Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Very weak leader.Huyu rais ni dhaifu sana
Mkataba unamaliza kila kitu.Kwa hiyo watawaambia hao jamaa wa cancel Invoice au itabidi walipe tu? Nadhani kuna jambo tofauti hapo... Hakuna over Invoice ya namna hiyo. Hata tutusa wa la saba A hawezi fanya ujinga wa hivyo.
Hapo labda wasema walifanya some changes in specifications and customization ya hiyo ndege. Otherwise huyo muhusika kama ni over Invoice wamuweke pale Taifa Kati Watu wajifunzie shabaha tu. Maana hiyo ni stupid kabisa..
Huo ni wizi wa makubaliano .Hakuna mtanzania mwenye akili ya kuiba pesa nyingi hivo peke yake, hizo zimeongezwa na kikundi sio mtu mmoja
Nyie ndo wezi mkikabwa mnapanic unaweza kuonyesha uchafu wao kama sio porojo tu hapaHao walikuwa wasafi?...wewe ndiyo mavi kunuka...
Wizi wa Lukuvi huujui?,upumbavu wa Kabudi huujui?...wewe ni juha.Nyie ndo wezi mkikabwa mnapanic unaweza kuonyesha uchafu wao kama sio porojo tu hapa
Yaani namba moja wetu amekasirika sana sana.View attachment 2570297
Kuna watu wameongeza 110% kwenye gharama za Ununuzi wa Ndege ya Mizigo. Nadhani Sasa Mh. Rais ameanza kuwafahamu Watanzania. Hawa watu msiishie kuwafuta kazi waende mahakamani.
Hii Nchi watu Kuiba ni sehemu ya maisha Yao so kuwasimamia Kwa kuwabembeleza watakutafuna Hadi ukome. Watanzania wanatakiwa kuendeshwa kama punda ndio wanaleta.
Mwisho waboresheeni maslahi Yao pia vinginevyo Kuna syndicate kubwa sana ya wizi.
==============
Rais Samia Suluhu Hassan ameonesha kuchukizwa na kitendo cha ongezeko la fedha za manunuzi ya Ndege mpya ya mizigo kinyume na fedha ambazo zilikuwepo kwenye mkataba wa awali huku akiwataka Watumishi wa Serikali waliokubali ongezeko hilo bila kuhoji waachie nafasi zao kwakuwa hawana uchungu na fedha za Watanzania.
“Kuna mradi hapa tumetengeneza Ndege ya mizigo ambayo tunakaribia kuipokea, last Installments ilikuwa tulipe dola milioni 37, invoice imekuja dola milioni 86….. unauliza mkataba ulisemaje? hii imetokana na wapi?, ooh vifaa vimepanda bei, vipi? mkataba wetu ulisemaje”
“Na bado aliyepokea anakuletea Serikalini hii ilipwe ndio invoice tumepokea….. stupid, ulipopokea umechukua hatua gani? umeuliza nini? umefanya nini? ukilitazama kwa undani hili ongezeko limeanzia huku ndani kuna Watu wameongea huko”
“Hatuwezi kwenda hivyo na nadhani hawa wanaopokea hizo invoice wakazileta kwa raha zao kabisa Serikalini watupishe, hawafai kuwa kwenye hizo nafasi, kama wanafaa angepokea huko akalihoji”
“Baada ya kuhoji akasema nilipokea hivi, nimeambiwa hivi lakini bado nimeoka tufanye hivi, huyu unamuelewa lakini Mtu anapokea kwa raha zake tu analeta Serikali ‘Kuna hiyo invoice imekuja, vifaa vimeongezeka baada ya covid, pumbavu haiwezekani….. Mawaziri tusaidieni over-invoicing zipo nyingi sana” ——— Rais Samia.
Haya yenye matycoon huwa wananywea maana wanalambishwa mshiko wa maan wanapoteza ushaidiHadi washtuliwe/watonywe ndio maana kuna majalada we unafikiri wanaenda enda tu kichwa kichwa, wanaambiwa pale ule mradi wa SGR Kadogosa kula pesa anakula anaikung'uta ndio jamaa wanaenda kuchimba, kuchimbua na kuchambua hadi wamnase Kadogosa, unafikiri wanaenda enda tu ?
Unafikiri mtu anaeomba rushwa anakamatwa vipi ? Anavamiwa yaan TAKUKURU wanavamia tu bila taarifa au kutonywa na mtu kua yule jamaa anaomba rushwa ya ngono ? Au wanajua tu wenyewe kua huyu anapokea rushwa ya ngono bila kuambiwa na mtu ? Wanaoteshwa ?
Ww unaoujua unashindwa nini kuuweka hapaWizi wa Lukuvi huujui?,upumbavu wa Kabudi huujui?...wewe ni juha.
Au km namna gani anaogopa-ogopa mwambie aingie hapa kisha amwage huo upupu wa Lukuvi na Kaburi tuuone wameiba wapi na mwaka gani ?Ww unaoujua unashindwa nini kuuweka hapa
Bhas hapo tamaa ilizidi weledi wa kazi.Mkataba unamaliza kila kitu.
Hakuna variation ya price namna hiyo mkuu.
To toka 37-87 ?? Ndio maana Rais kakasirika sio Bure
Wazirejeshe au ziwatokee puani.