Rais Samia Vunja Baraza la Mawaziri Nchi ipone. Waziri Majaliwa Habebeki

Huyu ndo mtu anayewabania upigaji na lazma mtamchukia sana
Sioni kos lolote la kateleohone Ni wivu na fitina na husda zimewaja watu wanafikiri majaliwa akifukuxwa uwaziri mkuu Bei ya bidhaa zitashuka ujinga Sana huu

Siku majaliw akitangaza kugombea urais Nampa mchango wa kupiga kampeni .Ni waziri msafi mchapaka kazi
 
Umeandika maandishi mareeeefu lakn hayana mashiko, haya msingi wa hoja zaidi vioja tu

Mapungufu ya PM ni yapi hayo kiasi ipelekee hadi kuondolewa na Baraza kuvunjwa????

Mamá yupo busy nje ya nchi kutafuta pesa za kuendesha miradi nchini na kuvuta wawekezaji wakubwa,
Ila ndani ya nchi kamuamini PM Majaliwa kuendesha na kusimamia shughuli zote kwa umakini mkubwa, na anajitahidi Kubana mianya ya upigaji japo kuna baadhi ya watendaji wake 'waliomzidi kimamlaka' wanamuangusha na anashindwa kuwaadhibu kwasbb wapo kwa mkono wa JK na JK ndie mástermind wa Mama
Cjaona kosa la majaliwa had sasa
 
Salaam Wakuu,

View attachment 2411464
Nchi ilipofikia, Viongozi wetu hasa Mawaziri wanatakiwa wajitafakari na kujisahihisha waone wanajipa Marks ngapi.

Kama inafika wakati Wasaidizi wa rais wanamdharau kisa ni Jinsia ya Kike, kuna nini tena?

Anawaagizi hivi wanafanya ambavyo hawajatumwa. Wamekalia Majungu na Upigaji. Yote ni kufanya Rais Samia 2025 apate upinzani mkubwa kwa wananchi kwamba hajafanya kitu.

Kuna siku Hayati Magufuli alimwambia hivi Waziri Majaliwa;

"Watu wanataka popularity, wengine nilisikia wanasema watachomewa nyumba, nilimwambia Waziri Mkuu nataka nione wakifanya fujo. Ningewapa kipigo. Tena ningeanza kwenye jimbo lake kama kuna shangazi zake ningeanza kupiga hao. Nasema ukweli wala sifichi".

Leo ndo nimeelewa kwanini Magufuli angeanza na Shangazi zake Majaliwa, Je, Waliotaka kufanya fujo walitumwa na Majaliwa?

Ni aibu sana rais anamteua Waziri halafu huyo Waziri anashiriki kumuhujumu Rais aonekane hafai aunekane hakupaswa kuwa rais.

Kosa lilianza siku ya kwanza Rais Samia anaingia Madarakani, alitakiwa avunje baraza la Mawaziri.

Kassim Majaliwa aambiwe achague moja. Kuwa Waziri Mkuu, Mfanyabiashara au Mgombea Urais.

Kwa Wasiojua, Waziri Mkuu ndo Rais wa Tanganyika ndo maana hutasikia Majaliwa kaenda Zanzibar.

Majaliwa Katusaliti Watanzania. Kafanya maisha yawe Magumu. Mawaziri wanamdharau Rais lakini yeye anakunywa nao Juice. Majaliwa hana Utu wala Huruma.

Natamani kuona kikosi kazi kikiundwa kuchunguza ni nani mwenye Makampuni yanayonunua Korosho Tanzania na Wamiliki wawekwe wazi. Sio mtu anamtumia shangazi kuanzisha kampuni kwa mgongo wa nyuma. Tuambiwe Mmiliki wa Alfa Namata company ltd, Sibatanza company ltd na Eljai Commodities Company ltd. Halafu tuambiwe wanatoa wapi kiburi cha kuwanyonya wakulima.

Waziri Mkuu ndo Msimamizi Mkuu wa Maafa sababu Idara ya Menejimenti ya maafa ipo chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu lakini hutoona anasaidia. Sitazungumzia Msaada ya Korona na Tetemeko Kagera kwamba zililiwa.

Waziri Mkuu yapo mengi mazuri amefanya lakini ili kujenga utaifa na kujisafisha kama nchi mbele ya Dunia, apangiwe kazi nyingine.

Baraza la Mawaziri Livunjwe ili Lisukwe upya kwa maandalizi ya Uchaguzi Serikali za Mitaa.

