mbutamaseko
JF-Expert Member
- Nov 20, 2018
- 743
- 1,071
Kwani lazima ampende Samia? Kifupi huyo Mamaako anapendwa na wenye Maslahi nae na wazee wa kujipendekeza Kama unavyojiona hapo. Usiforce mfanane. PumbaaaaaaavuMwamposa anamkubali zaidi Hayati Dk. Magufuli kuliko Rais Samia hivyo wanampa tu hilo eneo hapo la Tanganyika Packers bure wakati Yeye hampendi Mama ( Rais ), ila anampenda Kinafiki huku Akimsanifu. Wamwondoe haraka hapa Kawe Tanganyika Packers tafadhali.
Unahisi umejifiicha.. š¤£š¤£.. Unachoongea inaweza kua kweli ila kumuita Rais takataka ni kukosa nidhamuHuo ndiyo UKWELI.Nadhani mleta mada ni moja kati ya watu wenye mtindio wa Ubongo au mlambishwa asali maana inahitaji ujasiri wa hali ya juu kufumbia macho juhudi zilizofanyika awamu ya tano na kulinganisha na hii TAKATAKĆ ya awamu hii.Ni UPUMBAVU kujaribu kulinganisha awamu ya maendeleo nyanja zote (elimu, afya,nishati, miundombinu n.k) na awamu ya hafla,semina,pongezi,asali,asali,asali....chawa, ziara š.Awamu hii ni awamu ya hovyo kuwahi kutokea Tz.
MTani..hivi Mwamposa alikuvunjia ndoa au demu wako aliokoka akakuachaš¤£Tunasaga Sumu mpaka Kieleweke tu.
Mwambie huyo mpuuzi anafikiri sote ni wajinga kushabikia serkali hii isiyojua inachofanya wanachojua kukopa tu!Kwani lazima ampende Samia? Kifupi huyo Mamaako anapendwa na wenye Maslahi nae na wazee wa kujipendekeza Kama unavyojiona hapo. Usiforce mfanane. Pumbaaaaaaavu
Nyinyi mnaomwita JPM shetani mnasemaje? Sio vizuri kuwaita viongozi majina mabaya ila hata huu uongozi unachangia maana haujawahi kukemea wamebaki kuimba kwaya ya kulamba asali!Unahisi umejifiicha.. š¤£š¤£.. Unachoongea inaweza kua kweli ila kumuita Rais takataka ni kukosa nidhamu
Huo mpambano tinawaachieni,isije kuwa ni ze bulldozer na Gawji tuššš"Hayati Dk. Magufuli ndiyo Rais pekee aliyefanya Kazi za Baraka zaidi na Watanzania tutamkumbuka na tunamkumbuka hadi sasa" amesema Mtume Wao ( siyo wangu ) Mwamposa Ibadani Kwake leo.
Haya Rais Samia Kazi Kwako kwa Mtu ambaye umeshammilikisha eneo la Tanganyika Packers aendelee na Huduma yake na Asifukuzwe au Asiondoshwe tena hapo.
Wakati ukionyesha Kumkubali na muda mwingine hata Kumuomba akuombee na Watendaji wako Serikalini Mwenzako ndiyo Kwanza tena kwa Dharau, Jeuri na Kiburi kingi anaonyesha Kumkubali zaidi Mtangulizi wako Hayati Dk. Magufuli kwa Utawala wake ila Wewe wala hakukubali kabisa na anakukubali Kinafiki tu huku Akikusanifu pia ili tu Usimtoe hapo anapopategemea Kuwadanganya Wavivu wa Kufikiri Tanganyika Packers ili aendelee Kuwachuna ( Kupiga Pesa ) zao huku Akitajirika na Wao wakiendelea kuwa Masikini na Wengine hata Kurukwa na Akili ( Kudata ) mazima.
Kwenye kuchonganisha wakati mwingine kuna faida.Kwa hyo unamchongea
As usual Chief. I hate than Kawe Conman.unasaga kunguni.
Siku hizi mkitoka Ibadani kwa Mtume Wenu Mwamposa mnaruhusiwa Kutukana na kuwa na Hasira hivi?Kwani lazima ampende Samia? Kifupi huyo Mamaako anapendwa na wenye Maslahi nae na wazee wa kujipendekeza Kama unavyojiona hapo. Usiforce mfanane. Pumbaaaaaaavu
Hiyo ndiyo Fani yangu Tukuka na nina PhD nayo. Vipi unataka Nikufitinishe nawe ili Uamini?Hivi wewe jamaa haujawahi kufitinisha familia au wapenzi?
Ila wewe jamaa na huyo mwamposa!! Si umwambie tu akuongezee posho,hiyo anayokulipa haitoshi Wala kukidhi mahitaji yako mzee baba?Tunasaga Sumu mpaka Kieleweke tu.
Nina Hasira nae mno kuna Demu nilishamtongoza na tayari Kumbandua akaenda Kwake ( ile one to one ) kumuomba Ushauri Kwanza akamwambia Mimi GENTAMYCINE siyo Muoaji na ni mpita njia tu Kwake hivyo avumilie na atamuombea ampate Mume sahihi.Mt
MTani..hivi Mwamposa alikuvunjia ndoa au demu wako aliokoka akakuachaš¤£
Unamwita Rais wa Jamhuri takataka?futa kauli yako ndugu hiko kitekno Cha kariakoo kisikupe kiburi,we ni kajitu kadogo Sana nchi hii
Nimecheka sana Mkuu kwa Ulichoandika.Ila wewe jamaa na huyo mwamposa!! Si umwambie tu akuongezee posho,hiyo anayokulipa haitoshi Wala kukidhi mahitaji yako mzee baba?
Nina hamu hili lifanyike upesi na Serikali ya sasa ya Rais Samia kwani anamkubali Hayati kuliko Yeye.Mwamposa ana KIBRI.. atashughulikiwa kimyakimya.
Daah sasa mbona vita naye hata humuwezi mkuu?Nina Hasira nae mno kuna Demu nilishamtongoza na tayari Kumbandua akaenda Kwake ( ile one to one ) kumuomba Ushauri Kwanza akamwambia Mimi GENTAMYCINE siyo Muoaji na ni mpita njia tu Kwake hivyo avumilie na atamuombea ampate Mume sahihi.
Alinikera na nina Hasira nae kwa hilo zaidi kwani hakuna Kitu GENTAMYCINE nakipenda duniani kama Nyama Tamu ( Mbunye ) Mkuu.