Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Ila mwizi wa kuku anapigwa moto.Tanzania mwizi wa mabilion anabembelezwa
Mtundike kitanzi uone kama kuna nyknyk mwingine atakwiba
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila mwizi wa kuku anapigwa moto.Tanzania mwizi wa mabilion anabembelezwa
Mtundike kitanzi uone kama kuna nyknyk mwingine atakwiba
Ova
Hawa ndo waliobaniwa na magu sasa wanakomaa mpaka kieleweke huku wakimtukuza mama kwa nyimbo na mpambioKuna watu wameongezeka 110% kwenye gharama za Ununuzi wa Ndege ya Mizigo. Nadhani Sasa Mh. Rais ameanza kuwafahamu Watanzania. Hawa watu msiishie kuwafuta kazi waende mahakamani.
Hii Nchi watu Kuiba ni sehemu ya maisha Yao so kuwasimamia Kwa kuwabembeleza watakutafuna Hadi ukome. Watanzania wanatakiwa kuendeshwa kama punda ndio wanaleta.
Mwisho waboresheeni maslahi Yao pia vinginevyo Kuna syndicate kubwa sana ya wizi.
==============
Rais Samia Suluhu Hassan ameonesha kuchukizwa na kitendo cha ongezeko la fedha za manunuzi ya Ndege mpya ya mizigo kinyume na fedha ambazo zilikuwepo kwenye mkataba wa awali huku akiwataka Watumishi wa Serikali waliokubali ongezeko hilo bila kuhoji waachie nafasi zao kwakuwa hawana uchungu na fedha za Watanzania.
“Kuna mradi hapa tumetengeneza Ndege ya mizigo ambayo tunakaribia kuipokea, last Installments ilikuwa tulipe dola milioni 37, invoice imekuja dola milioni 86….. unauliza mkataba ulisemaje? hii imetokana na wapi?, ooh vifaa vimepanda bei, vipi? mkataba wetu ulisemaje”
“Na bado aliyepokea anakuletea Serikalini hii ilipwe ndio invoice tumepokea….. stupid, ulipopokea umechukua hatua gani? umeuliza nini? umefanya nini? ukilitazama kwa undani hili ongezeko limeanzia huku ndani kuna Watu wameongea huko”
“Hatuwezi kwenda hivyo na nadhani hawa wanaopokea hizo invoice wakazileta kwa raha zao kabisa Serikalini watupishe, hawafai kuwa kwenye hizo nafasi, kama wanafaa angepokea huko akalihoji”
“Baada ya kuhoji akasema nilipokea hivi, nimeambiwa hivi lakini bado nimeoka tufanye hivi, huyu unamuelewa lakini Mtu anapokea kwa raha zake tu analeta Serikali ‘Kuna hiyo invoice imekuja, vifaa vimeongezeka baada ya covid, pumbavu haiwezekani….. Mawaziri tusaidieni over-invoicing zipo nyingi sana” ——— Rais Samia.
Huyu mama pamoja na mambo mengine ambayo sikubaliani naye kwa sasa ,ila wenda akawa mzuri kiungozi nje ya ccm ila kuwa ndani ya ccm ambaya amezungukwa na majizi tunakosa kuona uhalisia wake ,Kuna watu wameongezeka 110% kwenye gharama za Ununuzi wa Ndege ya Mizigo. Nadhani Sasa Mh. Rais ameanza kuwafahamu Watanzania. Hawa watu msiishie kuwafuta kazi waende mahakamani.
Hii Nchi watu Kuiba ni sehemu ya maisha Yao so kuwasimamia Kwa kuwabembeleza watakutafuna Hadi ukome. Watanzania wanatakiwa kuendeshwa kama punda ndio wanaleta.
Mwisho waboresheeni maslahi Yao pia vinginevyo Kuna syndicate kubwa sana ya wizi.
==============
Rais Samia Suluhu Hassan ameonesha kuchukizwa na kitendo cha ongezeko la fedha za manunuzi ya Ndege mpya ya mizigo kinyume na fedha ambazo zilikuwepo kwenye mkataba wa awali huku akiwataka Watumishi wa Serikali waliokubali ongezeko hilo bila kuhoji waachie nafasi zao kwakuwa hawana uchungu na fedha za Watanzania.
