Rais Samia; Urais wa nchi ni mambo makubwa

Ukienda kukopa benki.....unarudisha na riba au hela uliokopa.....kwa kua ulikopa 2010,mkopo wa miaka 10,imefika 2018,unagoma kulipa kwa makubaliano.....eti tu kwa kua pesa imeshuka/imepanda thamani?
NOTE.
benki,wakikupa riba,inflation rate huwa wanaijumuisha


[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].
Ila hii nchi ipo uchumi wa kati Samia ndio anaiharibu......JPM,alikua hakopi yeye.
Another big NOTE.
Nyerere hadi JK wamekopa Trillioni 40,JPM pekee yake amekopa Trillioni 27.....….sisi ni Tanzania mpya A+,sisi ni matajiri[emoji3][emoji122]
 
Sawa Kama hii nchi tangu ipate uhuru aliiweza msukuma mwenzenu magfuli, nendeni na gwaji boy mkampe pumzi aje amalizie ingwe,
Ni kweli msukuma amefanikiwa kuua upinzani,amefanikiwa kuua na kutesa wapinzani,amefanikiwa kutoajiri vijana wanaomaliza Chuo kama ilivokua kwa JK,amefanikiwa kukopa 60% ya deni lote la nchi toka tupate uhuru.....viva MSUKUMA JPM[emoji3][emoji16][emoji122][emoji122]
 
Umasikini, ujinga na malazi au maradhi?
 
Angalia vizuri hiyo exchange rate ya USD. February 2015 ndiyo ilikuwa 1800, kuja October 2015 ilipanda mpaka 2160 - 2208.

Pili, Magufuli hakumaliza muda wake, inaweza deni la taifa likawa kubwa zaidi 2025 au angeweza kulipunguza kufikia mwisho wa muda wake.

Kikwete alikuta deni la taifa 10 Trilioni, kaondoka likiwa 38 Trilioni.

Mkapa alikuta 18 Trilioni, akakopa then akaanza kulipunguza mpaka Trilioni 10.

Siyo kwamba natetea ukuaji wa deni, ni kuwa naona Magufuli kaondoka gafla na hakujipanga. Deni lingeweza ongezeka zaidi au kupungua.
 
Naunga mkono hoja......ila kukopa hela kujenga uwanja kijijini ambapo Bombardier inatua kila akirudi likizo......hapo deni lingepungua tu......viva mzalendo JPM[emoji16]
 
spleen endelea kutema #nyongo ila baada ya kutema nyongo, tunaomba utoe hoja.

Wengine tulimkosoa JPM sana, ameshapita.

Sasa tupo na SSH..
 
We must highlight all issues we need our President to put them right. This must not be restricted to her, we shall extend it to the next Presidents . Never should we be hindered by many good for nothing imbeciles.
Okay, under which platform we can use to push our big agendas!
 
Nashukuru umenijibu ila nadhani hujaelewa swali langu vizuri.
Achana na mambo ya riba,mfano ni huu
Kama mwaka 2010 nimekopa dola 20,000 za kimarekani (kwa thamani ya tsh labda 40,000,000) na miaka mitano mbele thamani ya dola dhidi ya pesa za ndani (tsh) ikapanda. (ile dola 20,000 inathaminishwa kama 50,000,000). Je,kwanini upandaJi wa deni la taifa unathaminishwa katika tshi (inayoshuka thamni kila siku) wakati tumekopa in terms of dollar?
 
Kiongozi umesema jambo kubwa sana.

1. Badiliko la fikra.

Linapatikanaje?

Na litaongozwa na nani?

2. Ulinzi na matumizi ya faida kwa rasilimali zetu.

Mifumo ya kusimamia bila kuweka tamaa binafsi, ipo??
 
Nimekuelewa hoja yako mkuu kwanza inawezekana angelipunguza baada ya baadhi ya miradi aliyoianzisha kuanza kufanya kazi.
Swali ni kwamba kwanini tunahoji ukubwa au udogo wa deni kwa hela ya kitanzania kwa marais walioongoza vipindi tofauti na exchange rate za dola zikiwa tofauti? Nadhani hii haijakaa sawa labda kama siasa iko ndani yake.
 
Kuna ndg mmoja humu, ROBERT HERIEL alishauri tuanze kuzinyonya nchi zingine, tuongeze pato la taifa letu.

Wewe unalionaje hilo wazo?
 
Upo sawa kabisa. Sijajua huwa wana hesabu vipi. Ngoja nifuatilie. Maana tunakopa kwa USD ila tuna hesabu ka TSh wakati interest rate ni tofauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…