Samia akicheka na nyani atavuna Mabua.

Rais Mwinyi alijiuzulu mwenyewe ili kutompa lawama rais Nyerere. Hawa wengine sababu wana nia zao, kwanza ndo wanafurahia matatizo ya Watanzania mfano Ukosefu wa maji na Umeme. Sema wamejitahidi kumumudu Rais Samia, Wanampanga anapangika sijui bwawa la Kidunda[emoji1787][emoji1787]
Hkn ulichoabdika Happ umetumwa kuja kumchafua majaliwa senior,majaliwa hajasababisha mfumuko wa Bei Ni ,mam etu ndio chanzo chote kwa kushindwa
 
Huyo Majaliwa ndiye amefanya bei ya korosho iwe ya hovyo kupindukia msimu huu huku Kusini.

Kangomba mkubwa sana wa korosho na ufuta,tunapishana na chawa wake huku kwenye korosho.
 
Huyu bwana pia siyo msafi. Pale Dodoma, nyumba kajengewa na mfanyabiashara. Je, yeye anamlipa nini huyo mfanyabiashara?
Tunaomfahamu vizuri huyu bwana,tunashindwa elewa watetezi wake wanapata wapi ujasiri wa kumtetea.

TAKUKURU huku Kusini walishapelekewa taarifa zake zenye ushahidi,lakini hamna kilichoendelea.
 
Huyo Majaliwa ndiye amefanya bei ya korosho iwe ya hovyo kupindukia msimu huu huku Kusini.

Kangomba mkubwa sana wa korosho na ufuta,tunapishana na chawa wake huku kwenye korosho.
[emoji3455]
 
Salaam Wakuu,

View attachment 2411464
Nchi ilipofikia, Viongozi wetu hasa Mawaziri wanatakiwa wajitafakari na kujisahihisha waone wanajipa Marks ngapi.

Kama inafika wakati Wasaidizi wa rais wanamdharau kisa ni Jinsia ya Kike, kuna nini tena?

Anawaagizi hivi wanafanya ambavyo hawajatumwa. Wamekalia Majungu na Upigaji. Yote ni kufanya Rais Samia 2025 apate upinzani mkubwa kwa wananchi kwamba hajafanya kitu.

Kuna siku Hayati Magufuli alimwambia hivi Waziri Majaliwa;

"Watu wanataka popularity, wengine nilisikia wanasema watachomewa nyumba, nilimwambia Waziri Mkuu nataka nione wakifanya fujo. Ningewapa kipigo. Tena ningeanza kwenye jimbo lake kama kuna shangazi zake ningeanza kupiga hao. Nasema ukweli wala sifichi".

Leo ndo nimeelewa kwanini Magufuli angeanza na Shangazi zake Majaliwa, Je, Waliotaka kufanya fujo walitumwa na Majaliwa?

Ni aibu sana rais anamteua Waziri halafu huyo Waziri anashiriki kumuhujumu Rais aonekane hafai aunekane hakupaswa kuwa rais.

Kosa lilianza siku ya kwanza Rais Samia anaingia Madarakani, alitakiwa avunje baraza la Mawaziri.

Kassim Majaliwa aambiwe achague moja. Kuwa Waziri Mkuu, Mfanyabiashara au Mgombea Urais.

Kwa Wasiojua, Waziri Mkuu ndo Rais wa Tanganyika ndo maana hutasikia Majaliwa kaenda Zanzibar.

Majaliwa Katusaliti Watanzania. Kafanya maisha yawe Magumu. Mawaziri wanamdharau Rais lakini yeye anakunywa nao Juice. Majaliwa hana Utu wala Huruma.

Natamani kuona kikosi kazi kikiundwa kuchunguza ni nani mwenye Makampuni yanayonunua Korosho Tanzania na Wamiliki wawekwe wazi. Sio mtu anamtumia shangazi kuanzisha kampuni kwa mgongo wa nyuma. Tuambiwe Mmiliki wa Alfa Namata company ltd, Sibatanza company ltd na Eljai Commodities Company ltd. Halafu tuambiwe wanatoa wapi kiburi cha kuwanyonya wakulima.

Waziri Mkuu ndo Msimamizi Mkuu wa Maafa sababu Idara ya Menejimenti ya maafa ipo chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu lakini hutoona anasaidia. Sitazungumzia Msaada ya Korona na Tetemeko Kagera kwamba zililiwa.

