Rais Samia wasikudanganye nikodishie Helicopter nikakuonyeshe Wakubwa Watano waliochepusha Maji ya Mto Ruvu

Rais Samia wasikudanganye nikodishie Helicopter nikakuonyeshe Wakubwa Watano waliochepusha Maji ya Mto Ruvu

Kama unamuongelea Magufuli, alifikisha maji kutoka Ziwa Victoria mpaka Mkoa wa Tabora na kazi ilikuwa inaendelea ilioanzishwa na Mkapa ya kusambaza maji ya Ziwa Viktoria kwenye Mikoa ya karibu, wakazi wa Tabora (baadhi atleast) wana maji kutoka Ziwa Victoria!
Acha upuuzi,maji ya yalishakuwepo Shinyanga na Kahama so yalifikisha Tabora tuu ,sio kazi ya kujivunia miaka 5..

Kwa hiyo huko Tabora maji sio shida si ndio?
 
Ndicho ninachomuuliza, ipi bora, maji yatumike au yaachwe yamwagikie baharini?
Unachoongea ni kama hukusoma geography au huna akili za kawaida.
Misri walilalamila ethiopia walipoanza kujenga bwawa wakati maji ya mto nile yanaishia baharini, hata Tanzania kuvuta maji kutoka victoria mpaka dodoma baadhi ya nchi huwa znalalamika kuhusu mpango huo zinazopitiwa na mto nile.
 
Egypt wanabwawa kubwa kule mwishoni kabisa linaitwa Aswan Dam, wao maji hayamwagikii baharini kabla hayatumika kufua umeme na kilimo na majumbani.

Mimi naongelea Ruvu ambako maji yanamwagikia baharini bila kutumika, opi bora? Yatumike au yaachwe yapotee baharini?
 
Sorry mkuu lakin wewe ni kiazi.
Maji ya ruvu yanachepushwa kabla hajafika kwenye mitambo ya kusambazia maji according to mtoa mada ndio maana yanasababisha upungufu.
 
Tatizo waliojipa dhamana ya kuongoza wananchi,Akili zao zilishafikia mwisho wa kufikiria lakini bado wanalazimisha kuongoza
 
Unauliza Adhabu Kali MP 1 Makongo?
Tena ile ya 90mins SIO 45min!,mkuu hawa ni public figures, wataje hapa kwa majina, kama sio kweli watakanusha, we need fighters nchi hii ambao wata press ile RESET BUTTON, ili nchi ianze upya kwa masilahi ya watanzania wengi, Pilot wetu anatuhitaji nao ili tumsaidie sio kuwa yes yes na uoga wa kipumbavu, President Samia,yes ni ccm member ila yupo tofauti linapokuja swala la utendaji serikali, mfano umetoa tamko ni marufuku kwa police to arrest a suspect bila kufanya uchunguzi kwanza, hili sasa anahitaji our pressure to cops kutekeleza hilo
 
Maji yapo ya kutosha watu kulima bonde lote la Ruvu na kunywa na kujaza maswimming pulu na kutapanya. Kilichopo ni hakuna akili ya kuyatumia kwa manufaa.
 
Sorry mkuu lakin wewe ni kiazi.
Maji ya ruvu yanachepushwa kabla hajafika kwenye mitambo ya kusambazia maji according to mtoa mada ndio maana yanasababisha upungufu.
Wanachepusha kiasi gani wewe? Unafikiri wakiacha ndiyo yatatosha Dar? Maji hayo yanatosha watu kulima, kufuga samaki, kunywa na kusaza, shida ni kuwa kwa ujinga, mengi yameachwa yanazama tu baharini. Kusingizia wachepushaji ni kutafuta tu visababu.
 
Unaongea pumba.. hata kama yanaishia baharini kazi yake kubwa nikusambazwa kwa matumizi ya binadamu.. ndo maana Egypt wapo tayari kuingia vitani na yeyote atakaye chepusha maji ya mto Nile..

Sasa jiulize maji ya mto Nile yanaishia wapi..??

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Wewe ni kiazi. Misri wana Bwawa la Nasser ambalo linahifadhi maji kwa mwaka mzima. Hata flow ya Nile ikipungua, wana uhakika wa maji. Sasa Ruvu kuna bwawa la aina hiyo? Ukitegemea tu mtiririko wa mto lazima hali kama hii itokee. Wasisingizie wakulima nk. Tutatue tatizo lililopo.
 
Wataje hao mambo mengine sisi wenyewe tusaidie nchi
 
Mchina wa mboga mboga alikuwa anasingiziwa tuu..

Mwisho kama maji ya mtu huo hayaruhusiwi kufanyia shughuli za kilimo ielwzwe tuu watu wajue ila vinginevyo sioni kosa lao maana hayi maji yanaishia baharini..

Serikali inafanya uzembe tuu kwa nini wao wasichimbe mabwawa yao makubwa ya kuhifadhi maji ya matumizi badala yake watafute kisingizio kwa wawekezaji?
Ni aibu na inashangaza mji mkubwa wa watu 7m hauna reservoir ya mji?
 
Egypt wanabwawa kubwa kule mwishoni kabisa linaitwa Aswan Dam, wao maji hayamwagikii baharini kabla hayatumika kufua umeme na kilimo na majumbani.

Mimi naongelea Ruvu ambako maji yanamwagikia baharini bila kutumika, opi bora? Yatumike au yaachwe yapotee baharini?
uko sawa mkuu, ukisoma sifa zilizopelekea mji wa jerusalem kuwa na sifa, sifa moja wapo ni hii yakuvuna maji ya mvua, mji huu umezungukwa na mabwawa ya maji kila kona, wao kipindi kile waliita mabirika (rejea ktk tafsiri ya bibria sehem ya yerusalem) hivyo mvua zikinyesha wanavuna maji yote yanayotembea! Sie pamoja na ziwa tanganyika, kuwepo , nahalina ugomvi na inchi yyte km ziwa victoria bado tunawaza kujenga bomba la gass kabla ya maji 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom