwekea Serikali na Bunge hili la kuturundikia zigo la tozo. Eti babu Tale naye ni Mbunge!.!!!!! Wonders shall never end
 
Hongera Tume kwa kufanikisha Uchaguzi mkuu kuisha salama hakika vitabu by historia ya nchi hii itawakumbuka daima
 
kwani akili yako invyokutuma ni kuwa akishinda mpinzani ndiyo kashinda kihalali?
Ingekuwa wakati wa Mzee wa Msoga, palikuwa na uafadhali kidogo. Lakini kwa TUME hii 'iliyoimarishwa' na mungu wa Burigi, ni muujiza ambao wahitaji utafiti ili 'kumfahamu' vizuri hasa huyo mpinzani.
 
Uchaguzi feki ulisababisha nchi kutawaliwa na wababe wa wizi wa kura CCM waliokuwa wanaongozwa na marehemu jiwe (Mungu ailaze roho yake panapostahili).

Hawa wababe wameona ili kuzima sauti yoyote ya wananchi, basi wakamue mpaka senti ya mwisho. Fukara hawezi kuwa na jeuri ya kupingana na serikali.
 
Inashangaza, hawa wazambia (chama kilichokuwa kinatawala cha Lungu), hawakutaka kufanya urafiki na kuomba msaada huku?
 
Anaongelea kitu hakimuhusu yeye alipigiwa kura na nani?! mpaka aongelee uchaguzi? Mimi simuelewi kabisa asubuhi nimeweka 3500 m. Pesa nikanunua luku daaaah pesa wamekata wamenipa unit 3 ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…