Rais Samia: Waliopokea ongezeko la gharama za ununuzi wa ndege ya mizigo waachie nafasi zao watupishe

Aliposema kuleni kwa urefu wa kamba zenu na msivimbiwe, alikuwa anazungumzia matatizo gani?? Kuna mtu anaweza akavimbiwa mshahara??
 
Wewe jifanye unakijua sana Kiswahili wenzako huko wanapiga,mama yenu aliwasisitiza kabisa "kuleni (ibeni) lakini msiibe mpaka mkavimbiwa (mkastukiwa)" na hao wameiba mpaka wakavimbiwa ndo maana wamestukiwa.

Na aliyewashauri waibe hana cha kuwafanya hizo mbwembwe tu.
 
NImependa hapo Kwa stupid na pumbavu,mama ameanza kukunjua makucha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…