Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Hivi kweli from 37 to 86$ kweli? Hapana aisee, viongozi wa hili taifa kuweni na huruma wananchi wanaishi kwenye tope la ufukara.
Ndege haiwezi kupanda bei kiasi hiki sema tu hawa wajuba wamemzoea Rais kupita kiasi jamani, inafika wakati unajiuliza nchi yetu inaenda wapi?
Kwa mfumo huu kama mwalimu anapewa laki tatu anaoga vumbi la chokaa la kutosha huku kiongozi anatembelea VXR V8 ya millioni mia saba, anapiga pesa za umma millions of dollars halafu akija anasema CCM oyeeeee! [emoji22]