Ujinga mtupu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 887
- 2,010
"Wale wanaopenda tu kufujafuja kila kitu, wafuje lakini warudi nyuma lakini ukute mfujaji mwenyewe kazaliwa miaka ya 90 hajui tulikotoka, anafananisha na Marekani anakokuona na anataka Tanzania ifike kule bila kujua anaojifananisha nao wana miaka 200 ya maendeleo," Suluhu Samia.
Tunachojua, kijana aliyezaliwa mwaka 1990 ambapo sasa hana miaka 32, wengi wa hili kundi wanakabiliwa na tatizo la ukosefu wa ajira, uchumi usioimarika, kukosa kazi rasmi na sio wao pekee wakubeza mambo ambayo kwa upande wa Serikali hayaendi sawa.