Waziri Mkuu yapo mengi mazuri amefanya lakini ili kujenga utaifa na kujisafisha kama nchi mbele ya Dunia, apangiwe kazi nyingine.

Baraza la Mawaziri Livunjwe ili Lisukwe upya kwa maandalizi ya Uchaguzi Serikali za Mitaa.

Samia akicheka na nyani atavuna Mabua.

Rais Mwinyi alijiuzulu mwenyewe ili kutompa lawama rais Nyerere. Hawa wengine sababu wana nia zao, kwanza ndo wanafurahia matatizo ya Watanzania mfano Ukosefu wa maji na Umeme. Sema wamejitahidi kumumudu Rais Samia, Wanampanga anapangika sijui bwawa la Kidunda🤣🤣
Sio rahisi kama unavyo fikiri. Majaliwa ni namba nyingine. Wakati wa Magu niliwahi kuandika juu yake and how is deep state
 
Inasikitisha mno kuendelea kumng'ang'ania mtu anayemuharibia kwa hizi kashfa.

Labda wanaimba lugha moja ndo maana hawezi kumuondoa
 
Salaam Wakuu,

View attachment 2411464
Nchi ilipofikia, Viongozi wetu hasa Mawaziri wanatakiwa wajitafakari na kujisahihisha waone wanajipa Marks ngapi.

Kama inafika wakati Wasaidizi wa rais wanamdharau kisa ni Jinsia ya Kike, kuna nini tena?

Anawaagizi hivi wanafanya ambavyo hawajatumwa. Wamekalia Majungu na Upigaji. Yote ni kufanya Rais Samia 2025 apate upinzani mkubwa kwa wananchi kwamba hajafanya kitu.

Kuna siku Hayati Magufuli alimwambia hivi Waziri Majaliwa;

"Watu wanataka popularity, wengine nilisikia wanasema watachomewa nyumba, nilimwambia Waziri Mkuu nataka nione wakifanya fujo. Ningewapa kipigo. Tena ningeanza kwenye jimbo lake kama kuna shangazi zake ningeanza kupiga hao. Nasema ukweli wala sifichi".

Leo ndo nimeelewa kwanini Magufuli angeanza na Shangazi zake Majaliwa, Je, Waliotaka kufanya fujo walitumwa na Majaliwa?

Ni aibu sana rais anamteua Waziri halafu huyo Waziri anashiriki kumuhujumu Rais aonekane hafai aunekane hakupaswa kuwa rais.

Kosa lilianza siku ya kwanza Rais Samia anaingia Madarakani, alitakiwa avunje baraza la Mawaziri.

Kassim Majaliwa aambiwe achague moja. Kuwa Waziri Mkuu, Mfanyabiashara au Mgombea Urais.

Kwa Wasiojua, Waziri Mkuu ndo Rais wa Tanganyika ndo maana hutasikia Majaliwa kaenda Zanzibar.

Majaliwa Katusaliti Watanzania. Kafanya maisha yawe Magumu. Mawaziri wanamdharau Rais lakini yeye anakunywa nao Juice. Majaliwa hana Utu wala Huruma.

Natamani kuona kikosi kazi kikiundwa kuchunguza ni nani mwenye Makampuni yanayonunua Korosho Tanzania na Wamiliki wawekwe wazi. Sio mtu anamtumia shangazi kuanzisha kampuni kwa mgongo wa nyuma. Tuambiwe Mmiliki wa Alfa Namata company ltd, Sibatanza company ltd na Eljai Commodities Company ltd. Halafu tuambiwe wanatoa wapi kiburi cha kuwanyonya wakulima.

Waziri Mkuu ndo Msimamizi Mkuu wa Maafa sababu Idara ya Menejimenti ya maafa ipo chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu lakini hutoona anasaidia. Sitazungumzia Msaada ya Korona na Tetemeko Kagera kwamba zililiwa.

Waziri Mkuu yapo mengi mazuri amefanya lakini ili kujenga utaifa na kujisafisha kama nchi mbele ya Dunia, apangiwe kazi nyingine.

Baraza la Mawaziri Livunjwe ili Lisukwe upya kwa maandalizi ya Uchaguzi Serikali za Mitaa.

Samia akicheka na nyani atavuna Mabua.

