Rais Samia Vunja Baraza la Mawaziri Nchi ipone. Waziri Majaliwa Habebeki

Anza na makamba Kwanza na genge lake ndo umshutumu Majaliwa
 
Huu uchochezi..anashindwa kujiuzuru January kwa kusema uongo kila siku na kushindwa kusiamia wizara... PM mnamtafuta ili mlambe asali vizuri AU SIO?
 
Shida ndo ipo hapa , mfano uhujumu wa wazi wazi uliopo sekta ya maji , ukiwa umeshikwa na sekta ya nishati , je majaliwa ana uwezo wa kuwatunishia msuli Msoga gang? Huku mwigulu naye ana madudu kibao na yeye anamtunishia majaliwa , Leo hii ngojera kubwa ni kuhusu majaliwa how comes ????
Uzuri mama Samia anajua what is real going on , hata yeye anajua Hana maamuz dhidi ya magenge haya hatar , ajimalizie tuu miaka yake ya urithi ajikalie mpak mwenyezi Mungu atakapoamua mwenyewe ku_rescue hii nchi ya walala hoi na wajinga
 
Ww utakuwa na chuki zako binafsi moja kati ya viongozi makini ni waziri mkuu, hayupo katika upigaji naona anawaminya mnakosa raha he!! Na bado
 
Hapa naona tatizo lako siyo waziri mkuu,bali tatizo lake ni uwaziri mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Watu wasiompenda Rais Samia wanapenda kumdanganya kuwa anadharaulika kwasababu ya jinsia yake. Hawamwambii ule ukweli kwamba ikiwa anadharaulika sababu halisi ni nini? Mwinyi kwa maamuzi yake aliitwa Mzee Ruksa na kuna mtu tena bungeni aliwahi kumuita Rais wa nchi dhaifu. Ila kwa Mama ni jinsia! Acheni kutudharau wanawake. Mama afanye tu reflection ya maamuzi yake na atathmini waliomzunguka bila kujiwazia kuwa anadharauliwa kwa kuwa ni mwanamke. Na achukue hatua kwa facts sio hisia.
 
Kama anadharaulika jaribuni kufanya tukio tuone hapo ndio tutapata majibu.
 
Magufuli alisema kuna watu walishaagiza suti wakijiandaa na Uwaziri mkuu lakini akamchagua Majaliwa ambaye hata hakujua kama atakuwa.

Kundi la walioshona suti ndio linamkaanga majaliwa sasa, na watamkaanga sawa sawa.
Wacha waumane tu hawa mafisiem
 

Attachments

  • FB_IMG_1644236040854.jpg
    15.8 KB · Views: 8
  • FB_IMG_1616545580714.jpg
    90.9 KB · Views: 8
Wanakutuma kuja kuandika andika huku

Mtanyooka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…