Rais Samia: Wanaopinga mabahewa ni watoto waliozaliwa mwaka 1990

Rais Samia: Wanaopinga mabahewa ni watoto waliozaliwa mwaka 1990

Ujinga mtupu

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2017
Posts
887
Reaction score
2,010
"Wale wanaopenda tu kufujafuja kila kitu, wafuje lakini warudi nyuma lakini ukute mfujaji mwenyewe kazaliwa miaka ya 90 hajui tulikotoka, anafananisha na Marekani anakokuona na anataka Tanzania ifike kule bila kujua anaojifananisha nao wana miaka 200 ya maendeleo," Suluhu Samia.

Tunachojua, kijana aliyezaliwa mwaka 1990 ambapo sasa hana miaka 32, wengi wa hili kundi wanakabiliwa na tatizo la ukosefu wa ajira, uchumi usioimarika, kukosa kazi rasmi na sio wao pekee wakubeza mambo ambayo kwa upande wa Serikali hayaendi sawa.
 
Ile sheria ya manunuzi inaruhusu kununua used? au ilipitishwa kama fasheni......kuna jamaa nilisikia wanasema vitu used kutoka kwa beberu vina ubora wa juu kuliko vya mchina, huenda wametumia ushauri wao.
 
Nasimama na Rais Samia juu ya alichosema na mara zote nyuzi zangu zimeongelea hasara za kuwaamini vijana.

Mimi ni kijana lakini leo hii ukiniuliza, kati ya mzee wa miaka 70 na kijana wa miaka 30 nani anafaa kuwa kiongozi ? Siku zote nitamchagua mzee kwa sababu ni kundi lililokosa exposure na mengine
 
This is neither here nor there....

Issue sio kununua nini bali kununua kwa bei gani...., Hata tungetembea kwa miguu sababu hatuna pesa ningeweza kuelewa au tungepanda mkokoteni ni sawa tu bora tufike...., lakini sio kutoa bei ya motokaa alafu naletewa katambuga (yaani hata baiskeli wameshindwa)...

Haya madudu ukiwa na good negotiations skills wanaweza kukupa bure ili usafishe mazingira au kuwaondolea cost ya waste disposal....

Tuache kujidharau wengine watashindwa kutuheshimu
 
Akiongea leo Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania amesema wanaopiga mabehewa yaliyonunuliwa wote ni watoto waliozaliwa mwaka 1990.

Kwanza wanaishi Dar hawajawai kutoka kwenda vijijini kuona watanzania wanavyoishi kwa shida.

"Unapinga mabehewa na kusema yametumika wakati Kuna Waha kutoka Kigoma wanayatamani yawapelekee Kigoma"

Tanzania sio Marekani ambayo ina miaka ya uhuru zaidi ya 200 sisi tuna miaka ya uhuru ndio kwanza 60." Halafu anatokea mtoto wa mwaka 1990 kusema mabehewa hayafai lazima ushangae!!

My take : Kumbe tuna miaka mingine 140 Ili kuanza kuwa Dona county 😅😅🙏.
 
Akiongea leo Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania amesema wanaopiga mabehewa yaliyonunuliwa wote ni watoto waliozaliwa mwaka 1990.

Kwanza wanaishi Dar hawajawai kutoka kwenda vijijini kuona watanzania wanavyoishi kwa shida.

"Unapinga mabehewa na kusema yametumika wakati Kuna waha kutoka kigoma wanayatamani yawapelekee kigoma"

Ujumbe ni mzuri inabidi ufanyiwe kazi.
 
Mama Samia ana point,
Na hao watoto wala hawajui treni inafananaje!
 
Back
Top Bottom