Rais Samia: Waliopokea ongezeko la gharama za ununuzi wa ndege ya mizigo waachie nafasi zao watupishe

Rais Samia: Waliopokea ongezeko la gharama za ununuzi wa ndege ya mizigo waachie nafasi zao watupishe

Naomba kuuliza hivi TAKUKURU na watu wa intelligence hawawezi zuia haya mambo Hadi waache wizi umefanyika?
Hao TISS wetu wapo kwa ajili ya kuchunguza upinzani ni pro politics zaidi sio pro economics..

we image kama wiki mbili zilizopita nilipita mahali kwenye mgahawa nikapate lunch ile nimefika nikawaona pia askari poli walikuwe hapo pia wanakula walikuwa kama 4 hivi ila na mkuu wa kituo pia yupo sasa hayo maongezi yao sasa wanadiscuss mishahara ya wakurungenzi kuna mmoja hapo ndio alikuwa kinara kweli anawaambia wenzake unamjua mkurungezi wa taasisi fulani analamba millioni kumi na tano, mwingine sijui millioni 18 na kadhalika na kadhalika sasa imagine kiongozi wao alichowaambia akawaambia "unajua hao wanaolipwa hizo pesa ni wanajua mambo mengi sana kuna mambo wanajua ndio maana wanalipwa pesa hizo hao watu hawachukuliwi tu wakapewa nafasi hizo vitu wanavyojua vikitajwa vinaweza kuteteresha nchi". 😀😀😀


imagine mkuu wa kituo huyo ndio kiongozi na anawaambia wenzae sasa hapo kuna kitu kweli uwezo wa kufikiri wa hawa askari wetu ni wa chini mno mm nilibaki nawacheka sana moyoni maana walikuwa na silaha.😀😀😀
 
Leo Rais Samia amekasirishwa sana na hotuba ya wizi wa mali za umma baada ya uwasilishaji wa CAG na TAKUKURU ikabidi aseme pumbavu na kisha kurudi na Kingereza 'stupid'.

Sikuwahi kujua kama ipo siku moja Rais Samia Suluhu Hassan awe na hasira kali kama hizi.

USSR
 
Kwenye Hotuba yote ya mheshimiwa Rais naweza kusema alikuwa anasema kwa moyo wa dhati na wenye lengo la kuwataka watendaji walisaidie taifa.

Lakini hadi kufika eneo hili kwenye clip hii hapa chini, mama alikasirika sana yaani sana hadi kutoa lugha inayoonyesha alikerwa hasa.


Moderator niliomba hapo kabla uzi huu usiunganishwe, as you're professional journalist mkaajiliwa hapo hamuoni different content from the main body story and how mnaunganisha?.
 
Siyo kila wakati unaweza kuwa kiongozi wa kulaumiwa na boss wako bali wote na wewe mnapaswa kuwa waangalizi wa mali iliyo chini yako.
 
Kwenye Hotuba yote ya mheshimiwa Rais naweza kusema alikuwa anasema kwa moyo wa dhati na wenye lengo la kuwataka watendaji walisaidie taifa.

Lakini hadi kufika eneo hili kwenye clip hii hapa chini, mama alikasirika sana yaani sana hadi kutoa lugha inayoonyesha alikerwa hasa.

View attachment 2570051
Nategemea hatua zaidi kuchukukiwa pia Bunge nalo lije na maazimio ya kuwashukisha adabu wahusika.
 
Ndio matokeo ya "HILI NALO MKALITAZAME"
Kiongozi unapaswa kuwa na msimamo wa kila jambo na namna bora ya kulifanikisha kwa ufanisi. Sasa wewe kila jambo inaelekeza wahuni wakalitizame unategemea uvune nini?
 
Ndio maana wengine Mungu hakupenda tuwe Viongozi...hakika kwa mtu kama mimi Leo kungekuwa na Maturubai sehemu nyingi sana.
Tatizo àkiaanza kuwashuhulikia vinakuja vijitu vinaanza kuleta Mambo sijui haki za Binaadamu na ujingaujinga mwingi tu!!
 
Back
Top Bottom