“Kuna mradi hapa tumetengeneza Ndege ya mizigo ambayo tunakaribia kuipokea, last Installments ilikuwa tulipe dola milioni 37, invoice imekuja dola milioni 86….. unauliza mkataba ulisemaje? hii imetokana na wapi?, ooh vifaa vimepanda bei, vipi? mkataba wetu ulisemaje”
“Na bado aliyepokea anakuletea Serikalini hii ilipwe ndio invoice tumepokea….. stupid, ulipopokea umechukua hatua gani? umeuliza nini? umefanya nini? ukilitazama kwa undani hili ongezeko limeanzia huku ndani kuna Watu wameongea huko”
“Hatuwezi kwenda hivyo na nadhani hawa wanaopokea hizo invoice wakazileta kwa raha zao kabisa Serikalini watupishe, hawafai kuwa kwenye hizo nafasi, kama wanafaa angepokea huko akalihoji”
“Baada ya kuhoji akasema nilipokea hivi, nimeambiwa hivi lakini bado nimeoka tufanye hivi, huyu unamuelewa lakini Mtu anapokea kwa raha zake tu analeta Serikali ‘Kuna hiyo invoice imekuja, vifaa vimeongezeka baada ya covid, pumbavu haiwezekani….. Mawaziri tusaidieni over-invoicing zipo nyingi sana” ——— Rais Samia.
“Kufikia hapa tulipofika kuna mashirika hayafai kuwepo…unalisikia shirika…tangu niko sekondari …na hapa sina kigugumizi cha kusema..NDC kwa mfano…mpaka leo niko kwenye kiti hiki kuna NDC. Ukitafuta kwenye ripoti ni lini walifanya positive impact utakuta labda ile ya awamu ya kwanza wakati linaundwa…lakini si ya pili, si ya tatu, si ya nne, si ya tano, siyo hii…lakini dude NDC lipo…lipo. Kwa hiyo kuna wengi kama NDC…nendeni mkayaangalie…” – Rais Samia Suluhu Hassan akiagiza kufanywa tahmini kwenye mashirika ya umma yaliyopata hasara.Wapigwe risasi kama china ndio wizi utakoma Tanzania
Yes kamba to kamba mwenye kamba ndefu ndio anakula parefu au sio?MAMBO OYAOYA
Kabadili gia anganiAlisema hatatukana, kalamu itaongea. Imekuaje?
Sema hizo ni Kamba Straight Mama, shtuka kuna watu wana kamba ndefu hawawezi kula pafupi na ulishasema kila mtu ale kwa urefu wa kamba MamaHUO NI WIZI STRAIGHT MAMA..
Kuna watu wameongezeka 110% kwenye gharama za Ununuzi wa Ndege ya Mizigo. Nadhani Sasa Mh. Rais ameanza kuwafahamu Watanzania. Hawa watu msiishie kuwafuta kazi waende mahakamani.
Hii Nchi watu Kuiba ni sehemu ya maisha Yao so kuwasimamia Kwa kuwabembeleza watakutafuna Hadi ukome. Watanzania wanatakiwa kuendeshwa kama punda ndio wanaleta.
Mwisho waboresheeni maslahi Yao pia vinginevyo Kuna syndicate kubwa sana ya wizi.
==============
Rais Samia Suluhu Hassan ameonesha kuchukizwa na kitendo cha ongezeko la fedha za manunuzi ya Ndege mpya ya mizigo kinyume na fedha ambazo zilikuwepo kwenye mkataba wa awali huku akiwataka Watumishi wa Serikali waliokubali ongezeko hilo bila kuhoji waachie nafasi zao kwakuwa hawana uchungu na fedha za Watanzania.
“Kuna mradi hapa tumetengeneza Ndege ya mizigo ambayo tunakaribia kuipokea, last Installments ilikuwa tulipe dola milioni 37, invoice imekuja dola milioni 86….. unauliza mkataba ulisemaje? hii imetokana na wapi?, ooh vifaa vimepanda bei, vipi? mkataba wetu ulisemaje”
“Na bado aliyepokea anakuletea Serikalini hii ilipwe ndio invoice tumepokea….. stupid, ulipopokea umechukua hatua gani? umeuliza nini? umefanya nini? ukilitazama kwa undani hili ongezeko limeanzia huku ndani kuna Watu wameongea huko”
“Hatuwezi kwenda hivyo na nadhani hawa wanaopokea hizo invoice wakazileta kwa raha zao kabisa Serikalini watupishe, hawafai kuwa kwenye hizo nafasi, kama wanafaa angepokea huko akalihoji”
“Baada ya kuhoji akasema nilipokea hivi, nimeambiwa hivi lakini bado nimeoka tufanye hivi, huyu unamuelewa lakini Mtu anapokea kwa raha zake tu analeta Serikali ‘Kuna hiyo invoice imekuja, vifaa vimeongezeka baada ya covid, pumbavu haiwezekani….. Mawaziri tusaidieni over-invoicing zipo nyingi sana” ——— Rais Samia.
“Uchunguzi wa majalada ya rushwa kubwa ulihusisha mradi wa mabasi yaendayo haraka…jumla ya shilingi bilioni nane, ubadhilifu wa fedha za NHIF shilingi bilioni tatu, na ubadhilifu wa fedha za benki ya NBC shilingi bilioni 4.7…” – Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), CP. Salum Hamduni akiwasilisha ripoti yake mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan Ikulu jijini Dar es Salaam.Nilikuwa najua una ujinga kidogo kumbe una ujinga mwingi sana.
