Ujinga mtupu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 887
- 2,010
Ujumbe ni mzuri inabidi ufanyiwe kazi.Akiongea leo Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania amesema wanaopiga mabehewa yaliyonunuliwa wote ni watoto waliozaliwa mwaka 1990.
Kwanza wanaishi Dar hawajawai kutoka kwenda vijijini kuona watanzania wanavyoishi kwa shida.
"Unapinga mabehewa na kusema yametumika wakati Kuna waha kutoka kigoma wanayatamani yawapelekee kigoma"
Tanzania sio Marekani ambayo ina miaka ya uhuru zaidi ya 200 sisi tuna miaka ya uhuru ndio kwanza 60." Halafu anatokea mtoto wa mwaka 1990 kusema mabehewa hayafai lazima ushangae!!
My take : Kumbe tuna miaka mingine 140 Ili kuanza kuwa Dona county π π π.
Mama Samia ana point,Akiongea leo Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania amesema wanaopiga mabehewa yaliyonunuliwa wote ni watoto waliozaliwa mwaka 1990.