Huo ukristo na uislam unauleta wewe sasa, mada yako inaongelea palestina na sio Wakristo na WA Islam, kama ungekua na ubinadam ungekemea hamas walivyo angamiza watu 1400 kwenye ardhi ya Israel lakini kwakua uliona walicho fanya ilikua ni sahihi basi hupaswi kukosoa kinachotokea sasa hivi, narudia tena, vita ni vyao majirani, Tanzania havituhusu kwa namna yoyote ile hata wakimalizwa nchi nzima ni juu yao haituhusu na haina madhara yoyote kwa TanzaniaInatuhusu sana,kama binaadam dhulma inafanyika hatuwezi kaa kimya.kwani nyinyi wakristo wa Africa mna shidagani na waislam???
Blal,💩💩hii ni sauti ya Watanzania.
Unajifanya kukwepa si wewe ndio uliingiza uislam hapa...kutuhusu inatuhusu kama binadam hatuwezi kaa kimya..Huo ukristo na uislam unauleta wewe sasa, mada yako inaongelea palestina na sio Wakristo na WA Islam, kama ungekua na ubinadam ungekemea hamas walivyo angamiza watu 1400 kwenye ardhi ya Israel lakini kwakua uliona walicho fanya ilikua ni sahihi basi hupaswi kukosoa kinachotokea sasa hivi, narudia tena, vita ni vyao majirani, Tanzania havituhusu kwa namna yoyote ile hata wakimalizwa nchi nzima ni juu yao haituhusu na haina madhara yoyote kwa Tanzania
Kulikua na ulazima wa kuongea kisukuma bwashee 🤠🤠It was mistake yang'wanoko, Kang'welage noko.
Kwani huko myahudi anapotowa roho za watoto dunia imefanya nini??? Halafu kumhusisha myahudi na ukristo mnapata wapi ujasili huu?? kujipendekeza?? Afadhali hata waislam wanafanana diniyao na uyahudi kuliko huo ukatoliki...Wayahudi hawali kibudu kama Waisla. Wanaandika toka kulia kwenda kushoto kama wailam,wanawake wao Hijab kama waislam,hawaamini kwenye Christmas kama waislam na Lugha yao ni Kiarabu na Kiyahudi.na mengine nengi,sasa nyinyi hapo Buza kujipendekeza tu...
Israel walipovamiwa na Hamas wameua watu wangapi? Wakati huo wewe haukuwa binadamu ulete uzi wa kufunga ubalozi wa Palestina?Unajifanya kukwepa si wewe ndio uliingiza uislam hapa...kutuhusu inatuhusu kama binadam hatuwezi kaa kimya..
kwanini usrael pekee kwani palestina ndo wenye haki ya kuua pekee?Rais Samia rudisha Balozi nyumbani mara moja, na kama wao wanayo wa kwao hapo kwetu timua hii ni sauti ya Watanzania.
Kuna mahali niliandika kuhusu uislam kabla ya wewe kuandika 🤔🤔 usikimbie kwenye mada uliyo ileta wewe mwenyewe, hiyo inakuhusu wewe na wenye mawazo kama yako, lakini kama nchi haituhusu, huo ubinadam ilipaswa uanze kuuomba hamas walipo Anza kuua watu hovyoUnajifanya kukwepa si wewe ndio uliingiza uislam hapa...kutuhusu inatuhusu kama binadam hatuwezi kaa kimya..
Ni kweli hatuwezi kusgirikiana na blood thirsty motherfuckersRais Samia rudisha Balozi nyumbani mara moja, na kama wao wanayo wa kwao hapo kwetu timua hii ni sauti ya Watanzania.
1.southafricaUmetumwa?
Toa orodha ya hao wengi unaowaongelea tuone.
Sababu ya kufunga huo ubalozi ni ipi?
Au unadhani wanafungaga kama vanavyofunga vibanda!?
kivipiRais Samia rudisha Balozi nyumbani mara moja, na kama wao wanayo wa kwao hapo kwetu timua hii ni sauti ya Watanzania.
Watanzania wa wapi?hii ni sauti ya Watanzania.
Ondoa sweeping statements. Mpo wengi kwa kipimo gani? Mawazo yako usiyafanye yawe mawazo ya watu wote.Tulio wengi tunataka hivo na itakuwa subiri uone...It was a mistaken in the first place kwanini kufungua ubalozi kule.
Sauti ya kwako usitusemee. Kasemee magaidi kuleRais Samia rudisha Balozi nyumbani mara moja, na kama wao wanayo wa kwao hapo kwetu timua hii ni sauti ya Watanzania.
Jinga kweli wewe.Rais Samia rudisha Balozi nyumbani mara moja, na kama wao wanayo wa kwao hapo kwetu timua hii ni sauti ya Watanzania.
Ni kweli hatuwezi kusgirikiana na blood thirsty motherfuckers
1.southafrica
2.chad
3.colombia
4.bahrain
5.honduras
6.turkey
7.jordan
8.jordan
9.bolivia