Narudia hujui majukumu na madhumuni ya kuanzishwa kwa idara ya usalama wa taifa na TAKUKURU.
Nimekuelekeza nenda kasome sheria hizo utaelewa jambo. Kama sheria imekupiga knockout basi tafuta mjuvi wa sheria akusomee nakukutafsiria.
Mimi ni mdaubwa sheria ndiye ninayekwambia kwamba moja ya majukumu ya msingi ya Tiss ama Takukuru ni pamoja na ku detect vitendo vya wizi ama rushwa dhidi ya serikali.
Hujawahi kusikia taarifa ya Takukuru ikisema kwamba "tumefanikiwa kuokoa bilioni 10 ambazo zingetumika kinyume na matumizi kusudiwa"?
Leo Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru katoa taarifa juu ya fedha walizofanikiwa kuokoa ambazo zingetumika kinyume na matumizi tarajiwa.
Kuna siku hata misaada ya kutoka Ulaya itakoma kwani watu ulaya wanachoka kusaidia wezi“Kufikia hapa tulipofika kuna mashirika hayafai kuwepo…unalisikia shirika…tangu niko sekondari …na hapa sina kigugumizi cha kusema..NDC kwa mfano…mpaka leo niko kwenye kiti hiki kuna NDC. Ukitafuta kwenye ripoti ni lini walifanya positive impact utakuta labda ile ya awamu ya kwanza wakati linaundwa…lakini si ya pili, si ya tatu, si ya nne, si ya tano, siyo hii…lakini dude NDC lipo…lipo. Kwa hiyo kuna wengi kama NDC…nendeni mkayaangalie…” – Rais Samia Suluhu Hassan akiagiza kufanywa tahmini kwenye mashirika ya umma yaliyopata hasara.
🤣🤣Kumbe maza akikasirika anamwaga ngeli hatari,leo katema yai kila baada ya sentensi🤣Mara stupid,Mara pumbavu🤣🤣🤣Leo kaongea kwa hasira sana na matusi kibao hhaaa wabongo bila nguvu hawaeleweki
USSR
Si walitumia brokers kununua hizo ndege??you can fool some people for some time but you can not fool all the people all the timeNdugu ununuzi wa ndege mpya auna tofauti sana na construction contract. Unalipa kwa hatua kadri kazi inavyofanyika ni matakwa pia ya IFRS 15 in recognition of revenue.
Hatua ya kazi ikiisha ujalipa on time kuna penalties and fines; ukichelewa kulipa na interest juu.
Kingine hakuna kampuni ya kigeni inafanya biashara ya muda mrefu bila ya discounting factor hiyo ni automatic inflation mitigation risk, pamoja na hayo contractor wa ujenzi makini anatuambia prices might go way beyond their expectation na hayo mambo yatakuwa kama sehemu ya ‘variable consideration’.
Ni hivi sitetei au sipingi, busara ni kusikiliza upande wa pili. Boeing siyo hizi kampuni zetu eti waongeze bei kwenye receipt upewe cha juu. That is highly unlikely, management inafanya kazi kwa niaba ya shareholders. Any income itakuwa correctly recorded in their books na wanakuwa audited thoroughly. So sioni how mtanzania anaweza faidika hapo, it’s close to zero possibilities ya mtu kupata mgao hapo.
Na alitakiwa kuelekeza takukuru kushuhulika na wahusika upesi sana sio kulalamika kama raiya wa kawaida kabisa wa huko Pawaga.Analalamika hadi lini? Wakati kama hao alitakiwa kutoa maelezo tu, na kuteua wengine sheria inamruhusu, eti anawaomba
Kusaidia wezi? Mwizi anajua hilo la kusaidia wezi yeye si anaiba tu anajenga majumba, mahotel, malodge, ananunua MAGARI mazuri, pesa zingine anaficha bank, mwizi hajali km ulaya watatoa misaada au hawatatoa yeye dili likiingia tu anaiba anatumia anatulia, anasikilizia upepo unavyoenda anasikilizia dili lingine likiingia anachora ramani ya upigaji anapiga anatumia anatulia anasikilizia upepo, kuna wezi wa kimataifa hao kazi yao ni kuiba tu na Serikalini wapoKuna siku hata misaada ya kutoka Ulaya itakoma kwani watu ulaya wanachoka kusaidia wezi
The thieves have enough cash to overthrow the government this is a tragedyMtu kapiga 115 billions halafu commander in chief anasema anaomba lifanyiwe kazi dah
Kazi iendelee!Kuna watu wameongezeka 110% kwenye gharama za Ununuzi wa Ndege ya Mizigo. Nadhani Sasa Mh. Rais ameanza kuwafahamu Watanzania. Hawa watu msiishie kuwafuta kazi waende mahakamani.