Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Kwahiyo wanamfyonza kimyaa kimyaa!?Walivyoanza kujiita chawa wa mama ina maana hamkuelewa tu maana yake?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo wanamfyonza kimyaa kimyaa!?Walivyoanza kujiita chawa wa mama ina maana hamkuelewa tu maana yake?
$50m hiyo kasoroDola milion 37 mpaka 86, kama ni chozi lazima limwagike
naomba unisaidie mmoja.Mkuu unae mwanasheria ?!
Acha watu wanunue mabasi na wajenge mavituo ya mafuta wewe acheni wivuUsd ml37 hadi usdml86!!!
Hapana Mh Rais umezidi kuwachekea ni Tsh bilion ngapi hizo zanaingia mifukoni mwa watu?
Ndio maana kuna wapuuzi wanatuambia humu Mama kafungua Nchi kumbe ni kwa style hii?
Ndio hao walikuwa wanasifu kufungua nchi...... 86m - 37m = 49m. Sasa ukichukua 49m/37m = 133%. Jamaa wamepiga 137% ya bei ya awali. Ukichukua $49,000,000 X Tshs 2360 =Tshs 115,640,000,000. Hizo niTshs 115.6 Bilioni. Zinaweza kujenga barabara ya lami Kilomita 115 hivi - hizo ni kutoka Dar - Mpaka mbele ya Chalinze. Na hiyo ni Transaction moja. Kumbe tuna pesa za kutosha.....Usd ml37 hadi usdml86!!!
Hapana Mh Rais umezidi kuwachekea ni Tsh bilion ngapi hizo zanaingia mifukoni mwa watu?
Ndio maana kuna wapuuzi wanatuambia humu Mama kafungua Nchi kumbe ni kwa style hii?
Mimi nadhani raisi Samia yawezekana kabisa ana nia njema ya kuwa raisi wa Tanzania.Kuna watu wameongezeka 10% kwenye gharama za Ununuzi wa Ndege ya Mizigo.
Nadhani Sasa mh.Rais ameanza kuwafahamu Watanzania.
Hawa watu msiishie kuwafuta kazi waende mahakamani.
Hii Nchi watu Kuiba ni sehemu ya maisha Yao so kuwasimamia Kwa kuwabembeleza watakutafuna Hadi ukome..
Watanzania wanatakiwa kuendeshwa kama punda ndio wanaleta..
Mwisho waboresheeni maslahi Yao pia vinginevyo Kuna syndicate kubwa sana ya wizi.
----
Rais Samia Suluhu Hassan ameonesha kuchukizwa na kitendo cha ongezeko la fedha za manunuzi ya Ndege mpya ya mizigo kinyume na fedha ambazo zilikuwepo kwenye mkataba wa awali huku akiwataka Watumishi wa Serikali waliokubali ongezeko hilo bila kuhoji waachie nafasi zao kwakuwa hawana uchungu na fedha za Watanzania.
“Kuna mradi hapa tumetengeneza Ndege ya mizigo ambayo tunakaribia kuipokea, last Installments ilikuwa tulipe dola milioni 37, invoice imekuja dola milioni 86….. unauliza mkataba ulisemaje? hii imetokana na wapi?, ooh vifaa vimepanda bei, vipi? mkataba wetu ulisemaje”
“Na bado aliyepokea anakuletea Serikalini hii ilipwe ndio invoice tumepokea….. stupid, ulipopokea umechukua hatua gani? umeuliza nini? umefanya nini? ukilitazama kwa undani hili ongezeko limeanzia huku ndani kuna Watu wameongea huko”
“Hatuwezi kwenda hivyo na nadhani hawa wanaopokea hizo invoice wakazileta kwa raha zao kabisa Serikalini watupishe, hawafai kuwa kwenye hizo nafasi, kama wanafaa angepokea huko akalihoji”
“Baada ya kuhoji akasema nilipokea hivi, nimeambiwa hivi lakini bado nimeoka tufanye hivi, huyu unamuelewa lakini Mtu anapokea kwa raha zake tu analeta Serikali ‘Kuna hiyo invoice imekuja, vifaa vimeongezeka baada ya covid, pumbavu haiwezekani….. Mawaziri tusaidieni over-invoicing zipo nyingi sana” ——— Rais Samia.
Mzee alimwachia watendaji wazuri, yeye akawafukuza, hao watamla hela mpaka basi, kufikia 2025, kapu halina kitu.
Mama alisema wale urefu wa kamba zao.
Kwenye pesa binadamu Huwa haridhiki, mbona Mo Bado anatafuta?na leo karudia tena kuwauliza hamshibi ?
ambayo ni ku justify kula kwa wastani. Na ku surrender kwamba hatuwezi kuwazuia/kuwakamata...
binadamu haridhiki na hela, sijui kwa nn hili Rais halijui
Ningekuwa Rais ningepeleka state attorneys and investigators nje ya nchi kusomea kozi fupi za solving whilte color crimes. Tena kwa hili tungeonyesha nia ya dhati wangepewa sponsorship za bure bure kabisa. Hatuna hiyo medani.
Na bado anasema wamepiga 10% hizo ndio asilimia kumi kweli? Mbona wanaleta hasira sana!Ndio hao walikuwa wanasifu kufungua nchi...... 86m - 37m = 49m. Sasa ukichukua 49m/37m = 133%. Jamaa wamepiga 137% ya bei ya awali. Ukichukua $49,000,000 X Tshs 2360 =Tshs 115,640,000,000. Hizo niTshs 115.6 Bilioni. Zinaweza kujenga barabara ya lami Kilomita 115 hivi - hizo ni kutoka Dar - Mpaka mbele ya Chalinze. Na hiyo ni Transaction moja. Kumbe tuna pesa za kutosha.....
Sisi ni chawa waadilifuWalivyoanza kujiita chawa wa mama ina maana hamkuelewa tu maana yake?
Haya uliyoyaandika yametoka moyoni mwako kwa dhati kabisa?Acha watu wanunue mabasi na wajenge mavituo ya mafuta wewe acheni wivu
Kwanza wanaoiba hizo pesa ni watendaji Wala sio machawa.Sisi ni chawa waadilifu
Wapashe haoKwanza wanaoiba hizo pesa ni watendaji Wala sio machawa.
Chawa anakutana na mikataba ya serikali wapi? Hao Washughulikiwe
Kingereza ni sarcasmHaya uliyoyaandika yametoka moyoni mwako kwa dhati kabisa?
Sasa akifukuza wote si mtasema Mama nae ni Dikteta Kama Mwendazake!!? Watanzania mnatuchanganya sana,na hata sijui mnataka nini!? Mkipewa Jua mnataka Mvua, na mkipewa Mvua mnataka Jua!! Mnatuvuruga kabisa!!Mama usicheke na kima, fukuza wote ujenge heshima na kuaminiwa zaidi na Watanzania.