Rais Samia uliomba ripoti ya "haraka" kuhusu utekaji nchini! Haraka ni muda gani?

Muuaji alikua anachapia tu.
Ukiwa huna akili huna tu, bora shetani marehemu hakuwahi kusema mauaji yachunguzwe
 
Utakuwa huijui nchi yako kama uliamini na ulihisi yupo serious, tulifunika kombe na mwanaharamu keshapita kiongozi, tunaangalia ushindi wa ccm 99% mwaka huu na mwakani maisha yaendelee. Wafu watazikana wenyewe haituhusu. Ccm oyee, ccm juu! Kuna mwenye swariii?
 
sasa alitamka hadharani ili iwe nini si angeongelea chumbani kwake na wauwaji wenzake
Kama unawajuwa wauwaji na ni wenzake, si uende ukawashitaki mahakamani?

Au unaji-mwambafai nyuma ya keyboard tu?
 
Alikuwa anapooza tu hasira ya umma, lakini yote yaliyofanyika yalikuwa na baraka zake. Hakuna ripoti yoyoye itatolewa, na ikitolewa itajaa upotoshaji mwingi.
 
Hujajibu swali, ulitaka ripoti aliyoitaka Rais upewe wewe?
 
Kondoo wana maajabu sana, wanataka ripoti ya Rais wapewe wao.
 
Hujajibu swali, ulitaka ripoti aliyoitaka Rais upewe wewe?


Ripoti zikitoka Raisi anatakiwa kutangaza kama alivyotangaza wachunguze!

Imefika wakati wengine hapa mnatetea mpaka ujinga sasa. Hata hamjitambui tena. Yaani watu wanauliwa nyie mnatetea tu kila kitušŸ¤” kuna siri gani kwenye hizi ripoti… yaani wauaji ni siri siku hizi.

Watu wanajuana kwa vilemba kweli
 
Hapana, siyo kweli.
.Ripoti nyingi sana hupaswi hata kuzisikia wala kuziona.
. Kwa kukujuza tu, Rais ana vyombo vingi vya dola na kila kimoja kinaweza kufanya uchunguzi kikampelekea bila hata hivyo vyombo vyenyewe kujuwana.

Na yeye anazifanyia kazi ripoti na kuzifanyia maamuzi ipaswavyo na anavyoona sawa kwa wakati huo.

Unaweza kuwa mchunguzi wa chombo kimoja na wewe unachunguzwa na chombo kingine, kwa jujijuwa au bila hata kujijuwa.

Rais kishaamuru yafanyiwe uchunguzi, elewa inafanyika hivyo.

Kwa Rais ndiyo "where the buck stops".
 


Sasa kulikuwa na ulazima gani Raisi kusema hadharani anataka ripoti wati huo huo hawataki hata tuhoji kama wamepata ripoti. Nani kasema ripoti iwe wazi tunahoji tu je amapata ripoti yaani ya hiyo ni siri!.

Tumefika pabaya sana na uchawa
 
Haraka kwa Afrika ni kuanzia miaka kumi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…