GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #41
Ni kweli Mkuu kwani kuna Mmoja hapo Mama anamuamini hadi Kero na ana Shamba Kubwa sana huko huko na Mazao anayovuna 25% anamuuzia Tajiri Mwenye Timu Mbagala, 25% anayauza Visiwani Comoro pamoja na Mbuzi wake na 50% anauzia Sudan ya Kusini.Sasa mama samia atafanyaje wakati hao ni mentor wake??
Sawa, turudi kwenye hoja. Maji ya mto ruvu huwa kwa asilimia kubwa yanaishia baharini, ipi bora, kuyatumia au kuyaacha yamwagikie baharini? Au kuna bwawa laBora ni Wewe kuwahi upesi Mirembe Mental Hospital Mkoani Dodoma ukaanze Matibabu yako ya Ugonjwa wa Akili unaokusumbua.
Wengine tuna Vipaji na Karama ya kujua Mambo na kupata Taarifa za haraka na uhakika kuliko hata hawa SSIT wako Uliowataja hapa.Inamaana hata tiss haijui!? Basi mleta taarifa Kama ni taarifa za kweli apewe kitengo hapo eagle house!!
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Na natisha Kweli halafu najiamini sanaGENTAMYCINE kama GENTAMYCINE mwenyewe... umetisha mkuu.
🤣🤣Kabsa sababu atakua amesababsha mtafaruku kweny jamiiakianza ngonjera sasa itabidi tuwe wakali tutambana kengele mpaka akili imkae sawa
Naona sasa Uvumilivu umewashinda mmeanza Kutajana. Haya Wataje na hao wengine Wanne waliobakia tafadhali.Sio kuhujumiwa sidhani kama akina JK wameanza Leo ufugaji wa samaki huko..
Swali la msingi maji ya moto hayaruhusiwi kufanyia shughuli za kilimo na ufugaji?
Tumia akili.Wengine tuna Vipaji na Karama ya kujua Mambo na kupata Taarifa za haraka na uhakika kuliko hata hawa SSIT wako Uliowataja hapa.
Nakubaliana nawe 100% Mkuu.Aweso ni bogus kabisaaaa
Hongera sana Bro kwa kuwa Mzalendo. Maelfu ya watu wanatatizika kwa maslahi ya watu wachache.Tena Wawili uko nao katika Serikali yako ya sasa, Mmoja ni Mstaafu mkubwa mno na Wawili ni Wanawake ambao wanashirikiana na Wakubwa fulani pamoja na Wachina kadhaa.
Mheshimiwa Rais Samia Mimi Mwanao GENTAMYCINE napinga na nakataa kata kata kuwa Mgao wa Maji ulionza katika Mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na Morogoro ni kutokana na Ukame uliosababisha kina cha Maji ya Mto Ruvu kupungua Kina chake.
Mheshimiwa Rais Samia kuna Mteule wako Mmoja huko Mkoa wa Pwani ana Shamba Kubwa halina Mfano na Mabwawa Sita ya Kufuga Samaki aina ya Sato na Sangara ambapo nae ameyachepusha Maji ya Mto Ruvu na kutusababishia sasa akina GENTAMYCINE tutoke na Ndoo zetu Tegeta hadi Mbagala Kuu kutafuta hii Precious Liquid ( Water ) ili tusinuke hovyo 'Vikwapa' na 'Vizalisha Binadamu' vyetu vya Kutukuka.
Wadadisi Sie hatudanganyiki hovyo.
Cc: Bujibuji Simba Nyamaume, adriz, Bila bila, Daudi Mchambuzi etc.
Sasa nitatumiaje hiyo Akili wakati Wewe huna Akili?Tumia akili.
Maji kuishia baharini ndiyo asili ya mito, kwa sababu hiyo mito inapotiririka kuelekea baharini inalisha viumbe wengi njiani. Haitoi haki kuchepusha mito!
Utanichefua sasa hivi Mkuu hebu kuwa na Adabu na Heshima kwa Hayati Baba wa Taifa kwani Misingi yake aliyoijenga ndiyo leo hii inakupa Jeuri zote hizi ulizonazo.Hii nchi haijawahi kuwa na viongozi
Hata huyo tunayemuita baba wa taifa basi tu. Bora Marealle angekua rais wa kwanza kipindi kile, nchi ingekua mbali sana.
Amesema mpeni chopa akawaoneshe.Kijana leta ushahidi hapa kwenye hizi tuhuma
Si mlifanya Siri mkijua wenye Akili Kubwa na Wabobezi wa Udadisi na Ufuatiliaji wa Masuala ( Mambo ) akina GENTAMYCINE hatutajua mnachokifanya huko Ruvu Mtoni na leo mnatusababishia Mgawo wa Maji Mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na Morogoro...!!!!Sawa, turudi kwenye hoja. Maji ya mto ruvu huwa kwa asilimia kubwa yanaishia baharini, ipi bora, kuyatumia au kuyaacha yamwagikie baharini? Au kuna bwawa la
Kuyazuia yasiende moja kwa moja baharini?
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The Great!!!🤣🤣Kabsa sababu atakua amesababsha mtafaruku kweny jamii
Genta, nakubaliana na wewe 100%. Mbaya zaidi wametupumbaza na vijikamera kuonesha maji yalivyopungua. Inauma sana.Tena Wawili uko nao katika Serikali yako ya sasa, Mmoja ni Mstaafu mkubwa mno na Wawili ni Wanawake ambao wanashirikiana na Wakubwa fulani pamoja na Wachina kadhaa.
Mheshimiwa Rais Samia Mimi Mwanao GENTAMYCINE napinga na nakataa kata kata kuwa Mgao wa Maji ulionza katika Mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na Morogoro ni kutokana na Ukame uliosababisha kina cha Maji ya Mto Ruvu kupungua Kina chake.
Mheshimiwa Rais Samia kuna Mteule wako Mmoja huko Mkoa wa Pwani ana Shamba Kubwa halina Mfano na Mabwawa Sita ya Kufuga Samaki aina ya Sato na Sangara ambapo nae ameyachepusha Maji ya Mto Ruvu na kutusababishia sasa akina GENTAMYCINE tutoke na Ndoo zetu Tegeta hadi Mbagala Kuu kutafuta hii Precious Liquid ( Water ) ili tusinuke hovyo 'Vikwapa' na 'Vizalisha Binadamu' vyetu vya Kutukuka.
Wadadisi Sie hatudanganyiki hovyo.
Cc: Bujibuji Simba Nyamaume, adriz, Bila bila, Daudi Mchambuzi etc.
Tena Mimi ni zaidi ya Mzalendo Mkuu.Hongera sana Bro kwa kuwa Mzalendo. Maelfu ya watu wanatatizika kwa maslahi ya watu wachache.
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app