Rais Samia: Waliopokea ongezeko la gharama za ununuzi wa ndege ya mizigo waachie nafasi zao watupishe

Hawa ndo waliobaniwa na magu sasa wanakomaa mpaka kieleweke huku wakimtukuza mama kwa nyimbo na mpambio
 
Huyu mama pamoja na mambo mengine ambayo sikubaliani naye kwa sasa ,ila wenda akawa mzuri kiungozi nje ya ccm ila kuwa ndani ya ccm ambaya amezungukwa na majizi tunakosa kuona uhalisia wake ,
Ngoja tuzame ipo siku nitapata majibu Mungu ikimpendeza
 
Biashara yeyote ya product hizi ambazo huendi kununua showroom bali unasubiri kutengenezewa ukishapewa bei na wewe kukubaliana na kulipa upfront money na production ikaanza hapo hakuna ongezeko tena na kama kuna issue ambayo iko nje ya pande zote lazima mkae kikao then mkubaliane.... HUO NI WIZI STRAIGHT MAMA..

WAZIRI, NAIBU, KATIBU WA WIZARA NA KILA ANAYEJUA WALIPASWA KUWA NJE YA KAZI USIKU HUU NA VYOMBO VYA USALAMA VIWE KAZINI DHIDI YAO..

KUENDELEA KUDEKEZANA NI KUENDELEZA UOZO NA UJINGA.
 
Kuna watu wanapaswa kufa na wengine kuwa jela na mali zao kuwa mufilisi..

Kwakukusaidia mama, Sasa hivi watoto wa mjini tunasema mambo oyaoya kwa kila mwenye connection na ramani ndio mijengo inaamka tu mjini na migari mipya iko barabarani, maghorofa yanapanda kwa kasi, Petrol stations zinaota kama uyoga...MAMBO OYAOYA..
 
Wapigwe risasi kama china ndio wizi utakoma Tanzania
“Kufikia hapa tulipofika kuna mashirika hayafai kuwepo…unalisikia shirika…tangu niko sekondari …na hapa sina kigugumizi cha kusema..NDC kwa mfano…mpaka leo niko kwenye kiti hiki kuna NDC. Ukitafuta kwenye ripoti ni lini walifanya positive impact utakuta labda ile ya awamu ya kwanza wakati linaundwa…lakini si ya pili, si ya tatu, si ya nne, si ya tano, siyo hii…lakini dude NDC lipo…lipo. Kwa hiyo kuna wengi kama NDC…nendeni mkayaangalie…” – Rais Samia Suluhu Hassan akiagiza kufanywa tahmini kwenye mashirika ya umma yaliyopata hasara.
 

nshakuambia wewe shoga uache namba yako ya simu
teuzi inakuhusu mana si kwa kusifiaa huku
 
Uchunguzi wa majalada ya rushwa kubwa ulihusisha mradi wa mabasi yaendayo haraka…jumla ya shilingi bilioni nane, ubadhilifu wa fedha za NHIF shilingi bilioni tatu, na ubadhilifu wa fedha za benki ya NBC shilingi bilioni 4.7…” – Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), CP. Salum Hamduni akiwasilisha ripoti yake mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan Ikulu jijini Dar es Salaam.

Umeelewa hapo lakini au bado unakaza misuli ya kichwa mkuu ?
 
Kuna siku hata misaada ya kutoka Ulaya itakoma kwani watu ulaya wanachoka kusaidia wezi
 
Leo kaongea kwa hasira sana na matusi kibao hhaaa wabongo bila nguvu hawaeleweki

USSR
🤣🤣Kumbe maza akikasirika anamwaga ngeli hatari,leo katema yai kila baada ya sentensi🤣Mara stupid,Mara pumbavu🤣🤣🤣
 
Si walitumia brokers kununua hizo ndege??you can fool some people for some time but you can not fool all the people all the time
 
Kuna siku hata misaada ya kutoka Ulaya itakoma kwani watu ulaya wanachoka kusaidia wezi
Kusaidia wezi? Mwizi anajua hilo la kusaidia wezi yeye si anaiba tu anajenga majumba, mahotel, malodge, ananunua MAGARI mazuri, pesa zingine anaficha bank, mwizi hajali km ulaya watatoa misaada au hawatatoa yeye dili likiingia tu anaiba anatumia anatulia, anasikilizia upepo unavyoenda anasikilizia dili lingine likiingia anachora ramani ya upigaji anapiga anatumia anatulia anasikilizia upepo, kuna wezi wa kimataifa hao kazi yao ni kuiba tu na Serikalini wapo
 
Kazi iendelee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…