Rais Samia: Wanaopinga mabahewa ni watoto waliozaliwa mwaka 1990

Uongo gani pale alikua anatetea Rais Samia Suluhu mabehewa ni mazuri na ya kisasa sisi wasafiri tumekubali lakini wengi wanaopinga wameshazoea kupinga hatuwajali tena
 
Huyu maza anapenda mipasho sana.
 
Mabehewa yanaendana na gharama na mabehewa haya ni ya kisasa kabisa hapa nchini hatujawai miliki
 

Hii Madini Mkuu
 
Uongo gani pale alikua anatetea Rais Samia Suluhu mabehewa ni mazuri na ya kisasa sisi wasafiri tumekubali lakini wengi wanaopinga wameshazoea kupinga hatuwajali tena

Alisema hata Marekani mafuta aghali klk TZ pale tulipolalamikia ughali wa mafuta TZ leo hii anasema huwezi linganisha TZ na Marekani, sasa mbona yeye kwenye bei ya mafuta alilinganisha TZ Marekani?

Uongo ni mgumu sana, ukweli ni rahisi kuishi nao, kwani hauwezi kujichanganya popote, …
 
CCM ni kwisha ila watanzania ndiyo kwisha zaidi. Haya maelezo yanaonyesha kiwango cha akili cha viongozi wetu na wanafanya hivyo wakijua kiwango cha akili cha wananchi wanaowangoza.
....pia chukulia kwamba viomgozi ni zao la wananchi....

Sitaki kuamini kwamba Watanzania tumefikia low kiasi hiki
 
Kwa bahati mbaya sana ili kujua mambo hakuhitaji kuwa na umri mkubwa. Labda kwa uwezo wa rais anajua kujua mambo kunahitaji umri mkubwa.
Umri ni muhimu.
Mtu hujawahi hata kupanda basi la kwenda Mwanza, njia ya reli unaisikia tu.
Experience yako ya kusafiri ni video za luninga.
Hapo tutaelewana vipi?
 
Kuna ukweli pia kwa hili

Ila pia Kuna uongo na ukosefu wa maarifa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mimi nimezaliwa miaka ya 2000s na bado naendelea kupinga hadi kesho
Kwani hao waliozaliwa before 1990 ndio wana IQ kubwa ama vipi
Hata akipinga mtoto wa 2015, haijalishi ukweli ni kwamba tumepigwa, tena na kitu kizito sana
Poleni vijana.
Wenzenu tulipanda ngongongo(treni ya mkaa) za DSM hadi Mwanza unatumia wiki.
Mwendo wake raha sana, we unafunga unga wa kula tu, mboga unanunua kwa wachuuzi kituoni.
Treni ikifika kituo kikubwa kama Dodoma, Itigi, Tabora unasonga ugali wako na unakula na kushiba.
Ile pyeee ya kwanza unaosha vyombo tayari kwa kundelea na safari.
Ilikuwa raha sana, sasa ninyi mnataka treni za kutoka leo kufika leo leo!
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Huyu mama kumbe hamna kitu ee?

Kama ni hivyo kwanini kwenye magari yao wasinunue used ya walau milioni 30 kuliko kununua mashangingi ya mamilioni?

Wakikujibu naomba uni-tag mkuu Crimea
 
Kasema lini hayo

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Huyu mama ifike muda tuache kumfuatilia sasa, na media zisiwe zinaenda kwenye mikutano yake.

Maana kila ukimsikiliza unakata tamaa kama sio kujawa na hasira
 
Ukizaliwa Tanzania ni kilema kama vilema vingine sema hatujui tu.....
 
Panama Canal ilikamilika kujengwa 1914. Miaka 108 iliyopita. Ilipoanza kujengwa Marekani ilikuwa haijafikisha miaka 60 kama sasa ina miaka 200.
Sisi kipi kikubwa tumekiweza. Miradi mikubwa inayoendelea ni SGR (Waturuki) na JNHPP (Wamisri).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…