Rais Samia: Vumbi la Mkongo na Supu ya pweza ni matokeo ya lishe duni

Rais Samia: Vumbi la Mkongo na Supu ya pweza ni matokeo ya lishe duni

Rafiki yangu anauza sana vumbi la kongo ana dai wateja wakubwa wanasema wao ni wanachama wa chadema.

Chadema punguzeni vumbi la kongo na kula kyepe yai.
 
Rafiki yangu anauza sana vumbi la kongo ana dai wateja wakubwa wanasema wao ni wanachama wa chadema.

Chadema punguzeni vumbi la kongo na kula kyepe yai.
Nadhani kwa uelewa wa kawaida tu ni vigumu sana kwa mwenye nyumba kufahamu mapungufu ya nyumba jirani, kuliko yale mapungufu ya nyumbani kwake!

Kiukweli uvccm ifikie wakati muishi kama makamanda wa chadema bhana!! Supu ya pweza na vumbi la kongo siyo njia sahihi ya kufikia hatua ya kuitwa mwanaume. Kuleni vyakula vya asili kama sisi ndugu zenu wa Vijijini.
 
Vijana wengi hamna zinc za kutosha ,na good protein ni issue mnakula wanga tuu na sukari, huyo pweza ni full of zinc and protein ndio maana ni kama viagra, mtu unakula maandazi au chapati na chai sukari vijiko kumi, machine itakataa tuu, wasukuma na wahaya wanakula sana samaki kutoka ziwa victoria ndio maana hawana matatizo ya wala chips za kukaanga na maandazi
 
Back
Top Bottom