Rais Samia uliomba ripoti ya "haraka" kuhusu utekaji nchini! Haraka ni muda gani?

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Tuendelee kuongeza petrol kwenye moto. Uchunguzi wa haraka wa mtu aliyeshushwa kwenye Bus kwenda kukuwawa, bila shaka β€œharaka” ilitakiwa iwekewe deadline.

Lakini aliomba uchunguzi wa haraka kabla hajaitwa shereheni kwenda kutufokea.
 

Ina maana Tanpol inazidiwa na wanasiasa kwenye mambo ya msingi kama haya ya mauaji??
 
Kwani aliiomba akupe wewe?
 
Hivi ni kweli kabisa ukimuamini!?
 
Alitaka ripoti ya kwanini wanafanya uzembe kwa kuua na kuleta taharuki badala ya kupoteza kama ilivyo desturi yao.
 
Ile ilikuwa kufunika kombe mwanaharamu apite.
 
Ina maana Tanpol inazidiwa na wanasiasa kwenye mambo ya msingi kama haya ya mauaji??
haitakua sahihi kusema ndio au hapana hali ya kua uchunguzi unaendelea.

hata hivyo ni mapema mno kujaji jambo hili nyeti na linalohitaji umakini, utaalamu na utulivu kubwa kwenye kubabainisha ukweli na kufikia muafaka. Subra ni muhimu sana πŸ’
 
Mbona report aliitia kwenye hotubavyake ?? Alisema Kifo ni Kifo.....hiyo fulk report njombaaaa
 
Siku hiyo report ikifika kwa Samia njooo uniite πŸ• nimekaa pale!
 
Kwani aliiomba akupe wewe?


Mama Samia alitangaza mwenyewe kwa Media ni Media hiyo hiyo ndiyo anatakiwa asema amepata ripoti. Sio lazima atupe yote ya ndani ya ripoti. Ukisemwa kwenye media unajibu kwenye media! . Kama alitaka kufanya siri kwanini alitangaza kwenye media!

Mama habebeki tena pole sana machawa wake mna kazi kweli
 
Kawatangazia Watanzania ili mapoyoyo wafahamu kuwa linamuum na analifanyia kazi.

Lakini hajasema kuwa ripoti anazopewa ni kwa ajili ya macho na masikio ya kila mtu.

Ripoti nyingi tu za kiusalama huwa zinafanyiwa kazi kimya kimya na wahusika ni wale walioapishwa tu.

Nchi zina siri kubwa sana.

Nadhani hata wewe, kwenye ukoo wako tu, kuna siri ambazo huzitangazi.
 
Nipo maeneo ya Bunju kule ambako Polisi walizuia mkutano wa ndani wakasomba watu.
Naona msafara wa gari kumi hivi za Polisi zimenipita zinaelekea Mjini.
Labda Polisi walirudi kule kufanya mopping operation.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…