Rais Samia Vunja Baraza la Mawaziri Nchi ipone. Waziri Majaliwa Habebeki

Daaah mtu kateseka,katoka mbali kafika on top,alafu mjinga mjinga mmoja anakuja andika mtandaoni kuhusu kujiuzulu,
Anafurahisha[emoji1787][emoji1787]
Siungi mkono hoja ya mtoa hoja, ila nafasi ni dhamana haimaanishi ufanye vibaya uchekewe tuu.
 
Kwani samaki anaanzia wapi kuoza? Hivi kuna nyoka anayeuma baada ya kumkata kichwa chake?

Nafikiri sote tujitafakari tunaitendea nini nchi yetu. Kumnyooshea mtu mmoja kidole kama vile wengine wako vizuri sana ni uonevu.

Ipo haja ya kulltafakari nini tatizo na kuamua kweli kushughulika nalo.
Tusijidanganye tumesimama...tutaangukia pua
 
Wanakutuma kuja kuandika andika huku

Mtanyooka tu
 
Siungi mkono hoja ya mtoa hoja, ila nafasi ni dhamana haimaanishi ufanye vibaya uchekewe tuu.
Kafanyaje vibaya?nyie CCM acheni majungu na fitina kisa vyeo

Ndio maana Magufuli alikua anawanyoosha wote uwe ccm kindakindaki au usiwe.
Mnapenda kufitiniana sana na kujipendekeza kwa ajili ya kupata vyeo
 
Waokojaji hawaonekani...Wizara ya Kassim..
Vyakula vinapanda Bei huku waziri wa kilimo anashupaa mipaka haitafungwa...

Mabando yanapanda bei ..waziri kiimya...

Mradi kila waziri keshaanza kuwa mzigo
Wakati Wa Jiwe Anawatimua Mchana Kweupe
 
Nimekaa paleee nasoma comments, halafu namuwaza aliyeandika huu uzi akiona comment hazipo upande wake anajifeel vipi kwasasa… CCM iwe makini sana, wamuache Mama afanye kazi wamuandalie njia 2025, mkianza kutafuta vyeo kwasasa mtapoteza focus…
 
Alisema kwan wabunge kule mpo wangap. Akasema 19 ,akasema naweza kuwatoa wote kwan bunge litashindwa kuendelea


Jiwe Huyo
 
Kwanini asijivunje yeye rais kwanza
 
Mbona hii umeandika kimajungu majungu,naona umesubiri uteuzi umeona hupati sasa unaamua kuchafua watu ukijua na wewe utapenya...
 
Kafanyaje vibaya?nyie CCM acheni majungu na fitina kisa vyeo

Ndio maana Magufuli alikua anawanyoosha wote uwe ccm kindakindaki au usiwe.
Mnapenda kufitiniana sana na kujipendekeza kwa ajili ya kupata vyeo
Ndugu mimi nazungumzia dhana ya uwajibikaji huwa haiangalii mtu ametokea wapi bali kuwajibika ni uungwana wa kuonesha unafahamu dhima ya dhamana.

Narudia sipo hapa kuchochea chochote wala mtu yeyote apoteze nafasi yake kisa majungu ya watu wachache.
 
Alisema kwan wabunge kule mpo wangap. Akasema 19 ,akasema naweza kuwatoa wote kwan bunge litashindwa kuendelea


Jiwe Huyo
Sauti ya kimamlaka !! Kwakweli jamaa alikuwa na sauti ya kimamlaka !! Japo alikuwa na mapungufu yake !!
 
Kwani hili bwawa la kidunda huwa linajengwa mdomoni tuu, maana kuna yule jamaa anaitwa sijui luhemeja kila akiibuka anakuja na single ya bwawa la kidunda.......tuonyesheni huko lilikojengwa tuakaambulie hata ndoo mbili za maji bhanaaa....​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…