Rais Samia: Vita ya Urusi, Tanzania hatutanusurika, bidhaa zote zitapanda bei

Rais mzima anaropoka bila haya wala aibu eti bidhaa zitapanda bei,anamwambia nani na ili iweje? ni sifa hiyo anaona au kisa yeye hajui kuacgha hela ya matumizi mezani anaona linalokuja tu mdomoni analitoa?

Mi sijui hata nani alishaurigi huyu maza awe makamu wa Rais yani simuoni hata kama anauweza uongozi kwa level ya Mkuu wa Wilaya simuoni kabisaaaa..

Wamkataze kuropoka ropoka maana hajui kipi chakuongea public kipi chakuongea ndani,Kama ni kulambishwa galasa hapa Tanzania tumelambishwa.

Ukisema Kadi 1, unatandikwa na Joker unalamba 5 nyingine....
 

..hii sio mara ya kwanza vita kutokea na kusababisha bei ya mafuta ktk soko la dunia kupanda.

..Na Rais SSH sio mgeni ktk masuala ya uchumi uongozi, na utawala.

..Kwa msingi huo, Raisi na watendaji wake, walitakiwa kuwa wameandaa mpango wa namna ya kuuhami uchumi wetu usiathirike na kupanda kwa bei ya mafuta kutokana na mgogoro wa Urusi vs Ukraine.

..Rais alitakiwa atueleze hatua ambazo serikali yake inachukua, na sio kutulalamikia.
 
Kwani mfumuko wa bei ya mafuta upo Tanzania tuu? Hao Marais wengine mbona nao wameshindwa kuuhami uchumi wao?
 
Nadhani wewe utakuwa ni mpumbavu wa mwisho, yaani ulitaka usiambiwe ukweli au? Ujue hueleweki.

Hamia Ukraine wala usijali.
 
Kwani mfumuko wa bei ya mafuta upo Tanzania tuu? Hao Marais wengine mbona nao wameshindwa kuuhami uchumi wao?
Tena Hali hii ilianza toka mwaka Jana,All over the world,la Vita vita limekuja kuchochea zaidi..

Hakuna Nchi ilinusurika
 
Taifa ambalo linakubali kuwepo bila Rais kama Tanzania lina laana.

Imagine nchi ina Rais hewa ambae muda wote yupo busy kutafuta chaka la kuficha uzembe,mauchafu pamoja na madhaifu ya Serikali yake.Hangaya is the inept hopeless leader.
Hakuna kitakachobadilika hata ufanyaje mkuu.
 
..anatakiwa aje na mikakati ya kukabiliana na hali hiyo.

..yeye ndio Raisi wetu bila kujali bei ya wese imepanda au imeshuka.

..na mbona kipindi bei ya wese inaposhuka hatutangaziwi NEEMA?
Mikakati ipo Sana tuu ndio maana walifuta tozo ya sh.100 kwenye mafuta.

Pia kuna mikakati kama hii hapa 👇



 
Kwani mfumuko wa bei ya mafuta upo Tanzania tuu? Hao Marais wengine mbona nao wameshindwa kuuhami uchumi wao?


..kuna ubaya gani huo mfumuko wa bei ya mafuta ukaathiri nchi nyingine lakini Tz tukaukabili na kuudhibiti?

..Unafikiri Maraisi wa nchi nyingine hujitetea kwamba wamefeli kuhami chumi za nchi zao kwasababu hata Raisi wa Tz naye ameshindwa?
 
Kujitegemea kila kitu haiwezekani hapa Duniani.
 
Siyo kwa Tanzania tu ni dunia nzima! Wakati wazungu wanaikomesha Russia kwa vikwazo wanaikomesha dunia na wanajikomesha wenyewe.Ambaye atabaki anatamba ni China ambaye naona hana upande wo wote.
 
..safi sana.

..hatutaki visingizio.

..hakuna vita ktk ardhi ya Tz hivyo hatutaki kusikia bei zimepanda shauri ya vita.
Na wewe utakuwa mwehu,bei lazima zitapanda,hatua zinazoqeza kuchukuliwa ni za kupunguza makali tuu.
 
Wewe utakuwa ni Zuzu na njaa kali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…