Mwanamwaiche
JF-Expert Member
- Apr 13, 2022
- 665
- 968
Hii ni vita nyingine ya wenyewe Kwa wenyewe tuipe jina maji maji vibopa crisis. Kudos nice whistle blowing.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aanaogopa Akiwa mkali sana wanaweza kumbania kiti 2025Na hapa ndiyo maana GENTAMYCINE namkumbuka na nilimpenda sana Hayati Rais Dkt. Magufuli kwani aliheshimu mni Taarifa Nyeti za Wasaidizi wake na alikuwa hana Msalia Mtume kwa Wapumbavu na Wapuuzi wachache ambao wanaleta Usumbufu na Kero kwa 90% ya Watanzania.
Tafadhali Rais Samia hebu badilika Mama na anza kuwa Mkali kwani kuna Watu ( hasa Mafia ) wachache ila Matajiri wanatembelea Upole wako na Huruma yako ya Kizanzibari.
Watu wa TISS msaidieni sana Mama.
Bonge la KiaziIngekuwa enzi za Mobutu wa Chattle mpaka dakika hii tungekuwa tunatrend na hii 👇🏽👇🏽👇🏽
#BringBackGentamycine
Hata baghdad wana afadhali [emoji41]Hapo anadanganywa Samia ?!!! Kwani yeye hana Maji au Ikulu kuna Mgao ?; Wanaodanganywa ni wanaomlipa na kuminywa na Tozo wakati hakuna Value for Money....
Yaani tuna maziwa makubwa Matatu ya Afrika lakini maji utafikiri tupo Baghdad
Na umeme vipi huko koromije?Watu wa DAR na Pwani ni muda wenu wa kupunguza kula ambako kutapelekea kujisaidia sana na halikadhalika kunyanduana.
Poleni sana wajameni sisi huku Koromije maji ya kisima bado yapo kwa sana.
Unaongea pumba.. hata kama yanaishia baharini kazi yake kubwa nikusambazwa kwa matumizi ya binadamu.. ndo maana Egypt wapo tayari kuingia vitani na yeyote atakaye chepusha maji ya mto Nile..Sawa, turudi kwenye hoja. Maji ya mto ruvu huwa kwa asilimia kubwa yanaishia baharini, ipi bora, kuyatumia au kuyaacha yamwagikie baharini? Au kuna bwawa la
Kuyazuia yasiende moja kwa moja baharini?
Na wewe umefanya kipi cha maana? Yule mliyemuita chuma alifanya nini cha maana kwenye maji?
..... Kajaa mazima[emoji28][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]Naona sasa Uvumilivu umewashinda mmeanza Kutajana. Haya Wataje na hao wengine Wanne waliobakia tafadhali.
Mkuu unajua shida ni kwamba. Wizara ya Maji na Eizara ya Maliasili zinafanyakazi kivyakevyake.Tena Wawili uko nao katika Serikali yako ya sasa, Mmoja ni Mstaafu mkubwa mno na Wawili ni Wanawake ambao wanashirikiana na Wakubwa fulani pamoja na Wachina kadhaa.
Mheshimiwa Rais Samia Mimi Mwanao GENTAMYCINE napinga na nakataa kata kata kuwa Mgao wa Maji ulionza katika Mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na Morogoro ni kutokana na Ukame uliosababisha kina cha Maji ya Mto Ruvu kupungua Kina chake.
Mheshimiwa Rais Samia kuna Mteule wako Mmoja huko Mkoa wa Pwani ana Shamba Kubwa halina Mfano na Mabwawa Sita ya Kufuga Samaki aina ya Sato na Sangara ambapo nae ameyachepusha Maji ya Mto Ruvu na kutusababishia sasa akina GENTAMYCINE tutoke na Ndoo zetu Tegeta hadi Mbagala Kuu kutafuta hii Precious Liquid ( Water ) ili tusinuke hovyo 'Vikwapa' na 'Vizalisha Binadamu' vyetu vya Kutukuka.
Wadadisi Sie hatudanganyiki hovyo.
Cc: Bujibuji Simba Nyamaume, adriz, Bila bila, Daudi Mchambuzi etc.
Kwa maana hiyo ni dhahiri hafai kuwa mkuu wa nchi huyuMama anahujumiwa sana
Umeme ni shida kubwa sana.Na umeme vipi huko koromije?
Ni sawa, ila kwa kipindi hiki ambapo hayasambazwi yote majumbani, badala yake asilimia kubwa yanaishia baharini, ipi ni bora, kuyatumia au kuyaacha yaingie baharini?Unaongea pumba.. hata kama yanaishia baharini kazi yake kubwa nikusambazwa kwa matumizi ya binadamu.. ndo maana Egypt wapo tayari kuingia vitani na yeyote atakaye chepusha maji ya mto Nile..
Sasa jiulize maji ya mto Nile yanaishia wapi..??
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Yaani nakujibu basi tu lakini sikustahili hata kukujibu, Sasa mimi ni nani? na nafasi gani ya kufanya vitu ila kwa taarifa yako na kinyumba changu nimeweka Tank chini na pump kunisaidia lakini hilo ni langu na family yangu. Mimi wapi nimemtaja mtu awe chuma au yoyote, nimeongelea shida ya viongozi wote waliokuwa na jukumu hili wala sio mtu maana hakuna mtu mmoja akaweza kufanya peke yake ni wajibu wa serikali na serikali ni ya chama cha CCM wote wanawajibika hakuna majina.Na wewe umefanya kipi cha maana? Yule mliyemuita chuma alifanya nini cha maana kwenye maji?
sawa charismatic fella the game changer. hv huyo kwenye avatar yako ni naniTena Wawili uko nao katika Serikali yako ya sasa, Mmoja ni Mstaafu mkubwa mno na Wawili ni Wanawake ambao wanashirikiana na Wakubwa fulani pamoja na Wachina kadhaa.
Mheshimiwa Rais Samia Mimi Mwanao GENTAMYCINE napinga na nakataa kata kata kuwa Mgao wa Maji ulionza katika Mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na Morogoro ni kutokana na Ukame uliosababisha kina cha Maji ya Mto Ruvu kupungua Kina chake.
Mheshimiwa Rais Samia kuna Mteule wako Mmoja huko Mkoa wa Pwani ana Shamba Kubwa halina Mfano na Mabwawa Sita ya Kufuga Samaki aina ya Sato na Sangara ambapo nae ameyachepusha Maji ya Mto Ruvu na kutusababishia sasa akina GENTAMYCINE tutoke na Ndoo zetu Tegeta hadi Mbagala Kuu kutafuta hii Precious Liquid ( Water ) ili tusinuke hovyo 'Vikwapa' na 'Vizalisha Binadamu' vyetu vya Kutukuka.
Wadadisi Sie hatudanganyiki hovyo.
Cc: Bujibuji Simba Nyamaume, adriz, Bila bila, Daudi Mchambuzi etc.
Nafasi ndio inafanya? Usijibu kwani napata pesa ulinijibu?Yaani nakujibu basi tu lakini sikustahili hata kukujibu, Sasa mimi ni nani? na nafasi gani ya kufanya vitu ila kwa taarifa yako na kinyumba changu nimeweka Tank chini na pump kunisaidia lakini hilo ni langu na family yangu. Mimi wapi nimemtaja mtu awe chuma au yoyote, nimeongelea shida ya viongozi wote waliokuwa na jukumu hili wala sio mtu maana hakuna mtu mmoja akaweza kufanya peke yake ni wajibu wa serikali na serikali ni ya chama cha CCM wote wanawajibika hakuna majina.