Rais Samia: Waliopokea ongezeko la gharama za ununuzi wa ndege ya mizigo waachie nafasi zao watupishe

Rais Samia: Waliopokea ongezeko la gharama za ununuzi wa ndege ya mizigo waachie nafasi zao watupishe

Maderu na yule aliyepelekwa BOT kuwa gavana...

Walilipaje bila kuhoji ongezeko?
 
Hii nchi si tu ina vijana hovyo pia ina Wazee na viongozi wa hovyo hovyo hovyo kabisaa.......

Itakuwa na watu wa hovyo sana na wengi wao wako huko serikalini.

FsYxt_2WYAAHbzp.jpeg
 
Kweli hakuna gharama za hivyo hata kama ni covid 19,Hawa watu Fukuza na wapande Kizimbani..

Watanzania sio watu wa kuchekea Mimi nawafahamu vizuri..

Mwendazake aliwajua isipokuwa alikosea kwenye uchumi na siasa.
Bado kidogo tutasahau tofauti zetu na kuanza kuimba wimbo mmoja !
 
CAG ndio whistle blower anaewaamsha hao wengine kuwapa taarifa wakafanye uchunguzi na hatua zichukuliwe ili kuujua ukweli halisi, I'm not layman like you amka huko usingizini unataka waingilie majukumu yasiyowahusu yaan hakuna taarifa ya rushwa TAKUKURU wakaweke mtego ili kukamata Wala rushwa umerogwa au?
TAKUKURU wanapaswa kujua na kupitia mikataba ya manunuzi ya serikali regular before and after purchasing ili waweze kujilizisha kama hakuna mazingira ya rushwa
 
TAKUKURU wanapaswa kujua na kupitia mikataba ya manunuzi ya serikali regular before and after purchasing ili waweze kujilizisha kama hakuna mazingira ya rushwa
Hadi washtuliwe/watonywe ndio maana kuna majalada we unafikiri wanaenda enda tu kichwa kichwa, wanaambiwa pale ule mradi wa SGR Kadogosa kula pesa anakula anaikung'uta ndio jamaa wanaenda kuchimba, kuchimbua na kuchambua hadi wamnase Kadogosa, unafikiri wanaenda enda tu ?

Unafikiri mtu anaeomba rushwa anakamatwa vipi ? Anavamiwa yaan TAKUKURU wanavamia tu bila taarifa au kutonywa na mtu kua yule jamaa anaomba rushwa ya ngono ? Au wanajua tu wenyewe kua huyu anapokea rushwa ya ngono bila kuambiwa na mtu ? Wanaoteshwa ?
 
Kwahiyo mama imebidi asubiri kikao cha leo kusema hili? Alipaswa kuchukua hatua pale pale baada ya kuona huo ujinga.

Mama Samia unadanganywa sana mambo yanakwenda vizuri lakini kuna wahuni wanafanya uhuni kifua mbele wakiamini huwezi kufanya lolote.

Wewe ndio amri jeshi mkuu, kaza uso sometimes watu wajue bado ikulu kuna kiongozi na ana macho!
 
Biashara yeyote ya product hizi ambazo huendi kununua showroom bali unasubiri kutengenezewa ukishapewa bei na wewe kukubaliana na kulipa upfront money na production ikaanza hapo hakuna ongezeko tena na kama kuna issue ambayo iko nje ya pande zote lazima mkae kikao then mkubaliane.... HUO NI WIZI STRAIGHT MAMA..

WAZIRI, NAIBU, KATIBU WA WIZARA NA KILA ANAYEJUA WALIPASWA KUWA NJE YA KAZI USIKU HUU NA VYOMBO VYA USALAMA VIWE KAZINI DHIDI YAO..

KUENDELEA KUDEKEZANA NI KUENDELEZA UOZO NA UJINGA.
Si wanamdanganya kwa kuwa mama hajui na ni mbumbu wa mambo mengi .mkataba upo unasema utengenezaji ni shilingi 50 ghafla bin vuu unakuja na invoice inayosema bidhaa x miliyokubaliana ni shili ngi 70
 
Kwa hiyo watawaambia hao jamaa wa cancel Invoice au itabidi walipe tu? Nadhani kuna jambo tofauti hapo... Hakuna over Invoice ya namna hiyo. Hata tutusa wa la saba A hawezi fanya ujinga wa hivyo.

Hapo labda wasema walifanya some changes in specifications and customization ya hiyo ndege. Otherwise huyo muhusika kama ni over Invoice wamuweke pale Taifa Kati Watu wajifunzie shabaha tu. Maana hiyo ni stupid kabisa..
 
Back
Top Bottom