Rais Samia Vunja Baraza la Mawaziri Nchi ipone. Waziri Majaliwa Habebeki

apangiwe kazi nyingine.
Mlolongo wote ulotaja wa uozo wake kiuongozi bado unataka apangiwe kazi nyingine! Kazi gani hiyo inayofaa watu wasiojiweza ?

Hivi kina Boris Johnson na Lizz Truss wamepangiwa kazi nyingine au wameungana na raia wenzao kupambana na maisha mtaani?

Legacy za Mwalimu Nyerere hizi, uki feli pamoja anaku recycle pengine. Nyakati zimebadilika, tulikuwa milioni 8 sasa tuko milioni 60, Majaliwa mmoja hana hati miliki ya kufia uongozini. Piga chini mazima, ex-prime minister hawezi kufa njaa mtaani, mbona sisi hatufi ?
 
Huyu bwana pia siyo msafi. Pale Dodoma, nyumba kajengewa na mfanyabiashara. Je, yeye anamlipa nini huyo mfanyabiashara?
 
Huyi bwana pia siyo msafi. Pale Dodoma, nyumba kajengewa na mfanyabiashara. Je, yeye anamlipa nini huyo mfanyabiashara?
Nasubiri watema nyongo Wamalize hasira zao, then tuanze jadiliana kwa hoja bila kutetea wala kuonea. Kuna watu wametuma kuzima mjadala, watazima wao. Kwanza watuambie hela za Visa kazipeleka wapi sababu hazina hazipo na yeye alitoa maelekezo
 
Nasubiri watema nyongo Wamalize hasira zao, then tuanze jadiliana kwa hoja bila kutetea wala kuonea. Kuna watu wametuma kuzima mjadala, watazima wao. Kwanza watuambie hela za Visa kazipeleka wapi sababu hazina hazipo na yeye alitoa maelekezo
Hoja dhaifu, wanaohusika ni home na foreign affairs yeye hapo anahusishwaje?
Our Prime minister is there to stay no matter what.
 
Aliyoandika Tito Magoti umeweza kujibu hata moja?
 
Yan majaliwa abaki Tu , Kwa kweli akitoka huu Mzee nchi itaibiwa vibaya mno
 

Una mawazo potofu sana wewe,Huyu baba utendakazi wake ni mzuri Sana unataka uingie wewe?shame upon you!!
 
Mtatoana Roho kwa Vita Ya Uraisi
Urais ni mtamu Anko !! Kila kitu kinakuwa rahisi tu kwako!! Hata mimi ningependa niupate , wacha waugombee tu kila mtu ana haki ya kufanya hivyo lakini mwisho wa siku Rais atakayekalia kiti ni mmoja tu wengine watabaki kuukodolea macho tu kama mimi hapa !! 😅
 
Kwani Majaliwa Kasim Majaliwa yeye peke ake kaumbiwa uwaziri mkuu ?

Kiukweli kapwaya saana tena saana anapaswa kuachia ofisi ya umma mwenyewe kwa kuwajibika

Hivi tume alizounda zote ripoti zake zipoje ? Mwenye kumtetea anisaidiq mrejesho ulivyokuwa wa kamati zake.

Kwa nchi za wenzetu alipaswa kujihudhuru tuu kipindi Rais SSH alipochukuwa madaraka.

Maana alikuwa baadhi ya mambo hakuwa muumini wake lakini alibadilika ghafula na kuanaza kuwa sio wa JPM.

Huyu waziri mkuu ndiye alielidanganya taifa kuhusu kifo cha JPM je aluwajibika ?

Kiukweli hafai yeye na baadhi ya mawaziri wote hao hawapaswi kuendelea kuwepo kwenye ofisi za umma .

Waziri mkuu nae ni walewale tu timu msoga hakuna kitu hapo
 
Wewe na raisi aliyemteua ni nani wa kujua kiundani uzuri au ubaya wa Majaliwa??

Kama jibu ni wewe; basi Samia hafai kuwa mkuu wa nchi, aondoke!
Kama jibu ni kinyume chake; basi, Anachofanya Majaliwa yuko sahihi kwa mujibu wa aliyemteua.
 
Umetumwa na maropes wewe siobure.
 
Umeyakanyaga Ccm Hoeeee
Wewe ni Ccm?
 
Wewe na raisi aliyemteua ni nani wa kujua kiundani uzuri au ubaya wa Majaliwa??

Kama jibu ni wewe; basi Samia hafai kuwa mkuu wa nchi, aondoke!
Kama jibu ni kinyume chake; basi, Anachofanya Majaliwa yuko sahihi kwa mujibu wa aliyemteua.

Samahani mkuu wewe upo sayari ya uranusi au Dunia ?

Rais mteuzi wa waziri mkuu hakufanya hicho kitu zaidi alirithiwa kutoka kwa JPM kwa akili yake aliona hiyo ndio njia sahihi ya kuliwin kundi toka Kanda ya ziwa .

Tukija kwenye utendaji kazi hapo ndio kizungumkuti kinaanzia . Kaunda tume ngapi na nini mrejesho wake ?

Huoni hata tu uzembe alioufanya kupitia mfuko wa maafa uliopo kwenye ofisi yake ? Badala ya kwenda kuokoa uhai wa watu yeye katumia kwenda kuwapeleka kwenye nyumba zao za milele(kuzika) hiyo akili matope ?

Kipindi hicho bado tu ameng'ang'ania uwaziri mkuu

Ukija kwenye uongo ndio usiseme kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…