Rais Mwinyi alijiuzulu mwenyewe ili kutompa lawama rais Nyerere. Hawa wengine sababu wana nia zao, kwanza ndo wanafurahia matatizo ya Watanzania mfano Ukosefu wa maji na Umeme. Sema wamejitahidi kumumudu Rais Samia, Wanampanga anapangika sijui bwawa la Kidunda[emoji1787][emoji1787]
Ulichoandika ni majungu dhaifu dhidi ya Majaliwa, anyway unafanyia tumbo lako,komaa
 
Walahi nafurahi miye maccm wanavyopopoana, natamani hata wanyweshane sumu wote wafe.
 
Daaah mtu kateseka,katoka mbali kafika on top,alafu mjinga mjinga mmoja anakuja andika mtandaoni kuhusu kujiuzulu,
Anafurahisha🤣🤣

Huu ni zaidi ya uchawi, yaani yaani arudi kwenye enzi ya ujima kweli? Never!!
 
Mleta mada ni mpumbavu kabisa! Aliyekutuma mwambie watanzania wanajua kinachoendelea juu ya lengo la kutaka kumwengua waziri mkuu ili muwekee mtu wenu na kuendeleza upigaji, baadhi ya watu ktk nchi hii wanastahili kunyongwa kwa kulihujumu taifa.
 
Tunaomfahamu vizuri huyu bwana,tunashindwa elewa watetezi wake wanapata wapi ujasiri wa kumtetea.

TAKUKURU huku Kusini walishapelekewa taarifa zake zenye ushahidi,lakini hamna kilichoendelea.
Vipi mikamba, mwegulu, nyape nyauye na huyo mvaa ushungi wenyewe huwafahamu? TAKUKURU hawajapelekewa hawa? Mnamuona waziri mkuu tu? Acheni zenu nyie, Kassimu haendi kokote. Msitake kujifanya wajuaji sana
 
Wote uliowata hawafai,ila kiongozi wa shughuli za kila siku za serikali ni PM.
Kwa nini aendelee na madudu yake yote!!???
 
Waondoke wote basi kuanzia na boss wao kama ndio hivyo. Ila kumtarget PM peke yake huku wote hawafai ni unafiki. Unless mna agenda zenu nyingine
 
Kuondoka wote (hasa huyo wa jumba jeupe) ni ngumu sana kwa sasa, ila rahisi sana ni kwa PM kuondolewa (na mawaziri wengine/wote)
 
Watu wa Bukoba mwacheni PM achape Kazi

Mlipata fursa kama waliyopita Watu wa Moshi awamu ya 3 mkashindwa kuitumia

Samahani lakini
Hi John sijakuelewa post yako kwa nini ume zero down kwa watu wa Bukoba na Moshi je awamu ya tatu ya Mkapa ni ya watu wa Moshi??? Shida hapa ni utendaji wa serikali ndege imeanguka hakuwa vifaa wala watu wa uokozi Waziri mkuu kitengo cha maafa kipo kwake huoni huu ni uzembe wa ofisi yake??? Mwache mwenye dukuduku lake aseme na atoe kinachomsumbua rohoni kwako.
 
Kwani Majaliwa Kasim Majaliwa yeye peke ake kaumbiwa uwaziri mkuu ?

Kiukweli kapwaya saana tena saana anapaswa kuachia ofisi ya umma mwenyewe kwa kuwajibika

Hivi tume alizounda zote ripoti zake zipoje ? Mwenye kumtetea anisaidiq mrejesho ulivyokuwa wa kamati zake.

Kwa nchi za wenzetu alipaswa kujihudhuru tuu kipindi Rais SSH alipochukuwa madaraka.

Maana alikuwa baadhi ya mambo hakuwa muumini wake lakini alibadilika ghafula na kuanaza kuwa sio wa JPM.

Huyu waziri mkuu ndiye alielidanganya taifa kuhusu kifo cha JPM je aluwajibika ?

Kiukweli hafai yeye na baadhi ya mawaziri wote hao hawapaswi kuendelea kuwepo kwenye ofisi za umma .

Waziri mkuu nae ni walewale tu timu msoga hakuna kitu hapo
Yeye na ccm nzima hawafai kabisa.sem basi tu.
 
Sioni kos lolote la kateleohone Ni wivu na fitina na husda zimewaja watu wanafikiri majaliwa akifukuxwa uwaziri mkuu Bei ya bidhaa zitashuka ujinga Sana huu

Siku majaliw akitangaza kugombea urais Nampa mchango wa kupiga kampeni .Ni waziri msafi mchapaka kazi
Pm amepwaya
 
Back
Top Bottom