Rais Samia wakati ukisheherekea Miaka yako Miwili hiki ndicho anachokisema Mwamposa Kanisani Kwake sasa...

Rais Samia wakati ukisheherekea Miaka yako Miwili hiki ndicho anachokisema Mwamposa Kanisani Kwake sasa...

Mwamposa anamkubali zaidi Hayati Dk. Magufuli kuliko Rais Samia hivyo wanampa tu hilo eneo hapo la Tanganyika Packers bure wakati Yeye hampendi Mama ( Rais ), ila anampenda Kinafiki huku Akimsanifu. Wamwondoe haraka hapa Kawe Tanganyika Packers tafadhali.
Kwani lazima ampende Samia? Kifupi huyo Mamaako anapendwa na wenye Maslahi nae na wazee wa kujipendekeza Kama unavyojiona hapo. Usiforce mfanane. Pumbaaaaaaavu
 
Huo ndiyo UKWELI.Nadhani mleta mada ni moja kati ya watu wenye mtindio wa Ubongo au mlambishwa asali maana inahitaji ujasiri wa hali ya juu kufumbia macho juhudi zilizofanyika awamu ya tano na kulinganisha na hii TAKATAKÀ ya awamu hii.Ni UPUMBAVU kujaribu kulinganisha awamu ya maendeleo nyanja zote (elimu, afya,nishati, miundombinu n.k) na awamu ya hafla,semina,pongezi,asali,asali,asali....chawa, ziara 😀.Awamu hii ni awamu ya hovyo kuwahi kutokea Tz.
Unahisi umejifiicha.. 🤣🤣.. Unachoongea inaweza kua kweli ila kumuita Rais takataka ni kukosa nidhamu
 
Kwani lazima ampende Samia? Kifupi huyo Mamaako anapendwa na wenye Maslahi nae na wazee wa kujipendekeza Kama unavyojiona hapo. Usiforce mfanane. Pumbaaaaaaavu
Mwambie huyo mpuuzi anafikiri sote ni wajinga kushabikia serkali hii isiyojua inachofanya wanachojua kukopa tu!
Juzi wamevuruga NHIF kwa kutoa Toto afya kadi lakini anajidai anawakomboa wanawake na watoto!
 
Kiongozi awe yeyote lkn sio muuaji ikiwa atapishana kimawazo na watu wengine,siyo atakayetaka kutengua katiba ili awe mfalme.Kukopa kila Rais alikopa mbn Trl1.5 sikii ikiongelewa au haikuwepogi hii issue.Mungu ambariki tu huyu Mama kwa kweli hata kama kuna mapungufu ila ana ubinadamu ndani yake.Anguko la kiuchumi kuanzia uhuru hawezi kutupiwa mtu mmoja hili lilikuwa tatizo endelevu mpk kufikia hapa
 
"Hayati Dk. Magufuli ndiyo Rais pekee aliyefanya Kazi za Baraka zaidi na Watanzania tutamkumbuka na tunamkumbuka hadi sasa" amesema Mtume Wao ( siyo wangu ) Mwamposa Ibadani Kwake leo.

Haya Rais Samia Kazi Kwako kwa Mtu ambaye umeshammilikisha eneo la Tanganyika Packers aendelee na Huduma yake na Asifukuzwe au Asiondoshwe tena hapo.

Wakati ukionyesha Kumkubali na muda mwingine hata Kumuomba akuombee na Watendaji wako Serikalini Mwenzako ndiyo Kwanza tena kwa Dharau, Jeuri na Kiburi kingi anaonyesha Kumkubali zaidi Mtangulizi wako Hayati Dk. Magufuli kwa Utawala wake ila Wewe wala hakukubali kabisa na anakukubali Kinafiki tu huku Akikusanifu pia ili tu Usimtoe hapo anapopategemea Kuwadanganya Wavivu wa Kufikiri Tanganyika Packers ili aendelee Kuwachuna ( Kupiga Pesa ) zao huku Akitajirika na Wao wakiendelea kuwa Masikini na Wengine hata Kurukwa na Akili ( Kudata ) mazima.
Huo mpambano tinawaachieni,isije kuwa ni ze bulldozer na Gawji tu😂😂😂
 
Kwani lazima ampende Samia? Kifupi huyo Mamaako anapendwa na wenye Maslahi nae na wazee wa kujipendekeza Kama unavyojiona hapo. Usiforce mfanane. Pumbaaaaaaavu
Siku hizi mkitoka Ibadani kwa Mtume Wenu Mwamposa mnaruhusiwa Kutukana na kuwa na Hasira hivi?
 
Mt

MTani..hivi Mwamposa alikuvunjia ndoa au demu wako aliokoka akakuacha🤣
Nina Hasira nae mno kuna Demu nilishamtongoza na tayari Kumbandua akaenda Kwake ( ile one to one ) kumuomba Ushauri Kwanza akamwambia Mimi GENTAMYCINE siyo Muoaji na ni mpita njia tu Kwake hivyo avumilie na atamuombea ampate Mume sahihi.

Alinikera na nina Hasira nae kwa hilo zaidi kwani hakuna Kitu GENTAMYCINE nakipenda duniani kama Nyama Tamu ( Mbunye ) Mkuu.
 
Daah sasa mbona vita naye hata humuwezi mkuu?
 
Back
Top Bottom