Rais Samia: Waliopokea ongezeko la gharama za ununuzi wa ndege ya mizigo waachie nafasi zao watupishe

Rais Samia: Waliopokea ongezeko la gharama za ununuzi wa ndege ya mizigo waachie nafasi zao watupishe

Kusaidia wezi? Mwizi anajua hilo la kusaidia wezi yeye si anaiba tu anajenga majumba, mahotel, malodge, ananunua MAGARI mazuri, pesa zingine anaficha bank, mwizi hajali km ulaya watatoa misaada au hawatatoa yeye dili likiingia tu anaiba anatumia anatulia, anasikilizia upepo unavyoenda anasikilizia dili lingine likiingia anachora ramani ya upigaji anapiga anatumia anatulia anasikilizia upepo, kuna wezi wa kimataifa hao kazi yao ni kuiba tu na Serikalini wapo
Kwa nini serikali haiwajui??au ni ndugu zao??
 
Busara ni kusikia na upande wa pili pia.

Mkataba una kipengele cha ‘determination of transaction price’ zipo sababu kadhaa.

Moja ya determinant kwenye transaction price ni ‘variable consideration’ hiko kipengele kina adjust inflation kama contract ya muda mrefu, kuna fines za kuchelewesha malipo na mambo luluki ya kutazama.

Ni hela nyingi sana chances kuna ufisadi, ila busara ni kusikiliza na upande wa pili pia kwanini invoice imekuwa kubwa. Lakini kudhani transaction price lazima iwe fixed ni dhana potofu, things change with time.
Kasema kuwa mabadiliko yamekuwa generated Tanzania na Watanzania na sio nje ya Tanzania au Boeing
 
Safi sana uyu ndio raisi sahihi tulimgojea kwa miaka mingi mnooo. Mama piga kazi kanyaga twende
 
Back
Top Bottom